RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mwanakwerekwe ni wapi?Njoo hapa Mwanakwerekwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanakwerekwe ni wapi?Njoo hapa Mwanakwerekwe
Unapafahamu Mwanakwerekwe.? Au unabisha bila kutuliza akili.? Sasa Kisauni Diesel ni 2644 na Petrol ni 2642Acha uongo nchi hii hakuna 2340 labda Kama ulikusudia kuandika 3240.
Nirudi kwenye mada, hapa mbarali 3252.
ZanzibarMwanakwerekwe ni wapi?
Zanzibar kisiwa cha UngujaMwanakwerekwe ni wapi?
Tanzania yetu hakuna anayeweza kuongoza harakati, kila mtu mchumia tumbo tu. Hata akina Mbowe na Lisu wametiwa fupa la nyama mdomoni hawasikiki tena.
Kwenye kadhia kama hii hawaonekani kabisa.
Huyu Kibajaji ni attention seeker tu
Zanzibar bei iko chini ya 2,700/-. Labda baadhi ya kodi za mafuta hazitumiki visiwani.Acha uongo nchi hii hakuna 2340 labda Kama ulikusudia kuandika 3240.
Nirudi kwenye mada, hapa mbarali 3252.
Mwanakwerekwe ni Zanzibar boss usilazimishe!Acha uongo nchi hii hakuna 2340 labda Kama ulikusudia kuandika 3240.
Nirudi kwenye mada, hapa mbarali 3252.
Nikajua ukereweMwanakwerekwe ni Zanzibar boss usilazimishe!
Nikajua mwanakwerekwe ipo ukerewe boss Kama ni Zanzibar muungano udumu.Unapafahamu Mwanakwerekwe.? Au unabisha bila kutuliza akili.? Sasa Kisauni Diesel ni 2644 na Petrol ni 2642
hata huku Zanzibar ni muongo bei ni 2659Acha uongo nchi hii hakuna 2340 labda Kama ulikusudia kuandika 3240.
Nirudi kwenye mada, hapa mbarali 3252.
Kuuumbe mwanakwerekwe ipo Zanzibar, nisamehe mtoa mada na "MUUNGANO UDUMU"
Sijui ni Kwerekwe ya wapi, ila kama ni ya Zanzibar ni muongoHapa Mwanakwerekwe kibao kinaonesha mafuta ni sh 2340/=
Zanzibar Huko Ni SahihiUnapafahamu Mwanakwerekwe.? Au unabisha bila kutuliza akili.? Sasa Kisauni Diesel ni 2644 na Petrol ni 2642
ZanzibarNikajua ukerewe
Acha
Kampala.