Tumia akili
Member
- Apr 1, 2013
- 66
- 1,232
laki mbili, ni Afrika mkuu!?
Mpaka sasa corona imeua zaidi ya watu laki mbili, vipi mvua imeua wangapi
Asante mkuu Ila Mara yangu nimeielekeza kwa mataifa ya Afrika hususan Tanzania, isitoshe Corona inavyoonekana ni janaga la mpito Ila Janga la Mvua ni endelevu, toka tulipotoka,tulipo na bila shaka tunapokwenda Mvua inatudhalilisha, inatunyanyasa na kutuua hapo si kwafujo kama linavyofanya Corona.
MPYA: Idadi ya vifo nchini China imeongezeka na kufikia 80 mpaka sasa huku idadi ya wenye maambukizi ikifikia zaidi ya 2700 ikijumuisha Hong Kong, Macau pamoja na Taiwan.
====
UPDATE: Coronavirus: China death toll climbs to 80 with more than 2,700 cases. [The Guardian]
Death toll in China has risen to 80, according to the National Health Commission (NHC). This is up from 56 yesterday. The NHC also says there are more than 2,700 infections reported (note that the commission has included Hong Kong, Macao and Taiwan in this number).
The news comes as the head of the World Health Organization, Tedros Adhanom Ghebreyesus, flies to Beijing to discuss the outbreak with authorities.
Asante, jambo lakufurahisha tunamatumaini ya kuushinda, Vipi kuhusu Majanga ya mvua mkuu? Mtazamo wako mambo yatakua shwari baada ya miaka mingapi,?
Rais wa China Xi Jinping kasema kuwa huu ugonjwa unasambaa kuliko mategemeo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo ni janga Ila ya mvua ni majanga na yanatufika mwaka hadi mwaka au ndio tumeyazoea!?
Tatizo Ni kubwa sana kuliko inavyolipotiwa. Hilo Ni janga!
Effect of colonialismUlaya< Marekani, Uarabuni na mashariki ya kati wote hawana dawa maalumu ya korona na wanakufa vibaya vibaya, siye kama watumwa wa akili eti tunasubiri wao watupe dawa na kuwaamini zaidi kuliko tunavyojiamini kama tuliofutwa akili. Tunasikiliza kila wanachosema kutufanya wajinga wanaojua waliyofundishwa na wazungu tu.
Ni wakati wa waafrika kuonyesha wanaelimu ya sasa na ya jadi, wachina wanatumia dawa za asili kutibu korona na mengi, bila WHO kuthibitisha dawa hizo, na wanapona na kupambana na Korona kikamilifu, kwa nini siye tusifanye hivyo?
Huoni aibu kusubiri wazungu wakupe kila kitu kama wewe huna akili? Au ndiyo zimefutwa kama tunavyojua?
Ndio maana huwa nasema Waafrika wengi(hasa weusi) hawahitaji kiongozi wanahitaji Mtawala atakayewatawala kwa mkono wa chuma na mijeledi mpaka ujinga uishe vichwani mwao ndiposa wapewe kiongozi.