Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Ngoja waje wajuvi wa hayo mambo.. wasipotokea waweza enda hata kwenye ofisi zao hao Tigo/Voda/Airtel.. watakueleza vizuri tu bila shaka..
 
nafikiri kwa tigopesa lain hutolewa buree haziuzwi ila unatakiwa uwe na lessen ya biashara ( tin namba lazima utapata maana lazima upate tin namba ndipo upate lessen) , kitambulisho chako. ( chakura , lessen ya udereva, pass ya kusafiria, cha uraia) pamoja na hela ya mwanasheria 20000 /= kwa ajil ya kusain mikataba , usikose angalau laki 4 kwa ajili ya kuweka float ,baada ya hapo unamwona wakala mkuu wa hilo eneo , yeye atazipeleka taarifa zako ofisini kwa ajili ya kutengenezewa lain ( code) ila hyo line ni mali ya kampuni , hvyo ndivyo nijuavyo mwenye kuongezea nyama karibu
 
Kumbe ni bure? ?
 
Miaka michache iliyopita nilikuwa kibarua wa Tigo... kupata laini za Tigo Pesa ilikuwa shughuli kweli kweli!

Kwanza zilikuwa hazitolewi na Tigo bali na Super Dealers wa Tigo! Kwa City Center kuna jamaa, nadhani wanaitwa Excel... nadhani wapo/walikuwa Barclay's Building! Kulikuwa na mwingine Mtaa wa Samoa/Zanaki!

Ilikuwa ngumu kuzipata kwa sababu nyingi zilikuwa mikononi mwa watu wakati walikuwa hawazifanyii kazi! Ili kupata serious agents wakapandisha kiwango cha float!

Requirements ndo hizo ulizotaja lakini sidhani kama zinapatikana kirahisi!
 
Na kuwa na tin no. Pamoja na leseni ya biashara na picha na copy ya kitambulisho+elfu 10 then nenda kwa mawakala wakuu wa izo line utajaza fomu then utasubiria kwa muda utapata line.....

Ila airtel money utaongezea na barua ya mtendaji....

Ila
 
Wameanza lini kutoa bure? Miaka michache iliyopita nilikuwa kibarua wa Tigo... kupata laini za Tigo Pesa ilikuwa shughuli kweli kweli!

Kwanza zilikuwa hazitolewi na Tigo bali na Super Dealers wa Tigo! Kwa City Center kuna jamaa, nadhani wanaitwa Excel... nadhani wapo/walikuwa Barclay's Building! Kulikuwa na wengine Mtaa wa Samoa/Zanaki!

Ilikuwa ngumu kuzipata kwa sababu nyingi zilikuwa mikononi mwa watu wakati walikuwa hawazifanyii kazi! Ili kupata serious agents wakapandisha kiwango cha float!

Requirements ndo hizo ulizotaja lakini sidhani kama zinapatikana kirahisi!
Utaratibu wa line buure ni wa miaka mingi tu.... ila ulikuwa slow na uligunduliwa na wachahche wakawa wanazisajili zao kwa wingi then wanawauzia watu... dats why wengi wanaofanya hizi biashara za tigopesa na mpesa line hazina majina yao.

mitamdao inahitaji line ziwe nyingi ili wapate faida... kama wanakulipa kwa ajili ya kuwafanyia kazi yao... watashindwaje kukupa kitendea kazi.

Ushaona wapi house gal anaanza kazi na ndoo zake za maji
 
Kwanza hakuna niliposema unalipia! Nilichosema ni kwamba ukishamaliza mahitaji yanayotakiwa (docs za kibiashara) LAZIMA u-deposit pesa kwenye account yako... Float!! Sio kwamba unaenda tu kisha unapewa laini kisha unasepa zako... hakuna kitu kama hicho!!!

Pili, kampuni haikulipi bali unajilipa mwenyewe kutokana na commission! Ukipiga mzigo kwa sana, unapata sana, ukiwa kweny eneo bovu; imekula kwako!!

Kwamba mitandao inahitaji laini ziwe nyingi nimeshasema hapo juu!! Kuna wakati ilionekana laini za mawakala wa Tigo Pesa zimetolewa kwa wingi mno ukilinganisha na zilizokuwa zinafanya kazi!

Kutokana na hilo, wakadhibiti na jambo la kwanza walilokuwa wamefanya ni kupandisha float!!! Wengi waliokuwa wanakuja walikuwa wanashindwa manake pesa waliyotakiwa ku-deposit ni ndefu kwa mfanyabiashara mdogo! Ilikuwa above 1M.

Mfano wako wa House Girl ni irrelevant... Tigo Pesa is BUSINESS! Tigo hawawezi kumpa mtu dhamana ya kwenda kucheza na pesa za watu kabla muhusika hajatoa uhakikisho kwamba s/he's financially okay kufanya biashara ya pesa!
 
Urasimu uliopo ktk kupata kupata hizo mambo ni heri ununue kwa mtu baki. Sio airtel, sio Voda. Chanzo cha tatizo ni wafanyakazi kuuza hizo laini. Watu wanajaza fomu, wafanyakazi wanaziuza.
 
Ni ukweli mtupu!! Kupata hizo laini ni issue kweli kweli na kama mtu uwezo wake mdogo option pekee ni kununua kwa mtu!!!
 
Miaka michache iliyopita nilikuwa kibarua wa Tigo... kupata laini za Tigo Pesa ilikuwa shughuli kweli kweli!

Kwanza zilikuwa hazitolewi na Tigo bali na Super Dealers wa Tigo! Kwa City Center kuna jamaa, nadhani wanaitwa Excel... nadhani wapo/walikuwa Barclay's Building! Kulikuwa na mwingine Mtaa wa Samoa/Zanaki!

Ilikuwa ngumu kuzipata kwa sababu nyingi zilikuwa mikononi mwa watu wakati walikuwa hawazifanyii kazi! Ili kupata serious agents wakapandisha kiwango cha float!

Requirements ndo hizo ulizotaja lakini sidhani kama zinapatikana kirahisi!
Ulitaka za bure zina chukua miezi kadhaa kupata lakini ukitaka faster ufanye kazi ndiyo hivyo lazima ununue kwa mtu au kwa super dealers.
 
Back
Top Bottom