Je thamani ya heka ya Kenya , Ni sawa na thamani ya heka TZ?Nchi zote za Afrika Mashariki ukiitoa DRC, TZ ndio tuna bei ndogo za mafuta, ingia kwenye www.globlalpetrolprice.com acha hizi blah blah za kijinga.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa ni kilaza mzee, as at JUNE 14. Hata sisi tulikuwa chini hakufika hiyo 3000.
Mkuu bei ya Bidhaa Duniani inapimwa kwa USD sio pesa zenu za madafu.Je thamani ya heka ya Kenya , Ni sawa na thamani ya heka TZ?
Huoni we ndo una blah blah za mjinga?
Kuna Nchi Mkuu mafuta yameshuka na zipo nchi yamepanda sana.Hii bei ya Sasa ya mafuta imepanda sababu ya Vita Ukraine? Naomba mjadala hapa
Kwa sasa sifahamu ila Kuna kipindi maeneo nchi hii sukari ilifika hio bei,Kuna sehemu sukari 5000?
......tutakoma. Kama hutaki bei hizo hamia Burundi. Tanzania hatuchimbi mafuta!Na bado
Bei yetu la leo ni 1.38 alafu angalia na Kenya hapo na hiyo kwa petrol. fatuta diesel uone gap lilivyo.kubwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa ni kilaza mzee, as at JUNE 14. Hata sisi tulikuwa chini hakufika hiyo 3000.
Sasa angalia hapa as at 04.07.2022
Worldwide price.
Angalia wastani wa bei hizo kwa USD. Afu leta huo ujuaji wako.View attachment 2282162View attachment 2282163View attachment 2282164
Mkuu hii taarifa imeletwa na mtu Kama ulivyo ww Sasa hivi unaweza sema mafuta litre ya petrol ni 5000 huko kigoma.Kuna Nchi Mkuu mafuta yameshuka na zipo nchi yamepanda sana.
Kiufupi kama unanunua mafuta sawa na Nchi za Magharibi tegemea bei kuwa kubwa.
Nchi zinazouza mafuta bei rahisi ni ukanda wa mashariki kama Urusi na Iran.
Kwa sasa sifahamu ila Kuna kipindi maeneo nchi hii sukari ilifika hio bei,
Mkoa wa Kigoma wakumbwa na uhaba wa sukari; kilo yafikia Sh. 5,000/-
Huoni sahv kuna kasi kubwa sanaDuh, aisee.
Wafanyabishara wa mafuta wanapata faida kubwa sana.
Fikiria jamaa aliekua na shehena ya mwezi ya hadi leo, kesho ana bei mpya kabisa anapiga hela.
Vipi kauli ya Magu mwenyewe kwamba sukari ilikuwa 5000 akaishusha?Mkuu hii taarifa imeletwa na mtu Kama ulivyo ww Sasa hivi unaweza sema mafuta litre ya petrol ni 5000 huko kigoma.
Zanzibar ipi Mkuu? Hii ni bei elekezi ya Mafuta Zura Zanzibar ya JuneIt's not a reliable source
Kuhusu mafuta Wala usianze kusema sijui kununua wapi na wapi
Zanzibar Bei ipo chini kuliko huku
Serikali makini huwa zinapunguza natumizi yasio ya lazima ,hii ya walamba asali ndo kwanza inaongeza matumizi ya VAT kwa wengi na mawaziri waoSerikali kuweka ruzuku ya shs100 billion siyo suluhisho,na ruzuku hii haiwezi kupunguza bei ya bidhaa za mafuta.
Ushauri
1). Serikali iangalie uwezekano wa kupunguza utitiri wa Kodi ya ushuru wa forodha na VAT kwenye mafuta kwa kipindi hiki cha mpito (cutdown tax rates on petroleum products by 50%)
2). Serikali iangalie uwezekano wa kuondoa/kupunguza levies zote zinazotozwa kwenye bidhaa za mafuta ña taasisi mbalimbali hapa nchini kwa kipindi hiki cha mpito.Hizi taasisi zinamapesa mengi zinazotumika vibaya na watumishi wao.
3). Serikali, iangalie uwezekano wa kuendelea na bei ya Mwezi Juni 2022 hata Kama ikibidi kuongeza ruzuku kutoka shs 100 bilioni kwenda shs150 billion kwa masilahi mapana ya wananchi. hali ni mbaya huku kitaa.
Wakaldayo tunaipata. Tunamkumbuka aisee GT!Bei mpya za petrol na diesel zimetoka. Kama kawaida bei imepanda. Mfano Dar petrol ni 3,150 na Diesel ni 3,143. Sio mbaya maanake mishahara pia imepanda! Nchi imefunguka tulambe asali.
View attachment 2282045
Ni kweli kabisa baba mwajumaKweli kabisa maana majanga yote tuliyopata kama Tetemeko la kagera na Ile Ajali ya Mwanza mahela kibao yalikuja kama Rambirambi Magu hajakula hata sh 10 hela zote zilifaidisha wahanga.
Ama nasema uongo ndugu zangu 🤣🤣
Ko Unahalalisha matatizo ya nyumbani kwako kwa kulinganisha na matatizo ya jirani?Nchi zote za Afrika Mashariki ukiitoa DRC, TZ ndio tuna bei ndogo za mafuta, ingia kwenye www.globlalpetrolprice.com acha hizi blah blah za kijinga.