Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Xia Sisi, miaka 29, ambaye ni daktari katika hospitali mjini Wuhan ameripotiwa kufariki dunia kutokana na virusi vya Corona. [CCTV]

Mmoja wa wagonjwa wake aliokuwa akiwatibu aligundulika kuwa na virusi vya Corona mnamo Januari 14 kisha yeye Xia kuanza kuumwa mnamo Januari 19. Hali yake ikawa mbaya zaidi mnamo Februari 7 na kufariki dunia hii leo saa 12:30 asubuhi kwa saa za Wuhan.

1582462095072.png
 
UPDATE: Korea Kusini

Visa vipya 46 pamoja na vifo vipya viwili (2) vimeripotiwa nchini humo. Jumla ya visa 602 pamoja na vifo sita (6) vimeripotiwa nchini humo hadi hivi sasa.
 
UPDATE: South Korea

Of the 46 new cases:
  • 20 are linked to the church
  • 26 others unknown, under investigation
 
NEWS ALERT: South Korea delays start of school year by 1 week due to coronavirus; it's the first time in South Korea's history that such a measure has been taken for health reasons. [Yonhap]
 
UPDATE: Visa vipya 15 na vifo vipya vitatu (3) vimeripotiwa nchini Iran. Jumla ni visa 48 pamoja na vifo nane (8) mpaka sasa nchini humo.
 
Al Arabiya, citing unidentified sources, says at least 18 people in Iran are believed to have died of coronavirus. The official death toll is still 8.

The death toll from the deadly coronavirus rose to 18 in Iran on Sunday, reported Al Arabiya citing Iranian sources.

The Iranian government confirmed two more deaths on Sunday, putting their total to eight, but Al Arabiya sources put the number initally at 18 and then at “more than 15.” On the same day, Iran International media outlet also put the number at 18 on its Arabic Twitter page.

The country is the first in the Middle East where people have died from the deadly coronavirus, which began in the Chinese city of Wuhan but continues to spread across the world. [Al Arabiya]
 
UPDATE: Kifo cha tatu (3) kimeripotiwa katika meli ya Diamond Princess. Mtu huyo alikuwa na umri wa miaka 80 na mpaka sasa bado haijafahamika kuwa ni raia wa nchi gani.
 
Kuna rafiki yangu anaondoka kesho kutwa jumanne kwenda Italy kila nikimshauri asiende hataki...BTW nyumbani ni nyumbani!
UPDATE: Italia

Visa vipya 53 vimeripotiwa nchini humo. Kasi ya maambukizi imezidi kuongezeka nchini humo huku idadi ya visa vyote ikifikia 132 hadi sasa.
 
UPDATE: Nchini Italia, wagonjwa wa COVID-19 wasiopungua 26 wako katika hali ya umahututi.

Baadhi ya shughuli pamoja matukio yasiyo ya muhimu yamesimamisha ili kuzuia kusambaa zaidi kwa maambukizi.
 
Sasa ikiendelea hivi Euro cup 2020 itakuwepo kweli?Achilia mbali michezo ya olympic.Maana sasa tunaelekea mwezi March na huyu VIRUS anaonekana hawezi kabisa kuwa contained.
 
NEWS ALERT: At least 36 people with coronavirus who were taken from the Diamond Princess cruise ship are seriously ill. [Kyodo]
 
Back
Top Bottom