Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russia vs Ukraine plus covid-19 impact.
Sio sababu kubwa sana,, ilaumu serikali yetu kuweka tozo Kibao kwenye mafuta haya ndo madhara yake!!Tunalipia madhara ya vita!!...
Halafu kuna watu wanasifia Urusi kuvamia nchi nyingine....
Njoo nikuuzie bossKesho mapema sana naenda kununua baiskeli gari napaki nyumbani kwanza baiskeli nitakuwa nafanya na mazoezi
Unaonaje sukuma gang wanavyokomeshwa?Anaupiga mwingi
Petrol lita moja 3,148 , Dizeli lita moja 3,258 , mafuta ya taa lita moja 3 ,112
Kesho mapema sana naenda kununua baiskeli gari napaki nyumbani kwanza baiskeli nitakuwa nafanya na mazoezi
Hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuzuia wa bei mafuta..Shida ni huyo aliyeshika remote
Utawala ule ulikua unachimba wapi mafuta??Katav 3349 kutoka 2200 utawala ule
US napo Biden aondoke? Maana huko pia mafuta yamepanda bei,hili ni tatizo la kidunia kwenye world market.nchi imemshinda aondoke kwa amani alinde heshima yake sasa
Ni sahihi tozo ni kubwa. Ila zilikuwepo hata raisi aliepita..kumlaumu huyo sio sahihi. Ni muda wa kuangalia jinsi ya kufanya adjustment...Njia nzuri kwa nchi yetu kuleta nafuu ni Serikali kupunguza matumizi yake ili kupunguza pia baadhi ya kodi..Serikali ikiwa na matumizi makubwa hupelekea kila wakati kuongeza tozo na tozo za kujirudia.Sio sababu kubwa sana,, ilaumu serikali yetu kuweka tozo Kibao kwenye mafuta haya ndo madhara yake!!
View attachment 2210544
Yapo Sana magu alishusha wez mpk 16000 deseli magu na sifa zake alishindwa nn kipindi hicho kupeleka 2200Angekuwa Sio Samia bei isingepanda??!! Mafuta kupande bei hayana uhusiano na raisi wa sasa wala alieondoka...
Yapande tu. Mbona tunanunulia mademu Savanna moja@5,000/=? Hapo bado lodge, kondomu na UKIMWI unaweza kupata vile vileMafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258
View attachment 2210381
Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022
Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita.
Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa Dar, na kwa Tanga watanunua kwa Tsh. 3,264. Mtwara watauziwa kwa Tsh. 3,309 kwa lita.
Mafuta ya taa hayako nyuma ambapo bei ya lita kwa Dar itakuwa Tsh 3,112. Mikoa mingine itakuwa na bei kutokana na hesabu zitakvyofanyika.
EWURA wamesema mabadiliko ya bei katika soko la dunia yamesababisha 93% ya mabadiliko ya bei
Bei za Jumla
Port Petrol
(TZS/Litre)Diesel
(TZS/Litre)Kerosene
(TZS/Litre)DAR ES SALAAM 3,015.88 3,125.18 2,980.56 TANGA 3,028.72 3,131.39 -- MTWARA 3,044.88 3,176.87 --
View attachment 2210436
View attachment 2210437
View attachment 2210438
View attachment 2210439
View attachment 2210440