Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Ifanye iwe extra biashara kwa ajili ya ku maintain wateja wako, usitegemee kupata faida ya kueleweka kwenye hizo biashara
Asante kwa ushauri ila kama hali ndiyo iko hivyo si biashara mzuri fikiria ulipe rent na wages ya mfanyakazi kutokana na faida mmh!...
 
nipe uzoefu best ndo niko karibia kuzianzisha tigo pesa, m pesa na halo pesa
Tafuta location nzuri uwe na mtaji wa kutosha.....
The more unavofanya transaction ndio unapata faida, kwa experience yangu mawakala wengi unakuta wamekaa sehemu moja ila mitaji hawana imagine vibanda vya watu saba wote hawana elf 50 sasa hapo kuna commission gani wanayoingiza?
 
asante. nawewe vibanda 7 elf 50 hamnaaaa
 
1470130168707.jpg
 
Uzoefu wa biashara hii ni umakini kuliko kiasi cha pesa ulizonazo within a minute unaweza kupoteza 2 mn, bt mtaji na ushapu wako unaweZa kukupa matokeo mazuri.
 
Back
Top Bottom