GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukiona Mwanaume Kila Jambo Unatangulizwa Mbele Kuongea Jua Bas Unatumiwa Kwa Faida Ya Wachache Walioko Nyuma Yako
 
Unafikiri ni yeye Wenje? Haya huwa ndiyo wanaandikiwa na CCM wakayaseme, ni masharti ya ahadi nono baada ya kuushutumu upinzani. Hata wanavyoongea huwa wanakua wazito, Wenje mkewe naye si yupo Totonto, alirudi lini?

Hii ndiyo tabia ya CCM, walimkodi yule Jamaa aliyemwacha mkewe, Slaa alivyomchukua CCM wakamjaza mapesa yule jamaa akaanza kupayuka. CCM = Axis Of Evil
 
Hizi Bata za Mh. Mbowe hizi aisee !! Kazikimbia sasa hivi zinatangatanga, zingine Chaumma, zingine CCM yaani zinabakwa hovyo hovyo kwa mafungu hazina mwenyewe.
 
Yeye huko canada toka ametoka ameenda lini na yuko huru. Aangalie asije akatumika mpaka tone la mwisho.
Halafu hayo maneno ya shobo wapinzani wanayaweza sana, wakianza kupiga utosini huwa ccm hawachelewi kwenda Tume kwamba wapinzani wana matusi.
 
Hizi ndo ng'ombe ambazo mbowe alikuwa anazifuga, ndo mana tangu kitambo tulimuita ni tapeli Ila wake zake humu akina Erythrocyte walikuwa wanamuona mbowe ni mungu mtu wao
 
Wakivishwaga majoho ya kijani sijui yanawapa nyege gani zinazowapelekea kuropoka ovyo ovyo tu.. ORALRRHEA!!!!
 
Acha kujifanya una uchungu na Lissu kuliko mke wake, mke wake mwenyewe hajawahi kwenda gerezani kumuona we ndo unajidai unampenda sana

Kwani mume wa mama yupo wapi hadi wa simba awe kipengele?
 
Wenje ni Takataka ni kijitu cha hovyo sana ccm wazoa uvundo sasa wamejua kumbe Wenje ni bonge la fala sana
 

Huyu jamaa ni fala kabisa. Aliwapa hoyo nauli ya kuja kumuona....!?

By the way, Lissu hahombei popote sasa anamuingizaje hapa. Kwa nini hahangaiki na Salumu?
 
Mbona na kwenye kampeni tunamuona Jei Kei tu badala ya Mzee Hafidh Ameir?

Kama inamuuma ajigeuze kuwa mke wake, halafu akamuone huko gerezani.
 
Hizo ndiyo sera za wasaliti wa taifa hli
 
Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar es Salaam Oktoba 23, 2025.

“Leo nataka niwakele, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala watoto ujue kuna shida sana hapo, hakuna uongozi. Haiwezekani watoto wawe Marekani washindwe kuja kukuona, hapo hakuna Uongozi”
 
Kampeni zetu zinaendeshwa kiswahili, wanatakiwa wajue Wenje hana ushawishi huo tena kwa umma, tena nje ya Chadema wengi hawamfahamu.

Ila pia wanatakiwa wajue kila anayepanda pale anatakiwa kuzungumza nini kwa faida yao.

Sasa ccm wanapata faida gani kwa alichozungumza Wenje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…