Fahamu jinsi ya kuwasiliana na Viziwi kwa njia ya Alama

Neno Bubu hua c vema kulitumia,maana wenyewe viziwi hawalipendi Na endapo akijua umemwita yy Bubu hapo kidg kutakua Na shida.tumia neno kiziwi ndo maana sahihi.
Kwani kiziwi na bubu ni ulemavu wa aina moja? Nilikuwa nafahamu bubu ni mtu asiyeweza kuongea na kiziwi ni mtu asiyeweza kusikia
 
Kwani kiziwi na bubu ni ulemavu wa aina moja? Nilikuwa nafahamu bubu ni mtu asiyeweza kuongea na kiziwi ni mtu asiyeweza kusikia
Yah bubu na kiziwi ulemavu wao ni wa aina moja japo kuna tofauti inayowatofaitisha japo c kubwa.
 
Nimewahi kuomba kozi ya BAESE pale OUT,nikaghairi kuendelea nayo.

Sijui niirudie.
 
Mkuu naweza kupata email yako? kuna vitu nataka nikuulize kuhusu lugha ya alama. Pia nahitaji hiko kitabu kinachohusu Tanzania sign language.
 
Mkuu naweza kupata email yako? kuna vitu nataka nikuulize kuhusu lugha ya alama. Pia nahitaji hiko kitabu kinachohusu Tanzania sign language.
Ucjal nitakupatia hio.
Ila Vitabu vya lugha ya alama vipo vingi ,ila kuna kamusi ya lugha ya alama iliyotayarishwa na Chavita kama sikosei. Ukihitaji nenda ofisi za chavita mkoa au wilaya yyte waombe ila unaweka oda then watakuletea baada ya muda.wanauza sh. 12000 kwa kamusi.Vitabu hivi navyotumia navyo vimeandaliwa na chavita ila c kikubwa kama ile kamusi. Ukikihitaj unatoa photocopy maana vinatolewa kwa taasis tu hawaviuzi.ukihitaji utapatiwa msaada.
Muhimu:- lugha ya alama hata ukipata kitabu kuna alama zingne lazma uelekezwe namna ya kutumia(kuonesha). Ila ni rahs kujifunza na kujua ilimrad tu ufanye mazoez ya Mara kwA mara.
 
Santee,,
 
Leo tena tuendelee kujifunza lugha ya alama
 
Inshaallah mungu akipnda kesho nitajitahid niweke na video kuonyesha jinsi ya kutumia maneno yoote niloyaweka toka mwanzo.ila itakua kidgo kidg.
 
Shukran kwa elimu
 
Hahahahhahahahahaa hatar sn
 
Kwa faida ya wale wanaotaka kujifunza lugha ya alama ya Tanzania waende CHAVITA kununua kamusi ya lugha ya alama na santuri ya video (Video CD). Hakika ni rahisi sana kujifunza lugja ya alama.
Wanapatikana wapi chavita,mim nahitaj sana kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…