Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Muulize Masanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TumesusanaNipo mkuu
Mkuu sisemi utafute pesa umridhishe mwanamke hapana. Nasema utafute pesa ujiridhishe wewe!Hahaha hahaha kipato gan kinamtosha mwanamke?.
Bro sidhani kama unanielewa ninachomaanisha!But look mabilionea wangapi Duniani, Wanawake zao wamesepa ?
Ndiooo, Kuna masikin wengi pia ,Wanawake zao wamesepa!.
Ushawah jiuliza, wewe unaweza kua una kila kitu, alafu unamtaka Dem XYZ... Na huyo demu anakutolea nje, nahuku ukijua kabisa, Anatoka na mahikaji ,Maisha kuunga???
Unahisi Kwa sababu, wewe Hauna peda zaidi au nn??
Nani kakuambia hao matajiri huwa hawalii na kupiga magoti???Bro sidhani kama unanielewa ninachomaanisha!
Simaanishi ukiwa na pesa huwezi kuachwa!
Point yangu mwanaume kuwa selfish , Jiipende. Tafuta hela chakata mbususu. Jali afya. Mwanamke akikuacha muache aende.
Nakubali hao matajiri ndoa zao zimevunjika Ila umewahi kuona Tajiri Kati ya hao ambao unewataja anaenda kumpigia magoti mke wake asiondoke nyumbani [emoji1]. Ukiwa na pesa mwanamke akizingua let her Go. Ila ukiwa huna pesa utakimbilia Dawati la jinsia mnaanza kusumbuana mwanamke asikuache mwisho WA siku mnauana.
Matajiri wote ambao umewataja mwanamke akiileta issue za talaka anapewa sio sis masikini kung'ang'aniana.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wapi nimesema matajiri Hawaii ?Nani kakuambia hao matajiri huwa hawalii na kupiga magoti???
Pesa sio substitute ya emotions & attachments.
Bro sidhani kama unanielewa ninachomaanisha!
Simaanishi ukiwa na pesa huwezi kuachwa!
Point yangu mwanaume kuwa selfish , Jiipende. Tafuta hela chakata mbususu. Jali afya. Mwanamke akikuacha muache aende.
Nakubali hao matajiri ndoa zao zimevunjika Ila umewahi kuona Tajiri Kati ya hao ambao unewataja anaenda kumpigia magoti mke wake asiondoke nyumbani [emoji1]. Ukiwa na pesa mwanamke akizingua let her Go. Ila ukiwa huna pesa utakimbilia Dawati la jinsia mnaanza kusumbuana mwanamke asikuache mwisho WA siku mnauana.
Matajiri wote ambao umewataja mwanamke akiileta issue za talaka anapewa sio sis masikini kung'ang'aniana.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kauli za kijinga hazina ukweli wowote masanja anapesa na kagongewa katika dunia hii ni ngumu kumridhisha mwanamke ukimpa hela atakusumbua katika mapenzi na na ukikikosa hela atakukimbia ukiwa huna nguvu za kiume atachapuka kumbuka siku zote wanawke hawajui wanataka nini katika maisha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji106]Karne ya sasa malaya ni wengi kuliko wanawake. Na kuna asilimia 90% za kukumbana na malaya hivyo chochote utakachofanya ni kazi bure. Wanawake decent wamebaki wachache sana hivyo kuliko kupoteza muda kuhangaika na malaya na mahusiano or whatever the hell ni bora huo muda kufanya mambo mengine ya msingi.
Ni kujifaidisha mwenyewe, kula alafu unapotea kibabe, kujipa self-priority na kuwa selfish kupitiliza mpaka fish wenyewe washangae. Mwanamke decent mwenye upendo wa kweli yupo na atatokea tu.
Kaka masanja ana hela...
How can you be so sure kuwa hao matajiri uliowataja hawakung'ang'ania ndoa zao kabla talaka hazijawa rasmi??? Kama una inside info tafadhali share na sie wengine tujifunze.Wapi nimesema matajiri Hawaii ?
Mimi nimesema hao matajiri aliowataja yeye hawajawahi kung'ang'ania ndoa linapokuja suala la talaka iwe Bilgate au Jeff Bezos. Masikini asilimia kubwa wakipigwa chini na wanawake wanaishia Kufanya violence na kuwaua wanawake.
Pitia Mauaji yote ya kutisha kwenye mapenzi ni wanaume wenye pesa za kawaida au masikini ! Kama hili hutaki kukubali sina haja ya kukubembeleza ukubali.
Tena Kwa wewe mwanaume ogopa mwanaume alie I too emotional kwako halafu Hana kitu, siku zako zinahesabika kama Ukija kumzingua huko mbeleni. Siku unampiga chini au kumsaliti utafanywa kitu hutakaa uamini.
Ila Kwa MTU kama Bilgate ni kukuacha Tu .
Masikini alie emotional Kwa wivu mapenz anaweza kuua familia nzima. Soma taarifa zinazo sambaa tanzania uone matukio yanayoendelea wengi ni masikini.
Wanaume wanaume tutafute hela narudia tena tusake hela. Ukiwa na hela hata wivu WA kijinga unapotea.
Kuwa na Hela halafu control your emotions utaishi Kwa Raha sana. Mwanamke akizingua piga chini inua mwingine haraka. Maisha ni mafupi Sana.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Guys hela sio kila kitu unless kama umekutana na malayaKumpitisha hayo mabonde inabidi uwe na pesa pia
Hatukatai mkuu hayo mazali yapo, ila itabidi uwe na bahati kumpata huyo mwanamke na yupo ndugu yangu wa karibu nayeye safari yake ilianzia hivyo hivyo. Lakini zama zinabadilika sheikh wangu. Yani sikuhizi na haya maisha yalivyokuwa tight kama sio provider mzuri hawa watoto watakusumbua sanaGuys hela sio kila kitu unless kama umekutana na malaya
Mimi nina mwanamke ni branch manager wa benki fulani, anaishi nyumba ya ghorofa 2 mbezi beach ila mimi sina chochote naunga unga tu
Ila mwanamke ananipenda vibaya mno . Hata tukitoka out shoo huwa anasimamia yeye
Ni kucheza na saikolojia yake tu na yeye mwenyewe akupende
mataccor niniIt depends na siyo it depend. Tutumie kiswahili jamani kwani hii lugha kwetu ni mtihani.
Kweli kbsaa tukiwaelewagaa hatutakii kuwaumizaaaMalaya pekee, ndio huitaka pesa yako waziwazi .
Alafu Kuna hili, Yaan Mnachokosea wengi wenu ni Approach ya kwanza.
Wanaume wengi Huwa mnakasumba ya kunionyesha Kwa mwanamke kua "Wewe ndio Sonko"!!
Ni siku ya kwanza lkn weee utataka ajue una nyumba, Gari, kazi nzuri ..
Unahisi anatafasiri nini?? AKILI YAKE HUTAFASIRI PESA TU.
So unamhamisha kutoka kwenye Emotions kuja kwenye Materials .
Unategemea nn??.
Nyie ndo wale ambao, Kila Out na mwanamke ,inakulazim wewe ndio umtoe.
Mwanamke akishakuelewa, HAKUUMIZI.