EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Acha uongo nchi hii hakuna 2340 labda Kama ulikusudia kuandika 3240.

Nirudi kwenye mada, hapa mbarali 3252.
Unapafahamu Mwanakwerekwe.? Au unabisha bila kutuliza akili.? Sasa Kisauni Diesel ni 2644 na Petrol ni 2642
 
Ni picha sio maneno maana mwenye uzi mwenye ndo hivyo tena eneway sisi tulio na farasi tunacomment wapi?
 
Tanzania yetu hakuna anayeweza kuongoza harakati, kila mtu mchumia tumbo tu. Hata akina Mbowe na Lisu wametiwa fupa la nyama mdomoni hawasikiki tena.

Kwenye kadhia kama hii hawaonekani kabisa.

Huyu Kibajaji ni attention seeker tu

Hakuna mtu? Hata wewe haumo mkuu? Kama ndivyo mbona tutawatumikia sana wazenji?
 
Acha uongo nchi hii hakuna 2340 labda Kama ulikusudia kuandika 3240.

Nirudi kwenye mada, hapa mbarali 3252.

Kuuumbe mwanakwerekwe ipo Zanzibar, nisamehe mtoa mada na "MUUNGANO UDUMU"
hata huku Zanzibar ni muongo bei ni 2659
 
Kigoma
IMG_20220505_223852.jpg


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom