EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

Siwaombei mabaya ya aina yoyote na wakiwa na mafanikio nafurahi sana. Wote huwa tukikutana tunaongea vizuri tu na ikiwezekana mnakumbushia enzi za penzi moto moto.

 
Aisee, whomever i dated u, i dont hate u. Nakuombea sana mafanikio. Hate ni kwa loosers. Usipungukiwe kinamna yoyote ile. Moyo wako ukajazwe na amani. Furaha na upendo visikosekane maishani mwako. Ndoto zako zikatimie. Furaha yangu ni kuona umafanikiwa kila lililo hitaji la moyo wako. I dont hold u. Nimekusamehe kivyovyote vile. Enjoy every moment of ur life
 
huwa sipendi kukutanao hata kwa bahati mbaya ila wengi walinikosea ila nimeshawasamehe ila sitaki kujua wapo wapi au wanafanya nini
Sijasema ukutane nao..nimeuliza maombi yako ni yapi kwa Ex lover wako
 
Siwaombei mabaya ya aina yoyote na wakiwa na mafanikio nafurahi sana. Wote huwa tukikutana tunaongea vizuri tu na ikiwezekana mnakumbushia enzi za penzi moto moto.
Ohoooo usaliti haiwezi kupungua aiseh kha
 
Reactions: BAK
Baada ya kuona nimeolewa anakuja kwa kasi ya ajabu analia lia..anasema mimi ndo nilikuwa mkewe. MUNGU amjalie mke mwema na amzidishie fedha zaidi
Ameeen...
Alikuacha au ulimuacha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…