EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

Jah amzidishie mafanikio na baraka tele, apate kila kile anachohitaji na afurahie kwa yote afanyayo.

Sitamsahau kamwe ktk maisha yangu, kwani alisimama na mie ktk kila hali, ilifikia hatua nilikua naona dunia mzigo, ila alinishika mkono na kuniinua.

Amenijenga kifikra, mtazamo na mawazo chanya juu ya kile ninachokiamini au kilichopo ndani yangu, amenipa mengi maarifa na ujuzi, kujiamini na kujikubali kwa kila hali niliyopo.

Awe na furaha na amani ktk mahusiano yake,

Nakukumbuka sana M. ntakupenda milele.
 
😐😐siwezi mpa atanidharau mimi na hubby....alaf ukishakuwa x wangu yan huwa sirudi nyuma..
😘😘😘😘😘ni ushamba sana.hata kama unamkubali vipi usikubali aiseh kurudi nyuma
 
Safi kabisa nilijua utampa nafasi ningekunasa makonzi wallahi.
 
😍😍😍
 
Moyo wangu kwa stage uliopo naeza fanya ya NEEMA haki vile I need counseling [emoji1751]
Heeee wewe..si umuache tu kwani lazima!mama hata kama wanaume wako wachache sio kwa hatua hiyo.

Achana nae nenda kaote kwa mwanaume mwingine hakuna haja ya kutoana uhai.

Mapenzi majani huota popote madame..kaote hata Somalia huko..ebooooo
 
Kwa wengine isipokuwa kwa mmachame mmoja aseeee yule KIMA huwa sitamani hata kuwasiliana naye
Huyo mmachame maombi unayomuombea kwakweli bwana asimame tu hakuna namna.

Swali la kizushi.hivi ni Kwanini mnawachukia wachaga?
 
Sina ex , nimepumzishana nao tu na bahati mbaya/nzuri bado hawajaolewa kwahiyo ni mda wowote narudisha majeshi kwa yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…