EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Si mnasema Mama Samia anaupiga mwingi??

Anafungua nchi eeehhhh


Et Royo Tuwa ??? .


Maana yake hapo, ni kwamba Nauli zipande, Bidhaa zipande , Gharama za Maisha juu juuu saaaaana !!!

Subirini mpaka ifike elfu 10 Kwa Lita .

NAPOSEMA, NCHI HII INAHITAJI KIONGOZI AINA YA MAGUFULI, KIONGOZI ANAYEAMUA KUTOANGALIA KUNDI LA WACHACHE , KIONGOZI ANAYETOA MAISHA YAKE KWAAJILI YA WATANZANIA , KIONGOZI ANAYEAMUA KUPAMBAJA NA WAFANYA BIASHARA WAJANJA WAJANJA .

MUWE MNAELEWA !!.



Najua watasingizia Vita ya Ukraine , ila ukweli nikwamba, WALE WAFANYABIASHARA, WALIOMCHANGIA SAMIA KWENYE ROYO TUWA, NDO SASA WANARUDISHA PESA ZAO IVO !!.


SAMIA HOYEEEEEE !!.
 
Naomba kuwasilisha hivi kuanzishwa tena kwa TIPA hapa nchini kuna kikwazo cha aina yoyote ile..?

NB: TIPA - Ni kiwanda kilichokuwa kikichakata Crude oil ( mafuta yasiyosafishwa ) hapa nchini.

Hii najua itapelekea kupungua kwa mfumuko wa bei unaondelea katika sekta ya mafuta.

Lakini pia changamoto zipo na moja ni hizi Station za mafuta wamiliki wao wengine wapo serikalini kwahiyo sidhan kama watakubaliana na hili suala.

Nimewasilisha✌🏼
Ruksa kunikosoa
Kukosolewa ndio kurekebishwa
 
Demokrasia oyee!

Hii si ndio demokrasia mnayoililia? Nchi inafunguliwa kibiashara na kimkakati! [emoji23][emoji23][emoji23]

Alipokuwepo Magufuli anayejua nini nchi inataka, mkamuita DIKTETA na MSHAMBA.

Hapo vipi! Mnalamba asali sasa chini ya demokrasia imara! [emoji23][emoji23][emoji23]

Sukuma gang wanakomeshwa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sukuma gang tumekimbizwa mchakamchaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hyo shilingi yetu imeporomokoa Kia's hiki so je mtu hajamaliza stock kwann anaiuzia kwa Bei ile Ile ya Jana mbna hi serekali imekah kiwiz wz Sana siyoni Aja ya kuwa mfumo wa namna hii ambayo haitambua Mambo ya lifo na fifo natak kufufua kigar changu lkn kwa Bei hz hpn. Wacha vita iishe ila naona Kuna serkali moja uko burkinafaso imepinduliwa kwa uwaki wa namna
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeehh Mkuu, Hii inchi sukuma gang tumejaaa Sasa ndo tunakomeshwa

Wapumbavu wanapenda Siasa za kurembwa rembwa, Maneno Maneno ya taarabu za pwani pwani ,uongooo, wiziii .

Mtu anaweza niita majina yoyote , lkn ukweli ni kwamba, Kwa Huyu Mama tulonaye, TUMEPIGWAAA .


Cha kwanza Si msomaji, Si mfatiliaji, ni mwepesi kudanganywa, ni mlipa fadhira, ndio maana ile siku alisema "Hii nafasi imekuja Kwa kudra za Mungu" ikimaanisha yeye mwenyewe hakuwahi kua na uthubutu huo ,sanasana alichomekea jina lake ili aonekane ,kubwa kuliko yote AKIONGEA, WEPESI WA MANENO YAKE, MPANGILIO WA MANENO YAKE, UNAONYESHA KABISA, KICHWANI NI MWEUPEEEE PEEEE!!!
 
Back
Top Bottom