Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

nachelea kuamini ulichokiandika unapata wap ujasir wa kusema hii busnes inakua? are u updated with technology issues
Hii ndo sekta yangu sitatia neno but nikukosoe uliyesema ilikuwa zaman mim nasema haitakufa na itazid kuchanua na niende mbali zaid nikwambie kuwa ndio biashara pekee Tanzania unayoweza kuifanya leo kwa milioni mbili na kesho ukaifanya kwa million mia mbili bila presha wala stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika replies zote hakuna aliyeweza msaidia alichouliza ilihali kuna watu wamesema wanaifanya hii biashara, mmoja2 kasema wanalipa kwa kamisheni mwisho wa mwezi, najua hajaelewa kamisheni inakuwaje, mfano labda ukifanya miamala kiasi flani, tegemea kupata kamisheni ya sh kadhaa kwa mwezi

Niulize chkulia mfano umefanya miamala ya ya200k kwa mwezi, watakulipa sh ngapi kwa mwezi?? (Wengi tunajifunza, na kujifunza kwetu hakuzibi riziki ya wew uliyeko kwenye system!

Nawakilisha
kamishen utayopewa mtu akitoa pesa sio sawa na utayopewa mtu akiweka pesa kwa hyo ata kama ukifanya transaction za milion 10,, bado malipo yako yatategemea je wengi walitoa pesa au kuwekapesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nachelea kuamini ulichokiandika unapata wap ujasir wa kusema hii busnes inakua? are u updated with technology issues

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nataka uelewe kuwa hii nchi ina watu na majini na majini hao sio kwasababu ya maumbile yao bali ni uwezo wa akili tu wa kufikiri na kupambanua mambo kwenye maisha na usiombe hayo majini yakaingia kwenye sekta yako utahisi unacheza sina miaka mingi tangu niingie kwenye Telecom lakini nayajua mambo mengi sana ya kawaida na yasiyo ya kawaida
 
Tatizo watu hamtaki kusumbua bongo mkisikia mambo yasiyo ya kawaida mnakimbilia kuwaza Darkside, Naomba ieleweke hivi mambo yasiyo ya kawaida ni yale ambayo yapo maybe arround U in day to day ila huwez kuyang'amua kwa wepesi, (we call it normal things but in extra miles You need third eye to see them ).
 
Chuma ulete hapa ama [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wewe huoni text yangu imekaa mfumo wa Swali au mdomo ulikua unakuwasha ukatafuta WA kumuimbia taarebu

Ulitakiwa kusema ndio au Hapana IPO hivi au vile sasa nyimbo zote nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom