Experience yangu ya matumizi ya tiGO fiber

ndio mkuu, ninachohofia ni kama mteja anaweza kufanya matumizi makubwa ya data alafu kifurushi kikaniishia kabla ya mwezi, nafikiri hii huduma inaweza kuniongezea trafficking kwenye biashara hasa wanafunzi wakiwa ndio walengwa wakubwa
Ni UNlimited, japo kuna malalamiko kws baadhi ya wstu kuhusu uwepo wa data cap, nakushauri upite ule uzi wa vifurushi visivyo rasmi
 
ndio mkuu, ninachohofia ni kama mteja anaweza kufanya matumizi makubwa ya data alafu kifurushi kikaniishia kabla ya mwezi, nafikiri hii huduma inaweza kuniongezea trafficking kwenye biashara hasa wanafunzi wakiwa ndio walengwa wakubwa
Mkuu unlimited inaisha Kabla ya mwezi AU Io Sio unlimited?
 
Nimekuwa nikitumia superkasi kwa muda na nilijaribu ile ya airtel japo performance zilikuwa poa ila nilikuwa nikipata shida ya latency kuwa kubwa maana mainly shughuli zangu zina involve calls za zoom and google meet.
so recently tigo wamesambaza fiber yao mpaka huku bunju nikaamua na mimi nijaribu.
Nikalipia kifurushi cha 70,000 amapo wanakuletea rooter ambayo ina ethernet ports 5 na inatoa wi-fi. Hiki kifurushi cha 70,000 ni cha 10mbs.
Kwa sasa huduma yao iko faster nilipolipa kusurvey hadi kufunga ni ndani ya siku tano.
kwa sasa naweza kusema naona value for money maana mimi speed ya mb 10 inanitosha kwa streaming downloading na kusurf kwa computer 2 na simu nyumbani. Ping yao kwa sababu ni fiber ni ya chini sana na speed kwa kiasi kikubwa ni stable.
Hadi sasa siku ya 3 sijapata changamoto yoyote na ni beyond my expectation.
View attachment 3069392
Mbps= megabits per second

Ukitaka kupata mb/seconds unagawa mbps kwa 8 kwa maana kwamba 10mbps=1.25 mb/sec hii spidi ni ndogo kwenye ku download files kubwa ila kwa ku stream , video conference ,picture uploading & downloading ni spidi nzuri.
 
Mkuu habari. Kwa mfano nikaamua kuiweka huduma hii kwenye eneo langu la biashara ili kuvutia wateja wapate free wi-Fi wanapokuja kufanya manunuzi ya bidhaa, je inaweza kunipatia faida?
Inategemea ni biashara gani. Wabongo akili za kimaskini utajaza njaa kali kwenye biashara yako na ufukuze wateja halisi . Labda ubadili sera na kusema mteja akae na asizidi muda gani, jambo gumu kutekeleza.

Ukiwa mfano una lodge au mgahawa ni sawa, ila mgahawa nao isije mtu kunywa maji baridi akashinda hapo. Sasa sio uwe na duka la mangi eti uweke WiFi.
 
ndio mkuu, ninachohofia ni kama mteja anaweza kufanya matumizi makubwa ya data alafu kifurushi kikaniishia kabla ya mwezi, nafikiri hii huduma inaweza kuniongezea trafficking kwenye biashara hasa wanafunzi wakiwa ndio walengwa wakubwa
Sasa unaanzaje kuweka WiFi alafu iwe limited we mzee. Weka unlimited, iwe na nguvu kulingana unategemea ihudumie watu wangapi na coverage iwe ukubwa gani. Sio unaweka WiFi ya watu wengi kisha inakuwa nguvu haina wanakuja ina-load wanakasirika tu.
 
Natamani

ufafanue zaidi hapa

Nikitaka Wi_fe apate mteja tu na sio mpita njia inawezekana kwa hapa dukani kwangu?
Nadhani dukani ni sehemu ya mtu kuja kuchukua bidhaa na kuondoka, sio kukaa. Unless uwe muuzaji wa bidhaa ambazo huna zote hivyo kuna muda atakuja mteja uagize kutoka store/duka lingine kwa jumla zije.

WiFi inawafaa service providers zaidi na inawabagua kiasi wanaotoa goods.
 
Natamani

ufafanue zaidi hapa

Nikitaka Wi_fe apate mteja tu na sio mpita njia inawezekana kwa hapa dukani kwangu?
Nzuri sana,siaiz huku mitaani mtu anajiunga na unlimited then anauza kwa mtu mmoja mmoja buku per day.

Biashara nzuri sana.
WiFi unaweka pasword,sio kila mtu atakuwa na access
 
Ninalenga kufanya jambo kama hili. Je kwa wastani inaweza kugharimu kiasi gani mkuu?
 
Sasa unaanzaje kuweka WiFi alafu iwe limited we mzee. Weka unlimited, iwe na nguvu kulingana unategemea ihudumie watu wangapi na coverage iwe ukubwa gani. Sio unaweka WiFi ya watu wengi kisha inakuwa nguvu haina wanakuja ina-load wanakasirika tu.
Naam mkuu. Nashukuru kwa maelezo yako, je inaweza kugharimu kiasi gani hiyo unlimited wi-Fi?
 
Nimekuwa nikitumia superkasi kwa muda na nilijaribu ile ya airtel japo performance zilikuwa poa ila nilikuwa nikipata shida ya latency kuwa kubwa maana mainly shughuli zangu zina involve calls za zoom and google meet.
so recently tigo wamesambaza fiber yao mpaka huku bunju nikaamua na mimi nijaribu.
Nikalipia kifurushi cha 70,000 amapo wanakuletea rooter ambayo ina ethernet ports 5 na inatoa wi-fi. Hiki kifurushi cha 70,000 ni cha 10mbs.
Kwa sasa huduma yao iko faster nilipolipa kusurvey hadi kufunga ni ndani ya siku tano.
kwa sasa naweza kusema naona value for money maana mimi speed ya mb 10 inanitosha kwa streaming downloading na kusurf kwa computer 2 na simu nyumbani. Ping yao kwa sababu ni fiber ni ya chini sana na speed kwa kiasi kikubwa ni stable.
Hadi sasa siku ya 3 sijapata changamoto yoyote na ni beyond my expectation.
View attachment 3069392

Itaharibika siku wi nyingi maana hawana ratio kati ya subscriptions na speed!
 
Hahahah. Sawa mkuu, lakini si ninakuwa nimelipia na ninaitumia kama kivutio kwenye boashara ? Au masharti yapoje mkuu
Hiyo ni sawa mkuu nasema ile kuuza unless labda unawauzia wanakuwa eneo hilo la biashara yako kama inavyokuwa kwa internet caf'e. ila yote yanawezekana ni mawao yangu. mimi tigo walikuwa wamenishauri tuungane na majirani tulipie kifurushi cha 210000 so watupatie mbs 100 which means kila mmoja atakuwa amelipa 70000 lakini mbs 100 ukigawa kwa tatu so ni kama mtu anapata mbs 30.3 which kwa download speed itakuwa kama mbs 4 hivi. sema majirani hawasomeki.
 
ndio mkuu, ninachohofia ni kama mteja anaweza kufanya matumizi makubwa ya data alafu kifurushi kikaniishia kabla ya mwezi,
Bill yako ni timebased kwa speed unayolipia, mfano 10mbps au 40mbps, na sio data based, GB fulani kwa mwezi hapana, , Ni Matumizi ni bila kikomo cha GBs. (Mimi mtumijia wa Airtel 10mbps) bila shaka na hawa fiber ni time based, na sio data based. Hivyo ondoa shaka katika matumizi.
=
1723696084625.png

Kwa siku 15 hadi sasa , Mwezi huu August, nimetumia 237GB, Matumizi yangu, si makubwa, kwa mwezi huwa ni kati ya 500-600GB kwa mwezi.
 
View attachment 3070380
Kwa siku 15 hadi sasa , Mwezi huu August, nimetumia 237GB, Matumizi yangu, si makubwa, kwa mwezi huwa ni kati ya 500-600GB kwa mwezi.
Mkuu vipi hyo 10 mbps unaonaje speed yake kwenye kudownload mafile makubwa mfano movies za ukubwa wa GB 3 na kuendelea ni mzuri?
 
Back
Top Bottom