Hii password nabadili mimi?Hahaha time limit ni kubadili passoword labda akawa disconnected
Haloteli wanafunga sh? MkuuKazi nzuri kwa fiber, naona Halotel wanafunga kwa bei ya kutupa sijui nani atupe experience.
Ni UNlimited, japo kuna malalamiko kws baadhi ya wstu kuhusu uwepo wa data cap, nakushauri upite ule uzi wa vifurushi visivyo rasmindio mkuu, ninachohofia ni kama mteja anaweza kufanya matumizi makubwa ya data alafu kifurushi kikaniishia kabla ya mwezi, nafikiri hii huduma inaweza kuniongezea trafficking kwenye biashara hasa wanafunzi wakiwa ndio walengwa wakubwa
Mkuu unlimited inaisha Kabla ya mwezi AU Io Sio unlimited?ndio mkuu, ninachohofia ni kama mteja anaweza kufanya matumizi makubwa ya data alafu kifurushi kikaniishia kabla ya mwezi, nafikiri hii huduma inaweza kuniongezea trafficking kwenye biashara hasa wanafunzi wakiwa ndio walengwa wakubwa
Mbps= megabits per secondNimekuwa nikitumia superkasi kwa muda na nilijaribu ile ya airtel japo performance zilikuwa poa ila nilikuwa nikipata shida ya latency kuwa kubwa maana mainly shughuli zangu zina involve calls za zoom and google meet.
so recently tigo wamesambaza fiber yao mpaka huku bunju nikaamua na mimi nijaribu.
Nikalipia kifurushi cha 70,000 amapo wanakuletea rooter ambayo ina ethernet ports 5 na inatoa wi-fi. Hiki kifurushi cha 70,000 ni cha 10mbs.
Kwa sasa huduma yao iko faster nilipolipa kusurvey hadi kufunga ni ndani ya siku tano.
kwa sasa naweza kusema naona value for money maana mimi speed ya mb 10 inanitosha kwa streaming downloading na kusurf kwa computer 2 na simu nyumbani. Ping yao kwa sababu ni fiber ni ya chini sana na speed kwa kiasi kikubwa ni stable.
Hadi sasa siku ya 3 sijapata changamoto yoyote na ni beyond my expectation.
View attachment 3069392
Inategemea ni biashara gani. Wabongo akili za kimaskini utajaza njaa kali kwenye biashara yako na ufukuze wateja halisi . Labda ubadili sera na kusema mteja akae na asizidi muda gani, jambo gumu kutekeleza.Mkuu habari. Kwa mfano nikaamua kuiweka huduma hii kwenye eneo langu la biashara ili kuvutia wateja wapate free wi-Fi wanapokuja kufanya manunuzi ya bidhaa, je inaweza kunipatia faida?
Sasa unaanzaje kuweka WiFi alafu iwe limited we mzee. Weka unlimited, iwe na nguvu kulingana unategemea ihudumie watu wangapi na coverage iwe ukubwa gani. Sio unaweka WiFi ya watu wengi kisha inakuwa nguvu haina wanakuja ina-load wanakasirika tu.ndio mkuu, ninachohofia ni kama mteja anaweza kufanya matumizi makubwa ya data alafu kifurushi kikaniishia kabla ya mwezi, nafikiri hii huduma inaweza kuniongezea trafficking kwenye biashara hasa wanafunzi wakiwa ndio walengwa wakubwa
Nadhani dukani ni sehemu ya mtu kuja kuchukua bidhaa na kuondoka, sio kukaa. Unless uwe muuzaji wa bidhaa ambazo huna zote hivyo kuna muda atakuja mteja uagize kutoka store/duka lingine kwa jumla zije.Natamani
ufafanue zaidi hapa
Nikitaka Wi_fe apate mteja tu na sio mpita njia inawezekana kwa hapa dukani kwangu?
Nzuri sana,siaiz huku mitaani mtu anajiunga na unlimited then anauza kwa mtu mmoja mmoja buku per day.Natamani
ufafanue zaidi hapa
Nikitaka Wi_fe apate mteja tu na sio mpita njia inawezekana kwa hapa dukani kwangu?
Ninalenga kufanya jambo kama hili. Je kwa wastani inaweza kugharimu kiasi gani mkuu?Nzuri sana,siaiz huku mitaani mtu anajiunga na unlimited then anauza kwa mtu mmoja mmoja buku per day.
Biashara nzuri sana.
WiFi unaweka pasword,sio kila mtu atakuwa na access
Naam mkuu. Nashukuru kwa maelezo yako, je inaweza kugharimu kiasi gani hiyo unlimited wi-Fi?Sasa unaanzaje kuweka WiFi alafu iwe limited we mzee. Weka unlimited, iwe na nguvu kulingana unategemea ihudumie watu wangapi na coverage iwe ukubwa gani. Sio unaweka WiFi ya watu wengi kisha inakuwa nguvu haina wanakuja ina-load wanakasirika tu.
kuwa makini wasije wakapita na wewe kuwa unasambaza internet bila vibaliNinalenga kufanya jambo kama hili. Je kwa wastani inaweza kugharimu kiasi gani mkuu?
Hahahah. Sawa mkuu, lakini si ninakuwa nimelipia na ninaitumia kama kivutio kwenye biashara ? Au masharti yapoje mkuukuwa makini wasije wakapita na wewe kuwa unasambaza internet bila vibali
Nimekuwa nikitumia superkasi kwa muda na nilijaribu ile ya airtel japo performance zilikuwa poa ila nilikuwa nikipata shida ya latency kuwa kubwa maana mainly shughuli zangu zina involve calls za zoom and google meet.
so recently tigo wamesambaza fiber yao mpaka huku bunju nikaamua na mimi nijaribu.
Nikalipia kifurushi cha 70,000 amapo wanakuletea rooter ambayo ina ethernet ports 5 na inatoa wi-fi. Hiki kifurushi cha 70,000 ni cha 10mbs.
Kwa sasa huduma yao iko faster nilipolipa kusurvey hadi kufunga ni ndani ya siku tano.
kwa sasa naweza kusema naona value for money maana mimi speed ya mb 10 inanitosha kwa streaming downloading na kusurf kwa computer 2 na simu nyumbani. Ping yao kwa sababu ni fiber ni ya chini sana na speed kwa kiasi kikubwa ni stable.
Hadi sasa siku ya 3 sijapata changamoto yoyote na ni beyond my expectation.
View attachment 3069392
Hiyo ni sawa mkuu nasema ile kuuza unless labda unawauzia wanakuwa eneo hilo la biashara yako kama inavyokuwa kwa internet caf'e. ila yote yanawezekana ni mawao yangu. mimi tigo walikuwa wamenishauri tuungane na majirani tulipie kifurushi cha 210000 so watupatie mbs 100 which means kila mmoja atakuwa amelipa 70000 lakini mbs 100 ukigawa kwa tatu so ni kama mtu anapata mbs 30.3 which kwa download speed itakuwa kama mbs 4 hivi. sema majirani hawasomeki.Hahahah. Sawa mkuu, lakini si ninakuwa nimelipia na ninaitumia kama kivutio kwenye boashara ? Au masharti yapoje mkuu
Bill yako ni timebased kwa speed unayolipia, mfano 10mbps au 40mbps, na sio data based, GB fulani kwa mwezi hapana, , Ni Matumizi ni bila kikomo cha GBs. (Mimi mtumijia wa Airtel 10mbps) bila shaka na hawa fiber ni time based, na sio data based. Hivyo ondoa shaka katika matumizi.ndio mkuu, ninachohofia ni kama mteja anaweza kufanya matumizi makubwa ya data alafu kifurushi kikaniishia kabla ya mwezi,
Mkuu unlimited inaisha Kabla ya mwezi AU Io Sio unlimited?
Mkuu vipi hyo 10 mbps unaonaje speed yake kwenye kudownload mafile makubwa mfano movies za ukubwa wa GB 3 na kuendelea ni mzuri?Bill yako ni timebased kwa speed unayolipia, mfano 10mbps au 40mbps, na sio data based, GB fulani kwa mwezi hapana, , Ni Matumizi ni bila kikomo cha GBs. (Mimi mtumijia wa Airtel 10mbps) bila shaka na hawa fiber ni time based, na sio data based. Hivyo ondoa shaka katika matumizi.
=
View attachment 3070380
Kwa siku 15 hadi sasa , Mwezi huu August, nimetumia 237GB, Matumizi yangu, si makubwa, kwa mwezi huwa ni kati ya 500-600GB kwa mwezi.