GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Haya Wenje tumekisikia.....unahangaika na TL ambae hagombei! Tujiulize kwanini asimpige vijembe Salim Mwalim?
 
Mantiki gani alikwambia nani harakati ni mali ya familia? What if watoto wake hawana interest na siasa?
Akili ya kiduazi tu. Unawaza siasa tu. Pamoja na kuwa sababu ya kumweka lupango Tundu ni siasa, haihusiani na mahusiano ya mtu na mtu. Wewe unamuona kama mwanasiasa ila mtoto anamuona kama baba yake, mengine kando. Mtoto awe na interest au asiwe nayo, bado Tundu ni baba yake. Uchungu alio nao mtoto ni tofauti na uchungu ulio nao wewe, kwani baba yako nipo na wewe wakati baba yake yupo lupango
 
Hakuna mtu aliyeinanga na kuichafua Chadema Kama Dr. Slaa? Tena Kwa maneno na Kwa maandishi, lakini Karudi na Sasa ni Mjumbe wa Kamati kuu. Mjumbe wa kupambaniwa na aliowachafua🀣🀣 Siasa si hasaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watoto wake wapo masomoni USA so waache kwenda shule waje kumfrahisha Wenje na mabwege wengine kama wewe?
 
Amekariri huyo
 
Nimecheka sana
 
Mantiki gani alikwambia nani harakati ni mali ya familia? What if watoto wake hawana interest na siasa?
Yaani mzazi wako yuko ndani unashindwa kwenda kumwona kwa sababu ya siasa? Na huyo mke je??

Tatizo ni la huyo Lissu kama anashindwa kuongoza familia yake ataweza kuongoza Chama cha Siasa kweli? Ndio maana hata Chadema imeparaganyika!! Eti huyu aongoze nchi!!
 
Haya Wenje tumekisikia.....unahangaika na TL ambae hagombei! Tujiulize kwanini asimpige vijembe Salim Mwalim?
Hujajua Chuki yake imetoka wapi πŸ˜‚πŸ˜‚ ?
Chuki ni Hasira iliyokomaa.
Kule kulipuliwa na kuanikwa Jamaa alimaindi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…