Facts kadhaa zinazoufanya Mkataba wa Tanzania na Dubai juu ya Bandari kuwa batili. Tuwe nazo Makini

Facts kadhaa zinazoufanya Mkataba wa Tanzania na Dubai juu ya Bandari kuwa batili. Tuwe nazo Makini

Mkuu, hivi hawa wanao wazuia wa TZ kuandamana kwa kutoa ujumbe kwamba, huu Mkataba una makandokando unapaswa urekebishwe ni Watanzania pia? Au!!
Mkuu nchi ya laana hii hasa polisi ni kazi ya laana kuna mmoja naish kwake polisi mstaafu adi chakula ananiomba mim hua namnyoosha sana na nataka nihame kimy kimy nkakae nyumba za maana mbwa hawa
 
Mkataba mbona Una termination clause?
Unaweza iweka hapa tuone labda tatizo ni English na sio mkataba
Hebu weka Termination clause tukutafsirie
Wewe ulioona hiyo termination clause ndio uweke, mtoa mada yeye hajakiona hicho kifungu.
 
Mkataba mbona Una termination clause?
Unaweza iweka hapa tuone labda tatizo ni English na sio mkataba
Hebu weka Termination clause tukutafsirie
Yaani mkataba una termination clause, lakini wasomaji hawaoni. Chuki, maslahi binafsi na inferiorities ni kitu kibaya sana. Kwa kifupi namdharau sana anayesema mkataba huu hauna ukomo.
 
Kwahiyo wewe ndiyo unaelewa kiingereza peke yako? Acha dharau.
Tatizo lenu mnadhani mkataba ni wa wanasheria. Maudhui ya mkataba siku zote si ya wanasheria. Wanasheria kazi yao ni drafting tu. Wataalam wa Bandari, Uchumi, na Uwekezaji ndio wanaojua nini wanataka kwenye huo mkataba.
 
Prove hiyo termination clause. Wewe, The Boss toka mwanzo unautetea huu mkataba kisa tu Rais ni muislamu. Kiti ambacho ni ujinga tu kukubali kitu kisichofaa kisa kiongozi unasali naye.
JPM alipingwa hadi na kina Fr. Kitima.
Wewe naye Midimay unakosea. Uislamu wa mtu hapo umeingiaje aisee? Mpinge mtu kwa hoja achana na hizo mambo. Mimi pia nimemchallenge na simuunhi mkono ila kuleta issue za dini wakati hakuna mahali paliposemwa dini sio sawa.
 
Yaani mkataba una termination clause, lakini wasomaji hawaoni. Chuki, maslahi binafsi na inferiorities ni kitu kibaya sana. Kwa kifupi namdharau sana anayesema mkataba huu hauna ukomo.
Na wanajichangaya Sana ukiwasikiliza ...manake mkataba umetaja Hadi mahakama incase hamjaelewana kwenye termination
Which simply ina maana kuna termination clause...
Utasemaje mkataba wa milele halafu kuna vipengele Hadi vya mahakama?

Hivi hao Dpworld ni wapumbavu kiasi gani wasijue Tanzania Viongozi hubadikika kila baada ya miaka kumi?
Na kiongozi mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti? Si lazima na wao walinde uwekezaji wao?lazima waweke mazingira ya wao incase kuna kiongozi mpya hawataki?
Sasa hiko si ndo termination clause??

Hivi hata wewe unaweza kwenda kupanga nyumba ya mtu akakwambia huu mkataba WA milele utamuelewa?na ukitaka kujenga ongeza vyumba....what if akifa?mke na watoto utawajibu mkataba ni WA milele??hakunaga duniani mkataba wa milele ni risks pande zote
 
Termination clause imesema very openly kuwa uhai wa IGA utaenda sambamba na uhai wa HGA..
Simply kuwa kama HGA mtasema ni miaka 25 na IGA ni miaka 25...
Mbona kitu chepesi kuelewa??
Umepata kusoma kifungu kinachosema kuwa, mkataba hautavunjika kwa namna yeyote hata ilitokea kuvunjika kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tz na UAE? Yaani wamefunga juu chini na wamekaba hadi possibilitie za mbali sana kuzuiq kwa namna yeyote makubaliano hayo yasivunjike kivyovyote vile. Kama hayo yamesemwa kwenye HGA unawezaje kuseti muda wa kuvunja kwenye IGA kwa kubainisha miaka? Kwa nini uuone moto unawaka halafu utake kuushika kwa mkono kuona kama unaunguza?
 
Na wanajichangaya Sana ukiwasikiliza ...manake mkataba umetaja Hadi mahakama incase hamjaelewana kwenye termination
Which simply ina maana kuna termination clause...
Utasemaje mkataba wa milele halafu kuna vipengele Hadi vya mahakama?

Hivi hao Dpworld ni wapumbavu kiasi gani wasijue Tanzania Viongozi hubadikika kila baada ya miaka kumi?
Na kiongozi mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti? Si lazima na wao walinde uwekezaji wao?lazima waweke mazingira ya wao incase kuna kiongozi mpya hawataki?
Sasa hiko si ndo termination clause??

Hivi hata wewe unaweza kwenda kupanga nyumba ya mtu akakwambia huu mkataba WA milele utamuelewa?na ukitaka kujenga ongeza vyumba....what if akifa?mke na watoto utawajibu mkataba ni WA milele??hakunaga duniani mkataba wa milele ni risks pande zote
Kuna watu wana agenda zao na kwa kawaida watu hao wanakubaliana hata kusema uongo. Sioni kama kelele hizi ni za mkataba, sioni. Ukiwabana wanakwambia "wanasheria nguli wamesoma" au watakwambia "wewe siyo mwanasheria" utadhani watu tunajuana fani humu. Ukiwauliza mnataka mkataba uwe vipi kwenye hayo maeneo mnayoona yana shida, wanahama mada na kumwambia DP World hakushindanishwa, pumbavu.

Lakini pia kama ulivyosrma, hivi wanadhani Dubai ni mjinga?
 
Umepata kusoma kifungu kinachosema kuwa, mkataba hautavunjika kwa namna yeyote hata ilitokea kuvunjika kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tz na UAE? Yaani wamefunga juu chini na wamekaba hadi possibilitie za mbali sana kuzuiq kwa namna yeyote makubaliano hayo yasivunjike kivyovyote vile. Kama hayo yamesemwa kwenye HGA unawezaje kuseti muda wa kuvunja kwenye IGA kwa kubainisha miaka? Kwa nini uuone moto unawaka halafu utake kuushika kwa mkono kuona kama unaunguza?
Karudie kusoma hicho kipengele ukiwa umetulia. Hakuna shida yoyote hapo. Kwa watu wenye uelewa wa uchumi, mahusiano ya kimataifa na uwekezaji wanajua vizuri kwanini wamesema hivyo. Kilichokusudiwa hapo kiko very open, kwamba mkataba hauwezi kuvunjika kwa sababu zisizo za kibiashara iliyokusudiwa, simply hivyo. Na hiyo ni akili ya kawaida kabisa katika uwekezaji. Sasa unataka tukitofautiana kiitikadi au kidiplomasia halafu biashara iharibike? Nani atalipa gharama za uwekezaji? Nani atafidia hasara ya kodi itakayoacha kukusanywa na TRA kwa kuvunjika kwa biashara? Nani ataajiri au atafidia watakaopoteza ajira kutokana na kulima kwa biashara kwasababu ya kutofautiana kiitikadi au kidiplomasia?
 
Hivi Tanzania inaweza kuwa na mgogoro wa kidiplomasia na Dubai wakati haina uhusiano wa kidiplomasia nayo?
 
Kuna watu wana agenda zao na kwa kawaida watu hao wanakubaliana hata kusema uongo. Sioni kama kelele hizi ni za mkataba, sioni. Ukiwabana wanakwambia "wanasheria nguli wamesoma" au watakwambia "wewe siyo mwanasheria" utadhani watu tunajuana fani humu. Ukiwauliza mnataka mkataba uwe vipi kwenye hayo maeneo mnayoona yana shida, wanahama mada na kumwambia DP World hakushindanishwa, pumbavu.

Lakini pia kama ulivyosrma, hivi wanadhani Dubai ni mjinga?
Kuna mwanasheria anajiita Boniface somebody ame trend Sana mitandaoni kupinga mkataba..
Akasema eti Bandari ni mpaka...imagine that..na yeye ni msomi...hajui kabisa bandari ni entry point sio border...hajui kila nchi ina kilomita ngapi ndani ya maji za kuweka mpaka wala hajui territorial waters nini nini na international waters ni nini...lakini kaenda mitandaoni anawatukana wabunge kuwa hawajui Bandari ni Mpaka...imagine that...wala hajui Meli kabla ya kufika Bandarini zina procedures zinafanya...haziiingii bandarini kama daladala na hizo procedures zinasimamiwa. Na mamlaka ya nchi sio mwekezaji...
Mtu ignorant anakusanya kijiji kuwa ni Mtaalam aliechambua mkataba
 
Karudie kusoma hicho kipengele ukiwa umetulia. Hakuna shida yoyote hapo. Kwa watu wenye uelewa wa uchumi, mahusiano ya kimataifa na uwekezaji wanajua vizuri kwanini wamesema hivyo. Kilichokusudiwa hapo kiko very open, kwamba mkataba hauwezi kuvunjika kwa sababu zisizo za kibiashara iliyokusudiwa, simply hivyo. Na hiyo ni akili ya kawaida kabisa katika uwekezaji.
Tena kifungu hiko kinatupa Sisi Uhuru wetu ...tunaweza piga Kura Kui favour Israel badala ya Palestine na Dubai wasiseme lolote .. kipengele kimewekwa kuwa hata tukitofautiana mitazamo ya kimataifa isihusishe bandari...Dubai wanaweza unga mkono NATO,Sisi tukaunga mkono Russia kwenye ugomvi wa Ukraine....watu wanazusha kuwa ndo tumefungwa uhuru. Dah
 
Back
Top Bottom