Fadhili Maganya: CCM Tutatumia Silaha Nzito Sana Kuushinda Kitakatifu Upinzani. Hatuna Huruma na Mpinzani Dhaifu.

πŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’β˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈπŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸΌπŸΌπŸΌπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
 
Ndugu zangu Watanzania,

CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM yaendelea kutuma ujumbe mzito kwa Upinzani dhaifu na usio na mipango wala mikakati ya ushindi, CCM yaendelea kuonyesha utayari wa Mpambano wa uchaguzi Mkuu, CCM yaendelea kusogeza vifaa vya kivita ya kisiasa katika uwanja wa mapambano.

CCM yaendelea kuwaandaa askari wake , CCM yaendelea kuteka na kusambaratisha ngome zote za Upinzani, CCM yaendelea kuteka mijadala yote ya kisiasa hapa Nchini, CCM yaendelea kuwa tumaini kuu la watanzania, CCM yaendelea kuonyesha misuri yake kisiasa, CCM yaendelea kuvuma angani na ardhini ,baharini na hata katika fukwe.

Kupitia Mwenyekiti wake wa jumuiya ya wazazi wa CCM Taifa Mheshimiwa Fadhili Maganya. CCM imetuma ujumbe mzito sana tena wa kimamlaka kwa vyama vya upinzani ambavyo vimeonyesha kuwa dhaifu na kujikatia tamaa hapa Nchini na kusubiri huruma tu ya kubebwa mgongoni.

Huu hapa chini ndio ujumbe wakeπŸ‘Ž

πŸ‘‰Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ametahadharisha vyama pinzani kuwa chama chao hakiendi kirahisi wala kuonea huruma mpinzani aliye dhaifu katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kwa kuwa wamejipanga kikamilifu kuendelea kushika dola.

Maganya ameeleza hayo mjini Makambako mkoani Njombe wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada kupokewa kwa ziara ya siku tatu mkoani humo.

"Tunataka tuwapige kweli kweli,hatuwezi kuchukua mambo kirahisi kwa hiyo tuwaambie vyama rafiki tunataka tutumie silaha nzito na za kisayansi kuhakikisha tunawashinda kitakatifu na hatutajali kwamba tutumie silaha gani,sisi tutatumia bomu kuua nzi"amesema Maganya

Amewataka wanaCCM kutokuwa na wasiwasi na kwenda kuisemea vizuri serikali kwa kuwa imetekeleza kikamilifu Ilani yao.

Aidha Maganya amesema Chama cha Mapinduzi hakikutaka kuchelewa kumtangaza mgombea wao wa Urais ili kuwa wanachama utulivu wa akili ili kufikilia namna ya kutekeleza Ilani nyingine ya uchaguzi ya mwaka 2025-2030.View attachment 3251344

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Zilaaniwe shahawa chafu zilizokuzaa choko Lucas Mwashambwa
 
Lucas uchawa hautakusaidia ktk maisha acha ushamba,upumbavu,ujinga,ungese,uchoko,mako,we,gasho Nini wewe?, sisiem majizi ya kura ,ccm Wana iba kura hawajawahi kushinda kwa halali uchaguzi.ila wanashinda uchafuzi
 
CCM Ina shinda kwa haki na kwa halali kabisa. Hii ni kutokana na sera na ajenda nzuri ambazo huzibeba na kuzinadi kwa wananchi pamoja na utekelezaji mzuri wa ilani yake inayogusa maisha ya watanzania wengi.
 
Hata kwa moyo wa mkeo bado umepigwa chini sembuse wananchi kwa chama kilichochoka. Hatuitaki ccm mmetufanya watanzania kuwa masikini kwa zaidi ya miaka60
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu
 
Ndugu zangu Watanzania,

CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM yaendelea kutuma ujumbe mzito kwa Upinzani dhaifu na usio na mipango wala mikakati ya ushindi, CCM yaendelea kuonyesha utayari wa Mpambano wa uchaguzi Mkuu, CCM yaendelea kusogeza vifaa vya kivita ya kisiasa katika uwanja wa mapambano.

CCM yaendelea kuwaandaa askari wake , CCM yaendelea kuteka na kusambaratisha ngome zote za Upinzani, CCM yaendelea kuteka mijadala yote ya kisiasa hapa Nchini, CCM yaendelea kuwa tumaini kuu la watanzania, CCM yaendelea kuonyesha misuri yake kisiasa, CCM yaendelea kuvuma angani na ardhini ,baharini na hata katika fukwe.

Kupitia Mwenyekiti wake wa jumuiya ya wazazi wa CCM Taifa Mheshimiwa Fadhili Maganya. CCM imetuma ujumbe mzito sana tena wa kimamlaka kwa vyama vya upinzani ambavyo vimeonyesha kuwa dhaifu na kujikatia tamaa hapa Nchini na kusubiri huruma tu ya kubebwa mgongoni.

Huu hapa chini ndio ujumbe wakeπŸ‘Ž

πŸ‘‰Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ametahadharisha vyama pinzani kuwa chama chao hakiendi kirahisi wala kuonea huruma mpinzani aliye dhaifu katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kwa kuwa wamejipanga kikamilifu kuendelea kushika dola.

Maganya ameeleza hayo mjini Makambako mkoani Njombe wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada kupokewa kwa ziara ya siku tatu mkoani humo.

"Tunataka tuwapige kweli kweli,hatuwezi kuchukua mambo kirahisi kwa hiyo tuwaambie vyama rafiki tunataka tutumie silaha nzito na za kisayansi kuhakikisha tunawashinda kitakatifu na hatutajali kwamba tutumie silaha gani,sisi tutatumia bomu kuua nzi"amesema Maganya

Amewataka wanaCCM kutokuwa na wasiwasi na kwenda kuisemea vizuri serikali kwa kuwa imetekeleza kikamilifu Ilani yao.

Aidha Maganya amesema Chama cha Mapinduzi hakikutaka kuchelewa kumtangaza mgombea wao wa Urais ili kuwa wanachama utulivu wa akili ili kufikilia namna ya kutekeleza Ilani nyingine ya uchaguzi ya mwaka 2025-2030.View attachment 3251344

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
NO REFORMS NO ELECTION
 
Back
Top Bottom