EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

namuombea hii changamoto ya upumuaji ipite nae yule kupe mnyonya damu, shetan wa mguu mmoja. Afe kifo kibaya sana yule msichana
 
Chief umeshaoa?kama bado tafuta mke uoe uanzishe familia yako.

Achana na roho ya visasi.

Mwache amalizie kufua kwanza
 
Mkuu punguza jazba, na usitembee na bastola pengine mnaweza mkakutana njiani ukaleta mabalaa kama vijana wa sinza [emoji38]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Siwezi piga mtu bastola ili nifungwe ? hapana nilishakaa mahabusu mwezi mzima kule sio pakwenda kaka.
Na siwezi kujiua nina exposure na haya maisha ni matamu sana tena sana haijalishi una pesa au huna
 
Waanzishie whatsApp group hao Maex wako... Na uwaombe whatsApp wenyewe wakupe uadmin ambao mtu akitaka kuleft awe hawezi baada ya wewe kumu-add hadi hapo utakapomuondoa wewe mwenyewe kundini
Jehovah ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Siwezi piga mtu bastola ili nifungwe ? hapana nilishakaa mahabusu mwezi mzima kule sio pakwenda kaka.
Na siwezi kujiua nina exposure na haya maisha ni matamu sana tena sana haijalishi una pesa au huna
Asante Yesu
 
Ana hasira vibaya sana, sema kwa aliyomtendea yote yale halafu analeta ujinga wa namna hiyo unaeza ua mtu aisee

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ndo mana nasema hivi asamehe.kitu ukikisema na kukisimamia kinaendelea kukua siku baada ya siku aiseh

Ana hasira kali mno aiseh
 
Chief umeshaoa?kama bado tafuta mke uoe uanzishe familia yako.

Achana na roho ya visasi.

Mwache amalizie kufua kwanza
Sioi boss na nina sababu 100 za kwanini sioi.

ningekuwa mtu wa visasi leo hii ningekua jela
sikumlazimisha kukaa, nilitaka aage vizuri hata nisingemzuia
 
Ndo mana nasema hivi asamehe.kitu ukikisema na kukisimamia kinaendelea kukua siku baada ya siku aiseh

Ana hasira kali mno aiseh
Chakorii kuna takataka zinatakiwa kufundishwa kutoa hata neno la shukurani hata kanisani tunaambiwa kila siku.
Imagine rafiki yake ananipigia simu anasema " fulani anasema haukua na mpango wa kumuoa ndiomana akakuacha"nilikata simu na ndio hapo nikaanza kuingiwa na plan ya kumsulubu before sikuwa na haya mawazo yani pamoja na yote yale anasema sikuwa na mipango ya kumuoa real? alitaka assurance ya aina gani?
 
Wacha bhana huo sio wivu bali ni ugonjwa.

Hakuna mtu asiye na wivu aiseh
Hata mimi ninawivu haswa ila nikiona ninaemletea wivu naona giza..woi nabonyeza button pendwa๐Ÿ˜๐Ÿ˜imeisha hiyo
 
Sioi boss na nina sababu 100 za kwanini sioi.

ningekuwa mtu wa visasi leo hii ningekua jela
sikumlazimisha kukaa, nilitaka aage vizuri hata nisingemzuia
Unasema hufanyi nini??labda pengine umri bado.aise..
Umejeruhika mno Chief.muda ni mponyaji mzuri sana utakuja kuoa bhana usifanye hivyo na wewe.

Mwanamke atakaekuwa na wewe atateseka kwa kipindi fulani maana unamajeraha mno.

Pole sana mwamba aiseh ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ
 
Abou pleeeeaase...๐Ÿ˜Œ

Achana na huyo mtu nawala usifikirie kulipa kisasi.please

Please Abou๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ