Fahamu kiundani kabila la Wapare na Wanawake wa kipare

Ha haaa Halima hapendi ujinga
 
Kweli ila wengi wao bado ni wale wale, Mpare anaenda hotelin anauliza chips shingap wanamwambia 5000, anauliza na kachumbari je wakimwambia kachumbari ni bure, unasikia nipe tu hiyo kachumbari chips ntawachangia nikipata hela!!

Wapare huwajui.
Tumia sample ya Wapare waliomo humu JF utapata mwanga.
 
Hii imepita level za makande imeenda kwenye pilau 🤣🤣
 
Ni watu wa kuwakwepa kwa gharama yoyote. Hata kama ni jirani, jitahid ujenge ukuta mkubwa sana na geti liwe upande tofaut ili msikutane ukiwa unaingia/kutoka kwako.
Ha haaaa jamani mbona mnawatenga hivyo wakwe zangu
 
Kweli ila wengi wao bado ni wale wale, Mpare anaenda hotelin anauliza chips shingap wanamwambia 5000, anauliza na kachumbari je wakimwambia kachumbari ni bure, unasikia nipe tu hiyo kachumbari chips ntawachangia nikipata hela!!
Hii movie hata mm nishawahi kuiona
 
Yaani mtu akisema Makande watu wanaona hii vipi..., Ila ukisema Succotash huenda watu wakasema niletee hio......,

Anyway binafsi mdau wa varieties ninapenda sehemu yenye aina yao ya chakula..., Nikienda Uchagani nitataka Mtori na Mbege Sio Pizza; French Fries au Hamburger....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…