Woi sasa mimi na wewe nani anajificha kwenye mwandiko!!huu uzi ni wangu na mimi ndie ninaejua ๐ฏ nini ni nini.Vyovyote ila ujumbe umeupata,unajificha kweny kivuli cha mwandiko
Kicherema ni sabuni ya kipande iliyotumika kweli kweli ikabakia kidogo..halafu chembamba kinachokaribia kuvunjika๐๐Hahah, kicherema ndio kitu gani?
Hizo za kusimamisha turubai jioni na kuling'oa asubuhi, only God knows...ila nishatundika daruga Mungu ni mwema
Hakuna kitu kama hicho,nmewananga mnaoleta unafiki wa kuwaombea Ex wenu wkt mliachana..ww ndo naona umepanic hadi unaanza ku argue na masuala ya muandiko wkt ujumbe umeupataWoi sasa mimi na wewe nani anajificha kwenye mwandiko!!huu uzi ni wangu na mimi ndie ninaejua ๐ฏ nini ni nini.
Naona uko na mzigo moyoni mwako Hebu kunywa kwanza maji ya moto yenye tangawizi,asali na limao ushushe mzigo uliobeba๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ
Bora wewe umeongea ukweli wa moyo wako, hakuna mwanamke ambaye anaweza kuachwa na akakufikiria kwa wema, huwa wanatamani hata ufeAkizaliwa upya awe mchanga nimkanyage...too late
Kicherema ni sabuni ya kipande iliyotumika kweli kweli ikabakia kidogo..halafu chembamba kinachokaribia kuvunjika๐๐
Haki bwana asimame nawe kwenye swala la mapenzi na viunga vyake
Kicherema ni sabuni ya kipande iliyotumika kweli kweli ikabakia kidogo..halafu chembamba kinachokaribia kuvunjika๐๐Hahah, kicherema ndio kitu gani?
Hizo za kusimamisha turubai jioni na kuling'oa asubuhi, only God knows...ila nishatundika daruga Mungu ni mwema
sawa baba umeshinda.tuendelee kujenga nchiHakuna kitu kama hicho,nmewananga mnaoleta unafiki wa kuwaombea Ex wenu wkt mliachana..ww ndo naona umepanic hadi unaanza ku argue na masuala ya muandiko wkt ujumbe umeupata
Aya kanletee tofali na mchangaKicherema ni sabuni ya kipande iliyotumika kweli kweli ikabakia kidogo..halafu chembamba kinachokaribia kuvunjika๐๐
Haki bwana asimame nawe kwenye swala la mapenzi na viunga vyake
sawa baba umeshinda.tuendelee kujenga nchi
Nakazia!!Ukweli ni kwamba watu wakiachana kuna kua na uadui wa chinichini, iyo kuombeana mema ni unafiki tu, maana hadi kuachana means kuna baya lilitokea kwenye mahusiano yenu
Gonga Like Kwa Mwamba Huyu Hajauma ManenoMungu ambariki EX wangu (first lover wangu)
huyu tuliachana kwa amani tuliitana mezani tukafanya analysis tukaona hakuna mwendo tukavunja mahusiano .
asubuhi ya leo amenipigia anasema angependa kuja nilipo kuifanya Master research yake i was like njoo na nitakuandikia research report yako buree.
anyway kuna mbwa iliniacha December au January baada ya kumkabidhi maisha yangu for 6 or 7 years yule mbwa ni bora angenichoma tu moto ndani ya Nyumba, sina cha kumuombea one day i will find her in a corner that i will have a chance to burn her to death MF
Wangu nilimuombea mabaya mno,sikutamani kumuona akifanikiwa wala akiwa na furaha kabisa,ilinichukua zaidi ya miaka mitatu au minne na zaidi.Nilianza kusali,lakini sala zangu zilikuwa ni za uchungu na laana juu yake nilikuwa nalia mno๐ฅบ๐ฅบnilikuwa najiona nasali kumbe kiuhalisia nilikuwa nanungโunika(kwa tafsiri nyingine ni kwamba nilikuwa namwambia Mungu amwangamize)Bora wewe umeongea ukweli wa moyo wako, hakuna mwanamke ambaye anaweza kuachwa na akakufikiria kwa wema, huwa wanatamani hata ufe
DuhWangu nilimuombea mabaya mno,sikutamani kumuona akifanikiwa wala akiwa na furaha kabisa,ilinichukua zaidi ya miaka mitatu au minne na zaidi.Nilianza kusali,lakini sala zangu zilikuwa ni za uchungu na laana juu yake nilikuwa nalia mno๐ฅบ๐ฅบnilikuwa najiona nasali kumbe kiuhalisia nilikuwa nanungโunika(kwa tafsiri nyingine ni kwamba nilikuwa namwambia Mungu amwangamize)
Nilikuwa nakwenda kwenye maombi sana kanisa la KKKT Korogwe,au Kwenye mikutano ya Mwalimu Mwakasege kipindi hicho ilikuwa ni viwanja vya mlimani kabla hajaamia Tanganyika Packers.kupindi chote nilikuwa nasali kwa kunungโunika tu.
Siku ya mwisho wa mkutano Tanganyika packers wa mwakasege ndo siku ambayo nilifunguliwa ufahamu kwa yale maombi ya miaka yote niliyokuwa nayaomba.sikuwa sahihi hata kidogo.nilijipa muda wa kumtafakari Mwamba kwa kina sana nikagundua kuwa ninadhambi ya kutubu ya kumuombea masta mabaya.mwamba alikuwa baba,mama,kaka,dada,mshkaji wangu,mwalimu wangu alikuwa kila kitu kwa kipindi hicho.
Ilinibidi nianze upya kusali kuomba toba iliyothabiti.nakumbuka nilifunga siku 80 kama sio 100 kwa ajili ya kuomba msamaha kwa Mungu kwa maombi ya laana niliyokuwa nikumuombea.niliahidi kufunga hata siku elfu moja mpka pale nitakaposhusha mzigo niliokuwa nimemuwekea mwamba siku nitakayopata Amani na nikawa sina kinyongo tena basi ndipo siku nitakayoacha kufunga(wachache mno watanielewa nikisema kushusha mzigo na kuitafuta amani ya moyo)
Moyo wangu ni mweupe kwake kama theluji.ninauhakika alitumwa na Mungu kwenye maisha yangu kwa asilimia ๐ฏ.yapo mengi sana ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya huyu kiumbe.
Na nikisikiaga mke wake anamsumbua natamani nikamzibue huyo mwanamke vibao 20 mfululizo astuke usingizini.
Mpka sasa sijapata mtu siriazi mwenye tabia kama zake. alinifundisha usela flani Hivi.imagine tulikuwa tukitaka kupelekeana moto utamsikia โmwanangu tukapige basi gameโorโtwende tukakulane basiโtulikuwa tukipika pamoja..huku vitunguu vinaungua jikoni sisi tu napiga game๐๐jamani..yani tulikuwa kama watoto vile.
Mjinga yule alijua kunifundisha maisha namshukuru mno. Sijui nisingekutana nae kwenye maisha haya ningekuwa na maisha gani.nazidi kumtukuza Mungu kwa ajili yake aiseh.
Niliahidi kumchukua yatima mmoja awe mtoto wangu niwe mzazi wake hii yote ni kusema asante kwa Mungu na Mwamba kwa waliponitoa.hili ni lazima nilitekeleze hatotokea wa kuubadilisha huu msimamo.
Mungu wa majeshi azidi kumtunza huyu baba.amuepusha na kila hila ya muovu shetani.Amen
Aiseh...alikufanya nini Chief.Mungu ambariki EX wangu (first lover wangu)
huyu tuliachana kwa amani tuliitana mezani tukafanya analysis tukaona hakuna mwendo tukavunja mahusiano .
asubuhi ya leo amenipigia anasema angependa kuja nilipo kuifanya Master research yake i was like njoo na nitakuandikia research report yako buree.
anyway kuna mbwa iliniacha December au January baada ya kumkabidhi maisha yangu for 6 or 7 years yule mbwa ni bora angenichoma tu moto ndani ya Nyumba, sina cha kumuombea one day i will find her in a corner that i will have a chance to burn her to death MF
hahhahhaahaha nitapata tabu kupanda panda ndege kwenda kulishangaa sanamu langu ChamwinoGongo Like Kwa Mwamba Huyu Hajauma Maneno
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐
Ushauri Huyu Mwamba Sanamu Yake Ikajengwe Chamwino Ikulu
๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐๐๐๐๐
Km yupo atakuja kusema ila hayupo no commentsKipenzi kipenzi ๐๐