EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

66% reporting

Uhuru 5.6 million votes
Railla 4.4 million votes
 
Wale millioni 6 wanaomkosesha mkulu usingizi walikua ccm sio acheni tufanye siasa ili muzoee hali itakavokua ccm bana pumzi kwisha
Kuna CUF ya Lipumba, wao washajitoa, tuko ambao hatuna ushabiki wa vyama tushajitoa, kuna waliopiga kura za hasira nao washashtuka..

Huko wamebaki watetea mafisadi, wauza madawa, waliofutwa kazi kwa vyeti feki na wapigania makinikia.. Kwa kifupi waliobaki huko ni MIPUMBAVU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9be292c2068005ae130aff52676d599d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
I disagree with you, exit poll zinagongana, kwsababu sio rahisi kufika kwenye majimbo yote kujua undani wa wapiga kura. Ndio maana hata utafiti wa mwanzo ulikuwa unatoa majibu tofauti.

Mpaka sasa ni kura laki nne tuu zinazo watenganisha na kwa turnout ya election hii, hizo ni kura kidogo sana. Tena matokeo yameaza kutoka kule ambako Kenyatta ni popular. Mpaka sasa hatujaona shift kubwa kutoka 2013
Rudia tena kuangalia, alafu angalia percentage za wakati ule na zile za sasa na utagundua kuna ulinganifu mkubwa.

Ndio mantiki ya sample kwenye survey au research.
 
Uhuru Kenyatta on course for re-election after early Kenya election votes counted
s
TELEMMGLPICT000136568935-xlarge_trans_NvBQzQNjv4BqpVlberWd9EgFPZtcLiMQfyf2A9a6I9YchsjMeADBa08.jpeg

President Uhuru Kenyatta celebrates during a campaign rally in Nairobi

  • Adrian Blomfield
8 AUGUST 2017 • 9:22 PM


Uhuru Kenyatta, the Kenyan president, appeared to be on course for re-election on Tuesday night, with early results indicating that his ethnic alliance would tighten its half-century grip on power.

Mr Kenyatta, a plutocrat from a family thought to be the richest in Kenya, had secured 55 per cent of the vote, according to provisional results released by the electoral commission. His rival, Raila Odinga, was on 44 per cent.
 
CHADEMA mgombea wenu si alikuwa Uhuru?
Kwani siwezi kua na misimamo binafsi lazma mpaka nisubiri misimamo ya chama??? Whether tunamsupport kenyatta au dida ukweli ni kwamba odinga ataumia sana maana baba hakuingia ikulu na sasa mtoto anafuata njoa hiyo hiyo
 
Raila ana miaka 72,asubiri tena 2021 labda atashinda akiwa na 76 yrs old.
Hamna namna ni retire tu! Hivyo vita hataviweza! 2022 inangojwa na vijana hataree! Peter Munya, gavana wa Meru, Alfred Mutua, gavana wa Machakos, Ababu Namwamba, mbunge wa Budalangi. Bila kumsahau Bamdogo mwenyewe William Samoei Kipchirchir Arap Ruto!
 
Back
Top Bottom