Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
KAbisa.Sasa hv korona sio yawachina pekee lamsingi nalamhimu nikua makini na mipaka yetu bhaasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hii ya kusema tumuachie Mungu mimi nimeikataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAbisa.Sasa hv korona sio yawachina pekee lamsingi nalamhimu nikua makini na mipaka yetu bhaasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabu tupu,na maambukizi yanakwenda kwa kasi ya ajabu,wagonjwa washafika 130.
Wagonjwa 132 hadi sasa nchini Italia.Tabu tupu,na maambukizi yanakwenda kwa kasi ya ajabu,wagonjwa washafika 130.
Hii kasi ya ajabu inanishangaza.Wagonjwa 132 hadi sasa nchini Italia.
Inashangaza na bado haijafahamika sababu ya kuzuka kwa kasi kwa maambukizi hayo.Hii kasi ya ajabu inanishangaza.
UPDATE: Italia
Visa vipya 53 vimeripotiwa nchini humo. Kasi ya maambukizi imezidi kuongezeka nchini humo huku idadi ya visa vyote ikifikia 132 hadi sasa.
Hii kasi ya ajabu inanishangaza.
Visa ndo vinini mkuu?UPDATE: Italia
Visa vipya 53 vimeripotiwa nchini humo. Kasi ya maambukizi imezidi kuongezeka nchini humo huku idadi ya visa vyote ikifikia 132 hadi sasa.