Ezekiel Kamwaga: Taratibu tatizo la Ushoga linakuzwa sana japo lipo mbali sana kati ya matatizo yanayotukabili

Katoa maoni yake lakini sio kwamba ndio ukweli.

Ushoga si jambo dogo kama anavyo waza yeye, ni jambo kubwa na inabidi lizuiwe kwa namna yoyote kama kweli anapenda kuona taifa lake likifika mbele.

Nasema hivyo kwa sababu kuna vitu kama taifa hili lifike hatua nzuri kimaendeleo(social development,economic development,and political development) lazima viwe kipaumbele navyo ni: Ethics and Identity.

Taifa linahitaji kuwa na misimamo ambayo ndio miongozo ya maisha ya mwanadamu.Ushoga sio utambulisho wetu hata siku moja .So, lazima upingwe na inaonekana nguvu nyingi inatumika na sababu kubwa ni kwamba jambo hili lipo katika initial stage which is why most of people are voicing up.

Najua atakuja na mifano sijui mbona Marekani and blah! blah! haya mambo yapo lakini wamepiga hatua upande wa uchumi.Lakini anasahau kwamba ata Marekani hiyo ushoga ulipingwa na was minority right in early of 1970s.Kuweka mambo sawa ni kwamba ushoga hujawahi kuwa utambulisho wa maisha yetu watanzania kwahiyo huo utamaduni hatuwezi kukubaliana nao(ndio,culture is dynamic but we can't accept this value)

Kama anahisi tatizo la ajira ni Tanzania tu basi atakuwa na ajenda zake binafsi.Hili ni tatizo karibu kila kona ya dunia(but I can't tell how big or small is in other places).Mambo ya tabia ya nchi ni jambo la kidunia pia sio Tanzania tu.Kwahiyo hizi hoja zake hazina mashiko.

Mashoga ni watu ambao wako na mental disability sasa anataka taifa liwe na watu wa hivyo kwamba ndio watakuza uchumi? watakuja na sera za kulinda mazingira sio? wataleta ajira?
 
Anaandika Ezekiel Kamwaga:

Tuwe makini

Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’ hawa wa Kupinga ushoga kama ndiyo watu wa muhimu zaidi. Nchi kubwa zimeanza kuyumba baada ya kuwafanya watu wanaojadili mambo madogo kuwa wa maana na kudharau wale wenye mawazo makubwa yenye kuondoa shida kubwa. Matatizo ya Tanzania yanajulikana. Kuna shida kubwa ya ajira kwa vijana wetu

Wapo viongozi wamesema hilo ni bomu. Vijana wenye nguvu, maarifa na ujuzi lakini wenye njaa na hasira ni tatizo kubwa kuliko ushoga. Tuna tatizo la mamilioni ya Watanzania kuwa nje ya mfumo wa Bima ya Afya na wanafilisika kwa kuugua au kuuguza. Kuna tatizo la ubora wa elimu yetu

Kwenye kukabiliana na changamoto za kisasa za duniani. Kuna tatizo la utayari wetu kujiandaa na majanga kwenye dunia hii ya mabadiliko ya TabiaNchi. Tutumie nguvu na maarifa zaidi kujadiliana mambo ambayo kweli ni shida kwetu. Tukienda na hii njia tuliyoanza, tutakuja kuchagua

Viongozi ambao sifa yao kubwa ni kupinga ushoga. Hiyo tu. Analysis ya siasa za siku hizi inaonyesha kwamba viongozi/wanasiasa wanaopoteza muda na vitu vya hisia ni wale ambao hawana majibu ya maswali magumu yanayokabili jamii zao wakati huo. Wanabaki kuwa watu wa vitu vidogo
Usinishawishi nijione mtabiri, kabla hujaandika au sijafungua jamii forum nilikuwa nahisi kutakuwa na watu wenye kuyasema kama haya uliyoyasema, ila nikahisi wataosema hivi aidha ni mashoga wenyewe au mabasha katika hali ya kuwa-criticize wakemeaji.

Issue ya ajira watanzania wengi ni wavivu watu tunaona hatuwezi kufanya biashara ya 500/- eti tu Kwa vile ana kuwa cha degree katika fani yake na anavizia kuajiriwa na serikali na hao hao baadae wanakuja kuajiriwa na watu ambao wamejituma sana wakiwa na kiwango kidogo cha elimu.
 
Mnaosapoti mada ya Ezekiel wote wapumbavu.

Hamujui consequences ya ushoga katika jamii,Taifa,uchumi na siasa?

Hamujui kuwa nguvu kazi kubwa itakuwa haujui kuzalisha zaidi ya kusubiri pesa za baasha zao??

Maadili yanaharibika na kuvunja utamaduni,wewe haui wewe mpk utamaduni wako uutunze.

Kama jambo la ushoga sio big issue why Marekani analazimika na kufazili ushoga.

Ebu achani kujiona mnazo kumbe punguani wa akili.
 
Kuhangaika na mambo ambayo hayakugusi ni kukosa maarifa.

Kuna nchi ukahaba ni ajira na ni.kazi. wanalipa mpaka kodi kutokana na ukahaba.

Hivi tuliwahi kuathirika na hizo biashara zao za ukahaba?

Kuna nchi zimeutambua ushoga kama mahusiano rasmi. Sisi ambao hatuutambui, na wala hatulazimishwi, inatuzuia nini kuendelea na maisha yetu kwa namna tuliyokubaliana?

Ni sawa na muislam au msabato awe anahangaika usiku na mchana kwa sababu kuna watu wanakula kitimoto wakati yeye hajalazimishwa kula kiti moto.
Nakuheshimu sana Chifu lakini katika hili ni heri tukubaliane kutokukubaliana.

Unaelewa vipi haswa juu ya "Rasilimali Watu"?

Hizo ajira, maendeleo n.k zitaendeshwaje ikiwa nguvukazi ya Taifa imeshaharibiwa?

Kwanini Canada na Japan wana maendeleo chungunzima lakini bado wanahitaji Human Resources?

Ni kweli hujui madhara ya LGBTQIA ni kupatikana kwa depopulation hadi udai vita dhidi ya USHOGA haituhusu wa-TZ?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Anaandika Ezekiel Kamwaga:

Tuwe makini

Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’ hawa wa Kupinga ushoga kama ndiyo watu wa muhimu zaidi. Nchi kubwa zimeanza kuyumba baada ya kuwafanya watu wanaojadili mambo madogo kuwa wa maana na kudharau wale wenye mawazo makubwa yenye kuondoa shida kubwa. Matatizo ya Tanzania yanajulikana. Kuna shida kubwa ya ajira kwa vijana wetu

Wapo viongozi wamesema hilo ni bomu. Vijana wenye nguvu, maarifa na ujuzi lakini wenye njaa na hasira ni tatizo kubwa kuliko ushoga. Tuna tatizo la mamilioni ya Watanzania kuwa nje ya mfumo wa Bima ya Afya na wanafilisika kwa kuugua au kuuguza. Kuna tatizo la ubora wa elimu yetu

Kwenye kukabiliana na changamoto za kisasa za duniani. Kuna tatizo la utayari wetu kujiandaa na majanga kwenye dunia hii ya mabadiliko ya TabiaNchi. Tutumie nguvu na maarifa zaidi kujadiliana mambo ambayo kweli ni shida kwetu. Tukienda na hii njia tuliyoanza, tutakuja kuchagua

Viongozi ambao sifa yao kubwa ni kupinga ushoga. Hiyo tu. Analysis ya siasa za siku hizi inaonyesha kwamba viongozi/wanasiasa wanaopoteza muda na vitu vya hisia ni wale ambao hawana majibu ya maswali magumu yanayokabili jamii zao wakati huo. Wanabaki kuwa watu wa vitu vidogo
Hao vijana anaowatetea huyu Mwandishi wakiangamizwa na ushoga watafaa kwa lipi?
Ishu ya ushoga ni jambo dogo kweli?
 
Ukanda wa Africa Mashariki una watu wengi sana wenye akili ndogo. Watu wenye akili ndogo ndio huwa wanapenda kujikita kwenye petty issues na maisha binafsi ya watu wasiowahusu.
Dah Wewe Kweli Papai ulaaniwe
 
Anaandika Ezekiel Kamwaga:

Tuwe makini

Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’ hawa wa Kupinga ushoga kama ndiyo watu wa muhimu zaidi. Nchi kubwa zimeanza kuyumba baada ya kuwafanya watu wanaojadili mambo madogo kuwa wa maana na kudharau wale wenye mawazo makubwa yenye kuondoa shida kubwa. Matatizo ya Tanzania yanajulikana. Kuna shida kubwa ya ajira kwa vijana wetu

Wapo viongozi wamesema hilo ni bomu. Vijana wenye nguvu, maarifa na ujuzi lakini wenye njaa na hasira ni tatizo kubwa kuliko ushoga. Tuna tatizo la mamilioni ya Watanzania kuwa nje ya mfumo wa Bima ya Afya na wanafilisika kwa kuugua au kuuguza. Kuna tatizo la ubora wa elimu yetu

Kwenye kukabiliana na changamoto za kisasa za duniani. Kuna tatizo la utayari wetu kujiandaa na majanga kwenye dunia hii ya mabadiliko ya TabiaNchi. Tutumie nguvu na maarifa zaidi kujadiliana mambo ambayo kweli ni shida kwetu. Tukienda na hii njia tuliyoanza, tutakuja kuchagua

Viongozi ambao sifa yao kubwa ni kupinga ushoga. Hiyo tu. Analysis ya siasa za siku hizi inaonyesha kwamba viongozi/wanasiasa wanaopoteza muda na vitu vya hisia ni wale ambao hawana majibu ya maswali magumu yanayokabili jamii zao wakati huo. Wanabaki kuwa watu wa vitu vidogo
Nawasiwasi na wewe. Kweli USHOGA no ishu ndogo ??!! Kweli kabisaaa???!
Hata kama wewe Ni Papai ILA jua unalaana
 
Kwa hiyo tunasubiri mpaka litakapokuwa karibu. Yaani kwa lugha nyingine bwana ezekiel anasubiri hadi kijana wake wa kiume siku amuage nyumbani kuwa anaenda kulala kwa bwana wake.
Jamaa limechambua kindezi sana! Mwili mkubwa lakini akili hamna!
 
Back
Top Bottom