EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

Acha uongo basi
Angalia hapo diesel Kenya 2600, huku 3400
View attachment 2282153
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa ni kilaza mzee, as at JUNE 14. Hata sisi tulikuwa chini hakufika hiyo 3000.

Sasa angalia hapa as at 04.07.2022

Worldwide price.
Angalia wastani wa bei hizo kwa USD. Afu leta huo ujuaji wako.
Screenshot_20220706-000758_Chrome.jpg
Screenshot_20220706-000814_Chrome.jpg
Screenshot_20220706-000838_Chrome.jpg
 
Hii bei ya Sasa ya mafuta imepanda sababu ya Vita Ukraine? Naomba mjadala hapa
Kuna Nchi Mkuu mafuta yameshuka na zipo nchi yamepanda sana.

Kiufupi kama unanunua mafuta sawa na Nchi za Magharibi tegemea bei kuwa kubwa.

Nchi zinazouza mafuta bei rahisi ni ukanda wa mashariki kama Urusi na Iran.
Kuna sehemu sukari 5000?
Kwa sasa sifahamu ila Kuna kipindi maeneo nchi hii sukari ilifika hio bei,

Mkoa wa Kigoma wakumbwa na uhaba wa sukari; kilo yafikia Sh. 5,000/-
 
......tutakoma. Kama hutaki bei hizo hamia Burundi. Tanzania hatuchimbi mafuta!

Ninachoshangaa ni hizi namba za shilingi kwa mfano; kwa mfano bei ya dizeli Tabora ni TSh 3,252.00 kwa Lita. Je kweli nikienda kununua lita moja nitalipa kiasi hicho au nitalipa 3,250 (hasara kwa muuzaji), au 3260 (faida kwa muuzaji). Afadhali bei zote ziwe rounded to the nearest 10 au nearest 50.
 
Kuna Nchi Mkuu mafuta yameshuka na zipo nchi yamepanda sana.

Kiufupi kama unanunua mafuta sawa na Nchi za Magharibi tegemea bei kuwa kubwa.

Nchi zinazouza mafuta bei rahisi ni ukanda wa mashariki kama Urusi na Iran.

Kwa sasa sifahamu ila Kuna kipindi maeneo nchi hii sukari ilifika hio bei,

Mkoa wa Kigoma wakumbwa na uhaba wa sukari; kilo yafikia Sh. 5,000/-
Mkuu hii taarifa imeletwa na mtu Kama ulivyo ww Sasa hivi unaweza sema mafuta litre ya petrol ni 5000 huko kigoma.

It's not a reliable source

Kuhusu mafuta Wala usianze kusema sijui kununua wapi na wapi
Zanzibar Bei ipo chini kuliko huku
 
Duh, aisee.

Wafanyabishara wa mafuta wanapata faida kubwa sana.

Fikiria jamaa aliekua na shehena ya mwezi ya hadi leo, kesho ana bei mpya kabisa anapiga hela.
Huoni sahv kuna kasi kubwa sana
Ya vituo vya mafuta kujengwa....
Njiaa ya tandale kuna vituo vingi vya mafuta, pita goba uone napo
Tokea magomeni kwenda moroco ona
Napo,njia ya kwenda kawe pale mlalakuwa jeshini napo kuna kituo kinawekwa,haya njia panda ya kawe maringo kuna kituo kinawekwa..

Mafuta deal

Ova
 
Mkuu hii taarifa imeletwa na mtu Kama ulivyo ww Sasa hivi unaweza sema mafuta litre ya petrol ni 5000 huko kigoma.
Vipi kauli ya Magu mwenyewe kwamba sukari ilikuwa 5000 akaishusha?
It's not a reliable source

Kuhusu mafuta Wala usianze kusema sijui kununua wapi na wapi
Zanzibar Bei ipo chini kuliko huku
Zanzibar ipi Mkuu? Hii ni bei elekezi ya Mafuta Zura Zanzibar ya June
285264280_3090816567915631_569151061069077773_n.jpg

Petroli 2924 sawa na mikoa ya pwani June, Diesel 3582 Ghali kuliko mikoa ya Pwani June.

Bado ya July haijatoka.
 
Serikali kuweka ruzuku ya shs100 billion siyo suluhisho,na ruzuku hii haiwezi kupunguza bei ya bidhaa za mafuta.

Ushauri
1). Serikali iangalie uwezekano wa kupunguza utitiri wa Kodi ya ushuru wa forodha na VAT kwenye mafuta kwa kipindi hiki cha mpito (cutdown tax rates on petroleum products by 50%)
2). Serikali iangalie uwezekano wa kuondoa/kupunguza levies zote zinazotozwa kwenye bidhaa za mafuta ña taasisi mbalimbali hapa nchini kwa kipindi hiki cha mpito.Hizi taasisi zinamapesa mengi zinazotumika vibaya na watumishi wao.
3). Serikali, iangalie uwezekano wa kuendelea na bei ya Mwezi Juni 2022 hata Kama ikibidi kuongeza ruzuku kutoka shs 100 bilioni kwenda shs150 billion kwa masilahi mapana ya wananchi. hali ni mbaya huku kitaa.
 
05 Julai 2022
Katika lugha maalum ya wanaCCM 'Pongezi kwa serikali' kwa kutoa taarifa ya kushirikisha waTanzania kuchangia kodi ili kazi ziendelee. Mwisho wa nukuu.

N.B
Toka maktaba:

10 May 2022

Dodoma, Tanzania

"SERIKALI YATOA BILIONI 100 ILI KUPUNGUZA BEI YA MAFUTA" - WAZIRI MAKAMBA

Serikali kuweka ruzuku ya shs100 billion siyo suluhisho,na ruzuku hii haiwezi kupunguza bei ya bidhaa za mafuta.

Ushauri
1). Serikali iangalie uwezekano wa kupunguza utitiri wa Kodi ya ushuru wa forodha na VAT kwenye mafuta kwa kipindi hiki cha mpito (cutdown tax rates on petroleum products by 50%)
2). Serikali iangalie uwezekano wa kuondoa/kupunguza levies zote zinazotozwa kwenye bidhaa za mafuta ña taasisi mbalimbali hapa nchini kwa kipindi hiki cha mpito.Hizi taasisi zinamapesa mengi zinazotumika vibaya na watumishi wao.
3). Serikali, iangalie uwezekano wa kuendelea na bei ya Mwezi Juni 2022 hata Kama ikibidi kuongeza ruzuku kutoka shs 100 bilioni kwenda shs150 billion kwa masilahi mapana ya wananchi. hali ni mbaya huku kitaa.
Serikali makini huwa zinapunguza natumizi yasio ya lazima ,hii ya walamba asali ndo kwanza inaongeza matumizi ya VAT kwa wengi na mawaziri wao
 
Kweli kabisa maana majanga yote tuliyopata kama Tetemeko la kagera na Ile Ajali ya Mwanza mahela kibao yalikuja kama Rambirambi Magu hajakula hata sh 10 hela zote zilifaidisha wahanga.

Ama nasema uongo ndugu zangu 🤣🤣
Ni kweli kabisa baba mwajuma
 
Kuna kitu huwa sielewi hapa inaonesha Bagamoyo bei ya mafuta ni 3521 na ndio wanapopunguzia,mbona hii bei siioni sheri za hapa Bagamoyo? Bei ya mpaka jana tarehe tano ni Tsh 3142 kwa diesel hapa Bagamoyo mjini. Naomba nieleweshwe hizi zinazoandikwa humu huwa ni zinatoka wapi maana mwisho wa siku mafuta yanashuka lakini ndio kiuhalisia yanabaki pale pale. Au hizi ni expected prices za mzigo mpya unaoingia?
 
Back
Top Bottom