Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kupitia free kick?Gooooooooooo
Chama anapiga goli la KIJINI HAPA
Wasimtupie 'majini' Tu 😁Chama
Vipi shekhe... Chama au Tatu, tuambie nani kafunga hapo?!Hivi huyu mwamuzi Tatu Malogo ana mkataba maalum wa kuchezesha mechi za Simba!!! Kwa hali hii Simba lazima itashinda tu huu mchezo.
Kwani kazingua??Hivi huyu mwamuzi Tatu Malogo ana mkataba maalum wa kuchezesha mechi za Simba!!! Kwa hali hii Simba lazima itashinda tu huu mchezo.
No, alipokea krosi fupi, akagueka kulia akapiga shoot mbali kuliaNi kupitia free kick?
Huyu majini yamegoma kumpataWasimtupie 'majini' Tu [emoji16]
Mbele ya mwamuzi wao Tatu Malogo! Hilo sahau. Ni suala tu la muda kabla ya kuwapa mbumbumbu magoli ya offside, penati, na pia kumpa mchezaji wa JKT kadi nyekundu ili wacheze pungufu na hivyo mbumbumbu Fc kuondoka na ushindi mnono.Leo mikia fc wanabamandwa kama ngoma
Achana naye huyo wakati mpaka sasa tumenyimwa fursa ya kupata goli kwa offside ya uongoKwani kazingua??
Hapana. Ni cross si cross, pasi si pasi. Majini hayajaelewa pia.Ni kupitia free kick?
JKT 0-1 SimbaHizi offside [emoji23][emoji23]
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sanaMbele ya mwamuzi wao Tatu Malogo! Hilo sahau. Ni suala tu la muda kabla ya kuwapa mbumbumbu magoli ya offside, penati, na pia kumpa mchezaji wa JKT kadi nyekundu ili wacheze pungufu na hivyo mbumbumbu Fc kuondoka na ushindi mnono.
Upo kwa Chief prophet Suguye?Tupe updates mkuu hakuna umeme huku Matembele ya pili [emoji6]
Ila jirani bana. Lol.