Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anasaka pesa na walanguzi nao wanasaka pesa serikali ipo kwenye biashara haramMafuta kwenye soko la dunia yameshuka kidogo, Ila huku Bei imepanda. nadhani unaelewa nn kinaendelea
CCM inapaswa kutoweka katika uso wa duniaMkome watz mkome!
Yote haya yanafanyika sababu nyie ni wapumbavu mno!
Endeleeni kupambana na maiti ya Magufuli.
Tanzania inaenda kuwa Oligarchy state! Sahauni kuhusu demokrasia na utawala bora.Tukimlaumu Rais samia tunamuonea tu nina uhakika huyu mama mambo mengi ya Tanzania hayajui
Rais samia anamsikiliza mstaafu katika kuongoza nchi na teuzi nyingi anapangiwa na mzee na mama analipa fadhila kwani ndiye aliyempa umakamu wa Rais uliopelekea akaupata uRais
Ndugai yale maneno hakuropoka anajua nchi imeharibika
Hili kundi linaiba pesa litakalowafanya uchumi ubaki kwa watu 15 tu na ndio watakuwa na maamuzi ya siasa za Tanzania
Wameshamiliki chama
Wameshamiliki uchumi
Wameshamiliki media kubwa
Watamiliki nishati
Wanamiliki biashara
Magufuli umekufa na ndoto zako baba za kuifanya tanzania kuwa nchi ya usawa
mafuta yalikuwa 2,200 petrol na 2100 diesel kama sikosei
Kimsingi mama katukabidhi buyu la asali 😅😅😅😅😅 yule kamanda waliemuita dikteta uchwara naona soon ataanza ki make sense!Demokrasia oyee!
Hii si ndio demokrasia mnayoililia? Nchi inafunguliwa kibiashara na kimkakati! [emoji23][emoji23][emoji23]
Alipokuwepo Magufuli anayejua nini nchi inataka, mkamuita DIKTETA na MSHAMBA.
Hapo vipi! Mnalamba asali sasa chini ya demokrasia imara! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sukuma gang wanakomeshwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watakuita Sukuma Gang ila umepiga kwenye mshono 😅😅😅 JPM alikuwa raisi kwa wakati sahihi ambapo taifa lilimuhitaji!Si mnasema Mama Samia anaupiga mwingi??
Anafungua nchi eeehhhh
Et Royo Tuwa ??? .
Maana yake hapo, ni kwamba Nauli zipande, Bidhaa zipande , Gharama za Maisha juu juuu saaaaana !!!
Subirini mpaka ifike elfu 10 Kwa Lita .
NAPOSEMA, NCHI HII INAHITAJI KIONGOZI AINA YA MAGUFULI, KIONGOZI ANAYEAMUA KUTOANGALIA KUNDI LA WACHACHE , KIONGOZI ANAYETOA MAISHA YAKE KWAAJILI YA WATANZANIA , KIONGOZI ANAYEAMUA KUPAMBAJA NA WAFANYA BIASHARA WAJANJA WAJANJA .
MUWE MNAELEWA !!.
Najua watasingizia Vita ya Ukraine , ila ukweli nikwamba, WALE WAFANYABIASHARA, WALIOMCHANGIA SAMIA KWENYE ROYO TUWA, NDO SASA WANARUDISHA PESA ZAO IVO !!.
SAMIA HOYEEEEEE !!.
Magufuli ange figure out cha kufanya ikibidi reserve zijengwe kama hamna. Hiki kilichotokea ni sabotage ya wafanyabiashara.Angekuwa Sio Samia bei isingepanda??!! Mafuta kupande bei hayana uhusiano na raisi wa sasa wala alieondoka...
UMEFUMUA MSHONO MKUU SASA MAUMIVU NI MAKALI SANA.Si mnasema Mama Samia anaupiga mwingi??
Anafungua nchi eeehhhh
Et Royo Tuwa ??? .
Maana yake hapo, ni kwamba Nauli zipande, Bidhaa zipande , Gharama za Maisha juu juuu saaaaana !!!
Subirini mpaka ifike elfu 10 Kwa Lita .
NAPOSEMA, NCHI HII INAHITAJI KIONGOZI AINA YA MAGUFULI, KIONGOZI ANAYEAMUA KUTOANGALIA KUNDI LA WACHACHE , KIONGOZI ANAYETOA MAISHA YAKE KWAAJILI YA WATANZANIA , KIONGOZI ANAYEAMUA KUPAMBAJA NA WAFANYA BIASHARA WAJANJA WAJANJA .
MUWE MNAELEWA !!.
Najua watasingizia Vita ya Ukraine , ila ukweli nikwamba, WALE WAFANYABIASHARA, WALIOMCHANGIA SAMIA KWENYE ROYO TUWA, NDO SASA WANARUDISHA PESA ZAO IVO !!.
SAMIA HOYEEEEEE !!.
Hakika.Watakuita Sukuma Gang ila umepiga kwenye mshono [emoji28][emoji28][emoji28] JPM alikuwa raisi kwa wakati sahihi ambapo taifa lilimuhitaji!
Soon tutaongea lugha moja
Nakumbuka Muswada wa Tozo hata kabla ya kupelekwa kwake... Once when rumours has it, Mzee aliwaka kilimi akawaambia Wakunyonywa na Kukatwa hiyo Tozo sio Watanzania bali ni hawa Wezi wa Kizungu tutadeal nao mpaka wanyooke.Magufuli ange figure out cha kufanya ikibidi reserve zijengwe kama hamna. Hiki kilichotokea ni sabotage ya wafanyabiashara.
Tunaumizwa katika mtindo ule ule wa imposition of tozo.
Emergency reserve za serikali zipo. Ila wanahifadhia mafuta ambayo si ya serikali na hapo ndio utashangaaBadala ya kutumia pesa kuagiza mafuta waweke reserve wajenge hata emergency reserve kwa dharula usiku na mchana wao hela wanatumia kufanya utalii angani..
Tutakukumbuka magufuli hakika ungekuwepo atleast bei ingekuwa himilivu.
Nafikiri suala la nchi kuwa na demokrasia halina relation na ishu ya bei.Demokrasia oyee!
Hii si ndio demokrasia mnayoililia? Nchi inafunguliwa kibiashara na kimkakati! [emoji23][emoji23][emoji23]
Alipokuwepo Magufuli anayejua nini nchi inataka, mkamuita DIKTETA na MSHAMBA.
Hapo vipi! Mnalamba asali sasa chini ya demokrasia imara! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sukuma gang wanakomeshwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imedandia mkuu....🤣🤣🤣Imepanda au imeshuka?
Thomaso una matatizo sana .... SI ufanye kwenda kituo Cha mafuta Cha jirani na ulipo tu.Sasa umetumia akili au umeona sources? Mimi kama ningeona source nisinge uliza lile swali sasa kutokea hapa baada ya kuona chanzo then naweza kutoa maoni yangu.