Basi kama ni kweli Afrika nzima inaficha takwimu,basi tukubali hakuna bara lenye bahati mbaya kuzaliwa kama Afrika,au siyo ?Kweni ni uongo takwimu zinafichwa upimaji very primitive watu wanatembea na virusi huku wakiambukuza maalfu
Wagonjwa wanakufa kwa mkupuo viongozi wanasema ati ni pumu na changamoto za kupumua
"Mbinguni ya Morogoro"? Erythro, nawe umekuwaje leo. Mbingu pekee kwa Tanzania unajua sasa hivi ilipo, na ndiko tunakokimbilia na kwenda kujificha huko corona asitufuate.labda kwenu ni mbinguni ya Morogoro
Marekani mpk 08/may/2020 imeshapima watu 8.3mil,hebu tuwekee hapa Bongo pekee yake so far imepima watu wangapi ili tujumlishe na nchi zilizobaki za Africa mkuu.
Afrika,kuna Nchi zinaficha idadi ya maambukizi kijeuri tu kama Tanzania ya mchato lakini kuna Nchi nyingine zinajitahidi sana ila kutokana na mazingira na uwezo mdogo ndio unaozikwamishaBasi kama ni kweli Afrika nzima inaficha takwimu,basi tukubali hakuna bara lenye bahati mbaya kuzaliwa kama Afrika,au siyo ?
Bahati mbaya ni kutokuwa na viongozi wenye maono ya kutuondoa katika hali hiyo; badala yake wanazidi kutuhimiza tudidimie zaidi hata kuliko tulivyokwishapiga hatua chache mbele. Tunaambiwa tukasali, tutumie 'nyungu' na dawa ambazo hakuna ushahidi wowote wa kuonyesha zinafanya kazi kwenye ugonjwa huu mpya..Basi kama ni kweli Afrika nzima inaficha takwimu,basi tukubali hakuna bara lenye bahati mbaya kuzaliwa kama Afrika,au siyo ?
LOoo, haya basi, "akili ndogo" ya mtandaoni, huku mwenyekuulizwa atoe takwimu za kijijini kwao yupo kwenye mtandao! Bila shaka naye akiwa "akili ndogo"!Mkuu ukiacha mkumbo na akili ndogo
Mtaani kwenu wewe kuna vifo vingapi vya kudhani ni corona, mtaani kwako wewe, sio mitandaonj
Na wamegoma lockdown. Wanajielewa hawaMaambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
kazi bado ipo.Bahati mbaya ni kutokuwa na viongozi wenye maono ya kutuondoa katika hali hiyo; badala yake wanazidi kutuhimiza tudidimie zaidi hata kuliko tulivyokwishapiga hatua chache mbele. Tunaambiwa tukasali, tutumie 'nyungu' na dawa ambazo hakuna ushahidi wowote wa kuonyesha zinafanya kazi kwenye ugonjwa huu mpya..
Ni kama tunarudi kinyumenyume, badala ya kwenda mbele kwa kasi; kwa sababu sisi tunatakiwa kuigiza tu, jinsi ya kutumia yaliyokwishavumbuliwa na wenzetu ili yatuletee maendeleo haraka.
Hatuna haja tena ya kufanya uvumbuzi mpya wa haya mambo.
Kama ni laana, laana yetu ipo hapo: kushindwa kutumia njia zilizopo tayari ili twende haraka mbele.
Mkuu tuwe wapole na tuendelee kumuomba mungu, hili janga liishie mbali , hao wenzetu wana zaidi ya miezi minne toka corona imetinga huko, sisi nadhani ni mwezi mmoja na nusu toka corona imeingia, chamsingi ni kuzidi kumuomba mungu tu, isilete madhara wanayotuombea wazunguMaambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Mimi naongelea njia za kisayansi wewe unaniletea story za mtaani kwetu.Mkuu ukiacha mkumbo na akili ndogo
Mtaani kwenu wewe kuna vifo vingapi vya kudhani ni corona, mtaani kwako wewe, sio mitandaonj
Siyo fair hata kidogo kulinganisha data za sehemu hizo mbili, hizi data za kina umy mwalimu siyo za kutegemewa.Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Braza watu wanapukutika.. Watu wanaondoka ujue.. Watu wanakwisha.. Ni aibu kujipongeza kwa kuficha uvundoHalafu wazungu wa ajabu sana, wakizungumzia corona kwa Afrika wanatoa data za Afrika nzima badsla ya nchi moja moja maana wanaona wivu na aibu kuwa maambukizi kwa nchi moja moja na vifo viko chini sana kinyume na matazamio yao!!
Marekani mpk 08/may/2020 imeshapima watu 8.3mil,hebu tuwekee hapa Bongo pekee yake so far imepima watu wangapi ili tujumlishe na nchi zilizobaki za Africa mkuu.
Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
marekani population ni 150million wamepima 8 million maana yake wamepima kama 5% tu. Ila katika 8 m cases ni 1.3millio. Ambayo ni kma 18% wameathrika.Marekani mpk 08/may/2020 imeshapima watu 8.3mil,hebu tuwekee hapa Bongo pekee yake so far imepima watu wangapi ili tujumlishe na nchi zilizobaki za Africa mkuu.
Mkuu tuwe wapole na tuendelee kumuomba mungu, hili janga liishie mbali , hao wenzetu wana zaidi ya miezi minne toka corona imetinga huko, sisi nadhani ni mwezi mmoja na nusu toka corona imeingia, chamsingi ni kuzidi kumuomba mungu tu, isilete madhara wanayotuombea wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu kutoa data za afrika kwa ujumla si kweli pana link inatoa nchi moja baada ya nyingine nimetoka kuitizama muda mchache ulopita. Kifupi pamoja na changamoto zetu za upimaji ila bado vifo afrika si vingi kihivyo labda bado hatujafika penye peak ya ugonjwa au pengine tunalindwa na hali halisi ya bara letu hilo ni jambo la kushukuru na pia kujikita katika tahadhari kama tunavyo shauriwa na wataalamu wa afyaHalafu wazungu wa ajabu sana, wakizungumzia corona kwa Afrika wanatoa data za Afrika nzima badsla ya nchi moja moja maana wanaona wivu na aibu kuwa maambukizi kwa nchi moja moja na vifo viko chini sana kinyume na matazamio yao!!