EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

Awamu hii KILA kitu bei juu sio soda, mkate, dawa, bidhaa zote , halafu pesa Hakuna ukiipata haina thamani,
Elf 10 ni SAwa na mia 500.
Magu pesa ilikuwa ngumu kupata lakini vitu bei chini.
Yule jamaa pale wizaarani anachojua ni kuongeza sifuri tu kwenye bajeti, hana ubunifu kabisa wa kubuni chanzo vya mapato zaidi ya kukamua wananchi.
 
EWURA imegeuka kuwa dalali wa wafanya biashara ya mafuta na sio tena regulator. Hivi hawaoni aibu? Alafu janja yao iko wazi mno. Inakuwaje bei ya petrol kabla ruzuku iwe 3494 alafu baada ya ruzuku iwe 3220? Huku bei ya dizel kabla ya ruzuku ni 3500 na baada ya ruzuku inakuwa 3140? Je hii ruzuku ni discriminatory kwa aina fulani ya mafuta? Mafuta yaliyokuwa juu kabla ya ruzuku yanakuwa chini baada ya ruzuku huku yaliyokuwa chini kabla yanakuwa juu baada ya ruzuku? Hii hesabu ya wapi wajameni.
Hamna Kiongozi pale .. ni hewa kabisa, mtupuuuu .

Ukimuuliza Bilion 100 zimefanya nn?? Sasa mwezi wa nane ,wanatangaza Tena mpya..mwezi wa kumi, kumi na mbili , mwakani yaan Kila baada ya miezi miwili EWURA haoooo!!

Hamna kitu, tumepigwa Sanaa, kwenye nyakati kama hizi za Crisis Huwa UNAHITAJIKA KUA NA RAIS MWENYE AKILI, MBUNIFU, MISIMAMO, MWENYE UTHUBUTU NA KUJIAMIN ,MZALENDO .!!

SASA KAMA WAFANYABIASHARA WANDANI SAHIZI BEI WANAJIPANGIA WANAVYOTAKA, NCHI IMEKOSWA BEI ELEKEZI ,,,, ATAWAWEZA HAWA MABWANYENYE!????

Tukisema Magufuli Alikua Mwamba, muwe mnatuelewa !!.
 
Wananchi tunapigwa mbele nyuma ni mwendo wa kukamuliwa tu, leo parking hadi uchochoroni yaani usitoke na gari home hata ukienda tu bar we park ukitoka tu unadaiwa hela ya parking. SAsa hadi nje ya mji ushuru wa parking wa nn chanika, tegeta, mbagala huko. Maana tujuavyo lengo la parking ni kupunguza foleni city center, sasa mbona mwatufata hadi nje ya mji, leo ukitoka tu na gari andaa elf 5 parking, hela ya traffic,achilia gharama za kuliingiza nchini. Wamekosa ubunifu kabisa wa kupata vyanzo vya pesa zaidi ya kuwakamua wananchi masikini ambao wameshindwa wajengea uwezo wa kuziona fursa wazalishe.
 
Hamna Kiongozi pale .. ni hewa kabisa, mtupuuuu .

Ukimuuliza Bilion 100 zimefanya nn?? Sasa mwezi wa nane ,wanatangaza Tena mpya..mwezi wa kumi, kumi na mbili , mwakani yaan Kila baada ya miezi miwili EWURA haoooo!!

Hamna kitu, tumepigwa Sanaa, kwenye nyakati kama hizi za Crisis Huwa UNAHITAJIKA KUA NA RAIS MWENYE AKILI, MBUNIFU, MISIMAMO, MWENYE UTHUBUTU NA KUJIAMIN ,MZALENDO .!!

SASA KAMA WAFANYABIASHARA WANDANI SAHIZI BEI WANAJIPANGIA WANAVYOTAKA, NCHI IMEKOSWA BEI ELEKEZI ,,,, ATAWAWEZA HAWA MABWANYENYE!????

Tukisema Magufuli Alikua Mwamba, muwe mnatuelewa !!.
Urais ni taasisi Mkuu, acha kumlaumu mama, mama anafanya yale ambayo taasisi ya urais umeona kuwa yanafaa.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
EWURA imegeuka kuwa dalali wa wafanya biashara ya mafuta na sio tena regulator. Hivi hawaoni aibu? Alafu janja yao iko wazi mno. Inakuwaje bei ya petrol kabla ruzuku iwe 3494 alafu baada ya ruzuku iwe 3220? Huku bei ya dizel kabla ya ruzuku ni 3500 na baada ya ruzuku inakuwa 3140? Je hii ruzuku ni discriminatory kwa aina fulani ya mafuta? Mafuta yaliyokuwa juu kabla ya ruzuku yanakuwa chini baada ya ruzuku huku yaliyokuwa chini kabla yanakuwa juu baada ya ruzuku? Hii hesabu ya wapi wajameni.
Hizi hesabu za haraka haraka usiku baada ya kuvuta chao toka kwa wafanyabiashara.
Ukija na njia mbadala za kuzalisha mafuta yenye ubora SAwa na dizeli, petrol,mafuta taa uuze kwa bei chini huwezi pewa kibali kwa niaba ya wafanyabiashara wa mafuta.
Zipo njia nyingi tu za kupata dizeli, petrol mafuta ya taa ambayo unaweza ukauza kwa bei chini mara tatu ya hii shida huwezi pata kibali na kesi ya uhujumu uchumi itakuhusu ukaozee jela kama zumarid.
 
Si walidai wanawekeza bln 100 kwenye ruzuku ya mafuta ili yapungue bei!
Ile B 100 ilikua ni ya kwanza! Soma vizuri hapo wameweka tena B 100 nyingine kwenye diesel ila Mziki ni ule ule 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 HIVI MANARA ANAKUNYWAGA JUICE GANi VILE?
 
Hao wanawekewa mafuta bure kwa mwezi KILA v8 lita 2000 SAsa watashindwa vipi kuongeza sifuri.
Kama raisi haendi dukani kununua mkate KILA kitu bure atajuaje bei ya mkate, kitunguu, mafuta ya kula.
Kama uguswi na kitu huwezi umizwa nacho. Shida ya usafiri kwa wanafunzi nchini Ingekuwa ilishaisha kama watoto wao wangekuwa wanapanda daladala. Lakini wao upelekwa mashuleni na ma v8 ambao uwekewa lita 2000 bure KILA mwezi kupitia kodi zetu.
 
Mkuu sina connection kwa mama.
Wasukuma wangu wametupwa nje wanalia na kusaga meno nami nilikuwa naponea migongoni mwao🤣🤣🤣

Kabisa
Kwani kubadili kabila uwe mzanzibar ni bei gani jaribu huko utalamba asali.
 
Si huwa tunawaambia hakuna Rais hapa na mnabisha. Rais huwa hapimwi kwa kuvaa suti na kupanda ndege, Rais hupimwa kwa changamoto anazopitia na response yake na mikakati endelevu. Huwezi beba mtu mwenye elimu haieleweki imepatikaje, timeline na mtiririko wake havieleweki ukampachika cheo kutimiza usawa wa kijinsia kisha ukampa nafasi ya juu ya nchi "kwa kudra za Mwenyezi Mungu" ukatarajia maajabu. Sanasana akiweza ni kusoma hotuba anayoandikiwa, kuigiza jambo ambalo hata Ebitoke anaweza na kusafiri.

India inanunua mafuta bei nafuu kutoka Urusi na inauza tena soko la dunia, inanunua pia makaa ya mawe kwao. China inanunua gesi nafuu kwao. Tanzania haiwezi nunua kwa Urusi kwa sababu HAINA AKILI, nchi nzima ni vilaza watupu. Nchi zenye akili huwezi ongoza bila maono ukabaki. Ujerumani na nchi kibao za Ulaya zinanunua gesi Urusi, anayesema hatuwezi nunua kwao kisa sanctions mbona hao wazungu walioweka sanctions bado energy sources wananunua uko na isitoshe nishati haina sanctions kivile. Sanasana tatizo hapa ni SWIFT ya kufanyia malipo, ila mbona India wanalipa kwa njia mbadala. Hapa ndio akili zinatakiwa kuwa na alternatives.

Nenda Urusi agiza mafuta subiri tankers zije. Mambo ya vibari na mikataba ndio tujue umuhimu wa kuwa na mikataba inayotupa advantage
 
Kuna watu bado mnaiamini CCM eti bei ingeshuka?

Kama waliweza kuingiza kura zilizopigwa tayari kwenye mabegi na vkapu mchana kweupe na polisi wakiwepo watashindwa kuwazuga eti kuna ruzuku?
 
Back
Top Bottom