Fahamu kuhusu Fao la Kukosa Ajira Tanzania (Unemployment Benefit)

Hili fao ni la kipumbavu sana na sheria hii ilitungwa na wendawazimu wasiokuwa na huruma kwa wafanyakazi. Ovyo kabisa.
 
Ilichukua muda gani kulipwa mkuu? Baada ya barua na hicho kiapo.
 
Ilichukua muda gani kulipwa mkuu? Baada ya barua na hicho kiapo.
Ndani ya miezi 2 na nusu, sema document zangu walizipoteza, njoo kesho zikawa nyingi ila nilivyokomaa ikabidi niandike upya, ila nadhani mwezi mmoja haizidi miezi 2 wanakulipa maana nilikuwa na wasiwasi nikataka kuunga undugu baada ya karatasi yangu ya awali kupotezwa, ila nilivyoandika tu ndani ya wiki 3 ama 4 mchakato ukawa umekamilika, nikapigiwa simu nikaweke dole gumba baada ya hapo unasubiria mwali anaingia siku yoyote kwenye a/c yako
 
Asante mkuu ngoja nianze mchakato na hawa jamaa wa PSSSF.
 
Sikilizia mpaka mwisho wa mwezi huu, wasipo kulipa wafuate
 
Hawa walio tunga hii sheria ni watu wahovyo sana kwa hakika
 
Unakuta mtu anateseka kwa wahindi uko analipwa laki 3, unakuja kumpa 33.3% huu si uhuni huu , zitamsaidia nini sasa kujikwamua ? baadae mnakuja kuwacheka vijana wavivu wakati pesa zao mmezikalia
 
Mkuu Nina miaka 13 kazini, statement yangu Ina miezi mingi tu yaani 13×12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…