niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Asante mkuu Kwa elimu nzuri Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili fao ni la kipumbavu sana na sheria hii ilitungwa na wendawazimu wasiokuwa na huruma kwa wafanyakazi. Ovyo kabisa.Fao la Kukosa Ajira ni faida/msaada wa kifedha unaotolewa kwa mwanachama wa mfuko wa pensheni aliyepoteza ajira kwa sababu zisizo za hiari, kama vile kufukuzwa kazi, kuisha kwa mkataba, au sababu nyingine za halali. Hata hivyo, fao hili halitolewi kwa mtu aliyeacha kazi kwa hiari, kwani kufanya hivyo humfanya apoteze sifa za kupata fao hili.
Sifa za Kupata Fao la Kukosa Ajira
Umri: Mtu anayestahili fao hili anatakiwa kuwa chini ya umri wa miaka 55, ikiwa umepoteza kazi na umri wako ni zaidi ya miaka 55 basi italazimika ulipwe fao la uzee (Old age pension)
Mchango: Fao hili ulipwa kwa Mwanachama aliye changia kwenye mfuko chini ya miezi 180, ikiwa umechangia zaidi ya miezi 180 na uko chini ya miaka 55 ukapoteza ajira, basi utalipwa pensheni iliyo cheleweshwa, (differed pension).
Sababu za Kupoteza Ajira: Ajira inatakiwa kuwa imekoma kwa sababu zisizo za hiari kama vile: kufukuzwa kazi, Mkataba kuisha, au kupunguzwa kazini (retrenchment).
Malipo ya Fao la Kukosa Ajira
Fao la kukosa ajira hulipwa kwa awamu mbili. Kwa Aliyechangia Zaidi ya Miezi 18: Malipo ya Awamu ya Kwanza: Unalipwa 33.3% ya mshahara wako wa mwisho kwa kipindi cha miezi 6. Baada ya Malipo ya Kwanza: utakuwa na kipindi cha miezi 18 (miaka miwili) cha kutafuta ajira, ukipata ajira, utaendelea kuchangia katika mfuko pale ulipoishia na ikitokea umekosa ajira ndani ya kipindi hiki, utaandika barua kwenda kwa Mkurugenzi mkuu wa mfuko kuhama uchangiaji, toka uchangiaji wa lazima kwenda hiari, baada ya kuhama uchangiaji unaweza endelea kujichangia mwenyewe au utaruhusiwa kuchukua kiasi kilichobaki kwenye mfuko.
Kwa Aliyechangia Chini ya Miezi 18: Malipo: Utalipwa nusu ya kiasi ulichochangia kwenye mfuko. Baada ya Malipo: utakuwa na kipindi cha miezi 18 (Miaka miwili) cha kutafuta ajira. Ukipata ajira, utaendelea kuchangia pale ulipoishia, na Ukikosa ajira ndani ya kipindi hiki, utaandika barua kwenda kwa Mkurugenzi mkuu wa mfuko kuhama uchangiaji, toka uchangiaji wa lazima kwenda hiari, baada ya kuhama uchangiaji unaweza endelea kujichangia mwenyewe kwa mfumo wa hiari au kuchukua kiasi kilichobaki kwenye mfuko.
Pia malipo ya fao la kukosa ajira yanatofautina kwa mtu mwenye ujuzi (skilled) na Mtu asiye na ujuzi (Unskilled) kwa mtu asiye na ujuzi yeye hulipwa kiasi chote alicho changia kwenye mfuko na mwenye ujuzi yeye hulipwa kwa kufuata maelekezo hayo juu, hii ni kwasababu ni ngumu mtu asiye na ujuzi kupata ajira kwa urahisi ukilinganisha na mtu mwenye ujuzi
Kumbuka: Malipo ya fao la kukosa ajira yatakoma pale tu unapo pata ajira nyingine.
Sababu za Malipo Kufanyika kwa Awamu
Mfumo wa malipo kwa awamu una lengo la kuhakikisha mwanachama anaendelea kuwa na sifa za kupata pensheni ya uzee. Kama kiasi chote kingetolewa mara moja, kuna hatari ya mwanachama kufika umri wa kustaafu bila kufikia michango ya miezi 180 inayotakiwa kwa ajili ya pensheni ya uzee.
Hivyo, malipo kwa awamu yanasaidia kulinda michango iliyopo ili mwanachama awe na nafasi ya kufanikisha sifa za pensheni ya uzee.
Faida ya Fao la Kukosa Ajira
Hutoa msaada wa kifedha kwa kipindi cha mpito baada ya kupoteza ajira. Hakuna kupunguzwa kwa michango ya awali kwenye mfuko, Mfano: Ulikuwa na michango 20, ukalipwa fao la kukosa ajira, lakini hukuchukua kiasi chote. Ukipata ajira mpya, utaanza kuchangia kuanzia mchango wa 21 na kuendelea.
Kumbuka: Fao hili ni haki ya mwanachama aliyepoteza ajira kwa sababu halali zilizopo kwenye sheria, Mchakato wa kudai fao hili unahitaji nyaraka zinazothibitisha hali ya kuachishwa kazi kama barua ya kusitishwa kwa ajira.
Ilichukua muda gani kulipwa mkuu? Baada ya barua na hicho kiapo.Wanahesabu miezi 18 baada ya tarehe ya mwisho kumaliza kulipwa fao la kukosa ajira (mie walihesabu yaani ukifika tu counter anaangalia mwisho ulilipwa lini alafu ana count miezi 18 baada ya kumaliza kulipwa kisha anakupa maelekezo ya kuandika barua pamoja na kuchukua kiapo mahakamani / mwanasheria kudhibitisha huna ajira)
Ndani ya miezi 2 na nusu, sema document zangu walizipoteza, njoo kesho zikawa nyingi ila nilivyokomaa ikabidi niandike upya, ila nadhani mwezi mmoja haizidi miezi 2 wanakulipa maana nilikuwa na wasiwasi nikataka kuunga undugu baada ya karatasi yangu ya awali kupotezwa, ila nilivyoandika tu ndani ya wiki 3 ama 4 mchakato ukawa umekamilika, nikapigiwa simu nikaweke dole gumba baada ya hapo unasubiria mwali anaingia siku yoyote kwenye a/c yakoIlichukua muda gani kulipwa mkuu? Baada ya barua na hicho kiapo.
Asante mkuu ngoja nianze mchakato na hawa jamaa wa PSSSF.Ndani ya miezi 2 na nusu, sema document zangu walizipoteza, njoo kesho zikawa nyingi ila nilivyokomaa ikabidi niandike upya, ila nadhani mwezi mmoja haizidi miezi 2 wanakulipa maana nilikuwa na wasiwasi nikataka kuunga undugu baada ya karatasi yangu ya awali kupotezwa, ila nilivyoandika tu ndani ya wiki 3 ama 4 mchakato ukawa umekamilika, nikapigiwa simu nikaweke dole gumba baada ya hapo unasubiria mwali anaingia siku yoyote kwenye a/c yako
Kila la kheri mkuuAsante mkuu ngoja nianze mchakato na hawa jamaa wa PSSSF.
Sikilizia mpaka mwisho wa mwezi huu, wasipo kulipa wafuateNilianza kulipwa hiyo 33.3% tarehe 11/12/2024 na nililipwa amount ya miezi miwili. Niliachishwa kazi tarehe 30/09/2024. Baada ya kunilipa hiyo hela ya miezi miwili inachukua muda gani kulipa malipo ya awamu nyingine kwa miezi minne iliyosalia. Nilijua labda wangelipa tena mwisho wa mwezi wa 12 lakini mpaka sasa hivi naona kimya
KaribuAsante mkuu Kwa elimu nzuri Sana.
Kwanini umesema hivyo....!?Hili fao ni la kipumbavu sana na sheria hii ilitungwa na wendawazimu wasiokuwa na huruma kwa wafanyakazi. Ovyo kabisa.
Isome sheria mstari kwa mstari uone jinsi ilivyojaa konakona na ukora.Kwanini umesema hivyo....!?
Kwanini.....!?Bora fao la kujitoa lirudishwe.
Haaaahaa sawaIsome sheria mstari kwa mstari uone jinsi ilivyojaa konakona na ukora.
Fanya research Kwa walioguswa na hii Sheria utajipatia majibuKwanini.....!?
Acha tu watu wanateseka wakati zile pesa ni halali yao wala hawaibiFanya research Kwa walioguswa na hii Sheria utajipatia majibu
Unakuta mtu anateseka kwa wahindi uko analipwa laki 3, unakuja kumpa 33.3% huu si uhuni huu , zitamsaidia nini sasa kujikwamua ? baadae mnakuja kuwacheka vijana wavivu wakati pesa zao mmezikaliaFao la Kukosa Ajira ni faida/msaada wa kifedha unaotolewa kwa mwanachama wa mfuko wa pensheni aliyepoteza ajira kwa sababu zisizo za hiari, kama vile kufukuzwa kazi, kuisha kwa mkataba, au sababu nyingine za halali. Hata hivyo, fao hili halitolewi kwa mtu aliyeacha kazi kwa hiari, kwani kufanya hivyo humfanya apoteze sifa za kupata fao hili.
Sifa za Kupata Fao la Kukosa Ajira
Umri: Mtu anayestahili fao hili anatakiwa kuwa chini ya umri wa miaka 55, ikiwa umepoteza kazi na umri wako ni zaidi ya miaka 55 basi italazimika ulipwe fao la uzee (Old age pension)
Mchango: Fao hili ulipwa kwa Mwanachama aliye changia kwenye mfuko chini ya miezi 180, ikiwa umechangia zaidi ya miezi 180 na uko chini ya miaka 55 ukapoteza ajira, basi utalipwa pensheni iliyo cheleweshwa, (differed pension).
Sababu za Kupoteza Ajira: Ajira inatakiwa kuwa imekoma kwa sababu zisizo za hiari kama vile: kufukuzwa kazi, Mkataba kuisha, au kupunguzwa kazini (retrenchment).
Malipo ya Fao la Kukosa Ajira
Fao la kukosa ajira hulipwa kwa awamu mbili. Kwa Aliyechangia Zaidi ya Miezi 18: Malipo ya Awamu ya Kwanza: Unalipwa 33.3% ya mshahara wako wa mwisho kwa kipindi cha miezi 6. Baada ya Malipo ya Kwanza: utakuwa na kipindi cha miezi 18 (miaka miwili) cha kutafuta ajira, ukipata ajira, utaendelea kuchangia katika mfuko pale ulipoishia na ikitokea umekosa ajira ndani ya kipindi hiki, utaandika barua kwenda kwa Mkurugenzi mkuu wa mfuko kuhama uchangiaji, toka uchangiaji wa lazima kwenda hiari, baada ya kuhama uchangiaji unaweza endelea kujichangia mwenyewe au utaruhusiwa kuchukua kiasi kilichobaki kwenye mfuko.
Kwa Aliyechangia Chini ya Miezi 18: Malipo: Utalipwa nusu ya kiasi ulichochangia kwenye mfuko. Baada ya Malipo: utakuwa na kipindi cha miezi 18 (Miaka miwili) cha kutafuta ajira. Ukipata ajira, utaendelea kuchangia pale ulipoishia, na Ukikosa ajira ndani ya kipindi hiki, utaandika barua kwenda kwa Mkurugenzi mkuu wa mfuko kuhama uchangiaji, toka uchangiaji wa lazima kwenda hiari, baada ya kuhama uchangiaji unaweza endelea kujichangia mwenyewe kwa mfumo wa hiari au kuchukua kiasi kilichobaki kwenye mfuko.
Pia malipo ya fao la kukosa ajira yanatofautina kwa mtu mwenye ujuzi (skilled) na Mtu asiye na ujuzi (Unskilled) kwa mtu asiye na ujuzi yeye hulipwa kiasi chote alicho changia kwenye mfuko na mwenye ujuzi yeye hulipwa kwa kufuata maelekezo hayo juu, hii ni kwasababu ni ngumu mtu asiye na ujuzi kupata ajira kwa urahisi ukilinganisha na mtu mwenye ujuzi
Kumbuka: Malipo ya fao la kukosa ajira yatakoma pale tu unapo pata ajira nyingine.
Sababu za Malipo Kufanyika kwa Awamu
Mfumo wa malipo kwa awamu una lengo la kuhakikisha mwanachama anaendelea kuwa na sifa za kupata pensheni ya uzee. Kama kiasi chote kingetolewa mara moja, kuna hatari ya mwanachama kufika umri wa kustaafu bila kufikia michango ya miezi 180 inayotakiwa kwa ajili ya pensheni ya uzee.
Hivyo, malipo kwa awamu yanasaidia kulinda michango iliyopo ili mwanachama awe na nafasi ya kufanikisha sifa za pensheni ya uzee.
Faida ya Fao la Kukosa Ajira
Hutoa msaada wa kifedha kwa kipindi cha mpito baada ya kupoteza ajira. Hakuna kupunguzwa kwa michango ya awali kwenye mfuko, Mfano: Ulikuwa na michango 20, ukalipwa fao la kukosa ajira, lakini hukuchukua kiasi chote. Ukipata ajira mpya, utaanza kuchangia kuanzia mchango wa 21 na kuendelea.
Kumbuka: Fao hili ni haki ya mwanachama aliyepoteza ajira kwa sababu halali zilizopo kwenye sheria, Mchakato wa kudai fao hili unahitaji nyaraka zinazothibitisha hali ya kuachishwa kazi kama barua ya kusitishwa kwa ajira.
Mkuu Nina miaka 13 kazini, statement yangu Ina miezi mingi tu yaani 13×12Maternity benefits ipo na haijafutwa, wanacho takiwa kukuambia ni nini kinasababisha wachelewe kukulipa, Ninacho fahamu kuhusu maternity benefits ni kwamba michango 12 kabla ya kujifungua unatakiwa uwe umechangia kwa mfululizo, je umeangalia statement ya michango yako ipo mpaka mwezi wa kumi na moja.....!?
Kwanini....?Hawa walio tunga hii sheria ni watu wahovyo sana kwa hakika
UtalipwaMkuu Nina miaka 13 kazini, statement yangu Ina miezi mingi tu yaani 13×12