Tumia akili
Member
- Apr 1, 2013
- 66
- 1,232
Wakuu,
Nimekuwa nikitafakari, idadi ya vifo Marekani ni kubwa mno, nadhani kwa sasa kila kifo wanasema ni Corona ndio maana namba iko juu sana.
Ukiangalia nchi zilizopata maambukizi mengi sana na ya ghafla kama Spain na Italy vifo havikuwa vingi kiasi hicho. Hata China yenyewe watu hawakufa wengi kiasi hicho ingawa kwao mlipuko ulikuwa mkubwa sana na kwa muda mfupi.