EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

Masta aise!!

Yani mapenzi yanaumiza mno aiseh.bora mkulane mmalizane tu hakuna namna [emoji18][emoji18]

Chief umejua kuua aiseh kha
Hiyo sentensi ya pili nimeisoma kwa hisia ...
 
Masta aise!!

Yani mapenzi yanaumiza mno aiseh.bora mkulane mmalizane tu hakuna namna 😌😌

Chief umejua kuua aiseh kha

Maisha ndio haya haya Chakorii πŸ₯°πŸ˜ŠπŸ˜

We only live once, so enjoy every moment in your life
 
Wengi Mmeweka Comments Za Kinafki Mno
Eti Unamuombea Afanikiwe Mara Sijui Nini

Tozo Za Miamala Tu Watu Wanaomba Waliohusika Yawapate Mabaya Tena Haraka Haraka
Sembuse Huko Kwenye Dyu Dyu.....

Vita Ni Vita
Yego Kutiki πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†
 
Najarbu kusoma unafiki wa watu humu siuelewi!kama unamuombea mema kwa nn usingekuwa unamuombea wkt ukiwa nae ili aendelee kubaki?mmeshndwa kuiendelea kwa mausiano yenu kisa kugombana au kutofaitiana afu mnajikuta et mnaombeana,huo ni uongo mtupuu
Labda uongo uko kwako masta kujifanya mtakatifu πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Cjasemn
Labda uongo uko kwako masta kujifanya mtakatifu πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
a
Labda uongo uko kwako masta kujifanya mtakatifu πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
nyie ndo mnajifanya watakatifu kwa kuwaombea mema kumbe hamnaa,kwa nn muachane na kuitana majina sijui Ex,mlishindwa kuombeana kuendea kubak pamoja hadi muachane ndo muombeane?huo ndo unafiki wenyewe
 
Cjasemn
a nyie ndo mnajifanya watakatifu kwa kuwaombea mema kumbe hamnaa,kwa nn muachane na kuitana majina sijui Ex,mlishindwa kuombeana kuendea kubak pamoja hadi muachane ndo muombeane?huo ndo unafiki wenyewe
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…

Yaani Wengine Humu Wanafki Mkiachana Kuna Mengi Sana Hayasemwi Ambapo Yakisemwa JF Itajaa

Mifano Tele Kubambikiwa Mimba Ya Mtu Mwingine
Mwingine Kumkuta Na Messages Za Kuliwa πŸ˜πŸ™„πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜‘πŸ˜
 
Kabxa mkuu,ila huku wanajifanya wanaombeana,utaombeaje mtu aliekucheat na ukajua kabxa,bad enough kqcheat na rafik yako huku akijua kabxa unampenda na hicho kitendo kitakuumiza......waache unafiki bhnaa,mi sikuombei mabaya wala mazur,ki mpango wake huko aliko
 
Ndiyo Ukweli Wenyewe

Yaani Wanasema Unaondoka Halafu Unatazama Mbele Tu,Watu Tayari Wamekalia Uongo Tu
Thread Za Chai Ya Rangi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜€
 
Iko hivi unajikuta mmeshea vitu vingi mno wakati uko kwenye mapenzi yenu,amekusaidia mno pengine hata kukupeleka shule etc..

Mnakuja kuachana unajikuta yale mazuri aliyokufanyia au msaada aliokupa hakuna mtu mwingine ambae amefikia hata 1/3 ya x alichokifanya.

Ingawa mwanzo kuna maumivu mno pengine hata maombi ya laana lakini ukija kurudi kwenye akili timamu unagundua mwamba alikuwa na upendo wa ajabu sema ni vile haikupangwa kufika mbali.

Kuna maumivu yanatokea ila kujua watu,kujifunza,uvumilivu,si kila mtu ni mwema na mengine.

Kama bado unamuombea Ex-wako mabaya yampate basi ujue alikuwa anaprovide sex tu na sio mengine..au bado hujapata muda wa kuyatafakari mazuri machache aliyokufanyia mbali na kuunganisha sehemu za siri kwa pamoja.
 
Haya Chief siku ukijua kutofautisha X na S utaelewa lugha inayongelewa Hapa
 
Ndiyo Ukweli Wenyewe

Yaani Wanasema Unaondoka Halafu Unatazama Mbele Tu,Watu Tayari Wamekalia Uongo Tu
Thread Za Chai Ya Rangi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜€
Sasa kama wewe ulikuwa unapewa ngono tu unanini cha kukumbuka hapo kwa mfano.ngono si mapenzi mwamba.unaweza pats ngono sehemu yoyote ile..Hallelujah
 
Cjasemn
a nyie ndo mnajifanya watakatifu kwa kuwaombea mema kumbe hamnaa,kwa nn muachane na kuitana majina sijui Ex,mlishindwa kuombeana kuendea kubak pamoja hadi muachane ndo muombeane?huo ndo unafiki wenyewe
Hii lugha tunayoongea hapa wala hujafikiria kuitambua na ndo mana umeshindwa kutofautisha ngono na mapenzi.uwe na wakati mwema πŸ₯‚
 
Hawajafika 50 😊 lakini ni wengi...kiasi ukianza orodhesha unaweza pata umemsahau mmoja au wawili usipohakiki list
Hapo ni mbali na zile za one stand night 😁😁Chief hongera.

Ingekuwa sabuni walai ungekuwa na kicherema kimoja matratra mno
 
Unamzigo moyoni masta na bado umewashikilia..waachie ruhusu maisha mengine yaendelee
 
Hapo ni mbali na zile za one stand night 😁😁Chief hongera.

Ingekuwa sabuni walai ungekuwa na kicherema kimoja matratra mno

Hahah, kicherema ndio kitu gani?

Hizo za kusimamisha turubai jioni na kuling'oa asubuhi, only God knows...ila nishatundika daruga Mungu ni mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…