BLOOD DIAMOND
Member
- Mar 24, 2017
- 92
- 122
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]10million of 19million vote mark threshold crossed ...where is Nasa and their 10 million strong slogan
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia 67 ya kura zishahesabiwa, mnasubiria miujiza ya Jecha au.?Raila anashinda majimbo yake yenye kura nyingi bado hayajahesabiwa
Kuna CUF ya Lipumba, wao washajitoa, tuko ambao hatuna ushabiki wa vyama tushajitoa, kuna waliopiga kura za hasira nao washashtuka..Wale millioni 6 wanaomkosesha mkulu usingizi walikua ccm sio acheni tufanye siasa ili muzoee hali itakavokua ccm bana pumzi kwisha
Rudia tena kuangalia, alafu angalia percentage za wakati ule na zile za sasa na utagundua kuna ulinganifu mkubwa.I disagree with you, exit poll zinagongana, kwsababu sio rahisi kufika kwenye majimbo yote kujua undani wa wapiga kura. Ndio maana hata utafiti wa mwanzo ulikuwa unatoa majibu tofauti.
Mpaka sasa ni kura laki nne tuu zinazo watenganisha na kwa turnout ya election hii, hizo ni kura kidogo sana. Tena matokeo yameaza kutoka kule ambako Kenyatta ni popular. Mpaka sasa hatujaona shift kubwa kutoka 2013
Kwani siwezi kua na misimamo binafsi lazma mpaka nisubiri misimamo ya chama??? Whether tunamsupport kenyatta au dida ukweli ni kwamba odinga ataumia sana maana baba hakuingia ikulu na sasa mtoto anafuata njoa hiyo hiyoCHADEMA mgombea wenu si alikuwa Uhuru?
Hamna namna ni retire tu! Hivyo vita hataviweza! 2022 inangojwa na vijana hataree! Peter Munya, gavana wa Meru, Alfred Mutua, gavana wa Machakos, Ababu Namwamba, mbunge wa Budalangi. Bila kumsahau Bamdogo mwenyewe William Samoei Kipchirchir Arap Ruto!Raila ana miaka 72,asubiri tena 2021 labda atashinda akiwa na 76 yrs old.