Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Umesema ukweli kabisa yaan ndio maana nafikilia nikukute hapo beach unafanya mazoezi na mimi uniokoe kwa kweli,
 
Safi, sasa usizingue tena ukizingua tunakuvunja kiuno!!
 
Kama ulikuwnae kwe seriously relationship love haito work

Mimi yamenikuta mwaka jana , kitachotokea after one month mmoja atakuw kama anavuta Gari bovu mlimani.


Kwangu ndivyo ilivyokuwa
 
Hivi kwani ni lazima wote tuoe ,achana na ndoa acha mahusiano fanya vitu vya msingi
Mkuu achana na upepo wa kukataa kuoa

Ndoa ni kitu asili kuikwepa ni kupoteza muda tu sooner or later you will need it

It gets pretty lonely when you become senior citizen, nami siko tayari kuishi mpweke
 
Lakini nimegundua ana stress za maishaa, bado hajafanikiwa kama mwanaume... So yeye alijua nitamnyenyekea kama zamani...
Doh pole yake, ila kama ana moyo mzuri na mipango thabiti ya maisha consider giving him a second chance mkuu
 
Kama ulikuwnae kwe seriously relationship love haito work

Mimi yamenikuta mwaka jana , kitachotokea after one month mmoja atakuw kama anavuta Gari bovu mlimani.


Kwangu ndivyo ilivyokuwa
Dah pole mkuu

Nini hasa kilitokea? Alifanyaje
 
Inaonekana ulimpenda sana huyu mwamba, kosa lilikuwa ni kukubali mrudiane na wakati alikuacha kwa dharau

Ila ulipata uzoefu nafikiri hata ikitokea siku andunje anazingua hautarudia kosa.

A bitter experience makes us a better person
A bitter experience makes us a better person,, nimependa sana hili neno nje ya mada

Nilipitia nyakati ngumu sana wakati fulani hivi,, basi kwa uchungu na maumivu yale yamenifanya leo kuwa bora zaidi,
 
Write your reply...Kurudiana na ex hutegemea Mambo kadha wa kadha.

Kwanza kabisa Ni mliachana namna gani( kwa vurugu ama kwa amani) na Ni Nini haswa kilichosababisha mkaachana.

Ili mi sionagi Kama Ni busara Kurudiana na mtu ambaye tayari mlishazinguana mkaachana.It sounds very pathetic.
 
It was a bad idea kurudiana na yule msichana. At first sikujua hili na mambo yalienda vizuri hadi nikapanga kwenda kujitambulisha.

Kumbe hakua amebadilika. Kilichofuata ni stress juu ya stress. I am a man but I admit yes iliniumiza but finally nikahandle vizuri

Nilipata funzo kubwa sana from that incident na ni mwaka sasa maisha yangu yamebadilika sana.

Dina, thank you, ulizingua but umesaidia sana kunibadilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…