F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

Ni goli lililopatikana kwa free kick au??
 
Leo mikia fc wanabamandwa kama ngoma
Mbele ya mwamuzi wao Tatu Malogo! Hilo sahau. Ni suala tu la muda kabla ya kuwapa mbumbumbu magoli ya offside, penati, na pia kumpa mchezaji wa JKT kadi nyekundu ili wacheze pungufu na hivyo mbumbumbu Fc kuondoka na ushindi mnono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…