Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa maana ya ndoto?Utakuwa ulikuwa ni wewe umepoteza fahamu baada ya kuzidisha moshi kichwani.
CCM ni chama cha majangili na mashetani tupuHata mtumie oreshnik,ccm mtapigwa tu na mtashindwa.
CCM kumejaa mashirikina tupuCCM ni majizi ya kura yaliyokubuhu.
CCM imebaki na mashirikina tupuKuwa kwenye ccm hii ya kizazi hiki inahitaji uwe na IQ ndogo sana...
Pumzika kwa amani JPM
Ni kweli maana watanzania wengi tushaanza kuamka hayo ya wizi wa kura yanakaribia kuisha si miaka mingiMwaka huu CCM tumejipanga sana .tutashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
Kujipanga huko ni pamoja na goli la mkono.Mwaka huu CCM tumejipanga sana .tutashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
Zilaaniwe shahawa chafu zilizokuzaa choko Lucas MwashambwaNdugu zangu Watanzania,
CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM yaendelea kutuma ujumbe mzito kwa Upinzani dhaifu na usio na mipango wala mikakati ya ushindi, CCM yaendelea kuonyesha utayari wa Mpambano wa uchaguzi Mkuu, CCM yaendelea kusogeza vifaa vya kivita ya kisiasa katika uwanja wa mapambano.
CCM yaendelea kuwaandaa askari wake , CCM yaendelea kuteka na kusambaratisha ngome zote za Upinzani, CCM yaendelea kuteka mijadala yote ya kisiasa hapa Nchini, CCM yaendelea kuwa tumaini kuu la watanzania, CCM yaendelea kuonyesha misuri yake kisiasa, CCM yaendelea kuvuma angani na ardhini ,baharini na hata katika fukwe.
Kupitia Mwenyekiti wake wa jumuiya ya wazazi wa CCM Taifa Mheshimiwa Fadhili Maganya. CCM imetuma ujumbe mzito sana tena wa kimamlaka kwa vyama vya upinzani ambavyo vimeonyesha kuwa dhaifu na kujikatia tamaa hapa Nchini na kusubiri huruma tu ya kubebwa mgongoni.
Huu hapa chini ndio ujumbe wakeπ
πMwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ametahadharisha vyama pinzani kuwa chama chao hakiendi kirahisi wala kuonea huruma mpinzani aliye dhaifu katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kwa kuwa wamejipanga kikamilifu kuendelea kushika dola.
Maganya ameeleza hayo mjini Makambako mkoani Njombe wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada kupokewa kwa ziara ya siku tatu mkoani humo.
"Tunataka tuwapige kweli kweli,hatuwezi kuchukua mambo kirahisi kwa hiyo tuwaambie vyama rafiki tunataka tutumie silaha nzito na za kisayansi kuhakikisha tunawashinda kitakatifu na hatutajali kwamba tutumie silaha gani,sisi tutatumia bomu kuua nzi"amesema Maganya
Amewataka wanaCCM kutokuwa na wasiwasi na kwenda kuisemea vizuri serikali kwa kuwa imetekeleza kikamilifu Ilani yao.
Aidha Maganya amesema Chama cha Mapinduzi hakikutaka kuchelewa kumtangaza mgombea wao wa Urais ili kuwa wanachama utulivu wa akili ili kufikilia namna ya kutekeleza Ilani nyingine ya uchaguzi ya mwaka 2025-2030.View attachment 3251344
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbona wewe hujarogwa pamoja na uchizi wako wote.CCM imebaki na mashirikina tupu
CCM itashinda kwa haki na kihalali kabisa kama ambavyo imekuwa ikishinda siku zote.Kujipanga huko ni pamoja na goli la mkono.
CCM Ina shinda kwa haki na kwa halali kabisa. Hii ni kutokana na sera na ajenda nzuri ambazo huzibeba na kuzinadi kwa wananchi pamoja na utekelezaji mzuri wa ilani yake inayogusa maisha ya watanzania wengi.Lucas uchawa hautakusaidia ktk maisha acha ushamba,upumbavu,ujinga,ungese,uchoko,mako,we,gasho Nini wewe?, sisiem majizi ya kura ,ccm Wana iba kura hawajawahi kushinda kwa halali uchaguzi.ila wanashinda uchafuzi
Hata kwa moyo wa mkeo bado umepigwa chini sembuse wananchi kwa chama kilichochoka. Hatuitaki ccm mmetufanya watanzania kuwa masikini kwa zaidi ya miaka60Mpaka sasa CCM tumeshinda katika mioyo ya watanzania
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuuHata kwa moyo wa mkeo bado umepigwa chini sembuse wananchi kwa chama kilichochoka. Hatuitaki ccm mmetufanya watanzania kuwa masikini kwa zaidi ya miaka60
MmenishindwaMbona wewe hujarogwa pamoja na uchizi wako wote.
NO REFORMS NO ELECTIONNdugu zangu Watanzania,
CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM yaendelea kutuma ujumbe mzito kwa Upinzani dhaifu na usio na mipango wala mikakati ya ushindi, CCM yaendelea kuonyesha utayari wa Mpambano wa uchaguzi Mkuu, CCM yaendelea kusogeza vifaa vya kivita ya kisiasa katika uwanja wa mapambano.
CCM yaendelea kuwaandaa askari wake , CCM yaendelea kuteka na kusambaratisha ngome zote za Upinzani, CCM yaendelea kuteka mijadala yote ya kisiasa hapa Nchini, CCM yaendelea kuwa tumaini kuu la watanzania, CCM yaendelea kuonyesha misuri yake kisiasa, CCM yaendelea kuvuma angani na ardhini ,baharini na hata katika fukwe.
Kupitia Mwenyekiti wake wa jumuiya ya wazazi wa CCM Taifa Mheshimiwa Fadhili Maganya. CCM imetuma ujumbe mzito sana tena wa kimamlaka kwa vyama vya upinzani ambavyo vimeonyesha kuwa dhaifu na kujikatia tamaa hapa Nchini na kusubiri huruma tu ya kubebwa mgongoni.
Huu hapa chini ndio ujumbe wakeπ
πMwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ametahadharisha vyama pinzani kuwa chama chao hakiendi kirahisi wala kuonea huruma mpinzani aliye dhaifu katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kwa kuwa wamejipanga kikamilifu kuendelea kushika dola.
Maganya ameeleza hayo mjini Makambako mkoani Njombe wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada kupokewa kwa ziara ya siku tatu mkoani humo.
"Tunataka tuwapige kweli kweli,hatuwezi kuchukua mambo kirahisi kwa hiyo tuwaambie vyama rafiki tunataka tutumie silaha nzito na za kisayansi kuhakikisha tunawashinda kitakatifu na hatutajali kwamba tutumie silaha gani,sisi tutatumia bomu kuua nzi"amesema Maganya
Amewataka wanaCCM kutokuwa na wasiwasi na kwenda kuisemea vizuri serikali kwa kuwa imetekeleza kikamilifu Ilani yao.
Aidha Maganya amesema Chama cha Mapinduzi hakikutaka kuchelewa kumtangaza mgombea wao wa Urais ili kuwa wanachama utulivu wa akili ili kufikilia namna ya kutekeleza Ilani nyingine ya uchaguzi ya mwaka 2025-2030.View attachment 3251344
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa kwanini watu wahangaike na chizi.Mmenishindwa