Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!

Hahaha hahaha kipato gan kinamtosha mwanamke?.
Mkuu sisemi utafute pesa umridhishe mwanamke hapana. Nasema utafute pesa ujiridhishe wewe!

Atakaekupenda wewe Sawa, atakaependa pesa zako Sawa. Ila hakikisha mwanamke hakuondolei furaha. Don't be too emotional Kwa wanawake utaishia kubaya.

Sheria ni tafuta pesa halafu usiwe emotional Kwa wanawake utakuwa na maisha mazuri mno!

Angalia matukio yote ya kuuwana wapenzi lazima utakuta mwanaume alikuwa too emotional Kwa mwanamke Yani zile Baby I love you mara mwanaume analia Kabisa! Na hii mara nyingi hutokea mwanaume ukiwa huna hela. Mwisho WA siku ukipigwa tukio unaua!

Tatafute pesa ndugu zangu!

Kama Una pesa unawez kuchakata mbususu yoyote hata kutoka Ng'ambo ni wewe Tu !




Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Bro sidhani kama unanielewa ninachomaanisha!

Simaanishi ukiwa na pesa huwezi kuachwa!

Point yangu mwanaume kuwa selfish , Jiipende. Tafuta hela chakata mbususu. Jali afya. Mwanamke akikuacha muache aende.

Nakubali hao matajiri ndoa zao zimevunjika Ila umewahi kuona Tajiri Kati ya hao ambao unewataja anaenda kumpigia magoti mke wake asiondoke nyumbani [emoji1]. Ukiwa na pesa mwanamke akizingua let her Go. Ila ukiwa huna pesa utakimbilia Dawati la jinsia mnaanza kusumbuana mwanamke asikuache mwisho WA siku mnauana.

Matajiri wote ambao umewataja mwanamke akiileta issue za talaka anapewa sio sis masikini kung'ang'aniana.



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nani kakuambia hao matajiri huwa hawalii na kupiga magoti???

Pesa sio substitute ya emotions & attachments.
 
Nani kakuambia hao matajiri huwa hawalii na kupiga magoti???

Pesa sio substitute ya emotions & attachments.
Wapi nimesema matajiri Hawaii ?

Mimi nimesema hao matajiri aliowataja yeye hawajawahi kung'ang'ania ndoa linapokuja suala la talaka iwe Bilgate au Jeff Bezos. Masikini asilimia kubwa wakipigwa chini na wanawake wanaishia Kufanya violence na kuwaua wanawake.

Pitia Mauaji yote ya kutisha kwenye mapenzi ni wanaume wenye pesa za kawaida au masikini ! Kama hili hutaki kukubali sina haja ya kukubembeleza ukubali.

Tena Kwa wewe mwanaume ogopa mwanaume alie I too emotional kwako halafu Hana kitu, siku zako zinahesabika kama Ukija kumzingua huko mbeleni. Siku unampiga chini au kumsaliti utafanywa kitu hutakaa uamini.


Ila Kwa MTU kama Bilgate ni kukuacha Tu .


Masikini alie emotional Kwa wivu mapenz anaweza kuua familia nzima. Soma taarifa zinazo sambaa tanzania uone matukio yanayoendelea wengi ni masikini.

Wanaume wanaume tutafute hela narudia tena tusake hela. Ukiwa na hela hata wivu WA kijinga unapotea.

Kuwa na Hela halafu control your emotions utaishi Kwa Raha sana. Mwanamke akizingua piga chini inua mwingine haraka. Maisha ni mafupi Sana.



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huwa
Huwajui Wanawake .

EMOTION ndio dereva wa Maisha ya Mwanamke.


Ukilijua Hilo, Basi hutaagaika kutumia Pesa, kumshawishi Mwanamke .
 
Yote haya shortcut yake ni tafuta hela buda

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kauli za kijinga hazina ukweli wowote masanja anapesa na kagongewa katika dunia hii ni ngumu kumridhisha mwanamke ukimpa hela atakusumbua katika mapenzi na na ukikikosa hela atakukimbia ukiwa huna nguvu za kiume atachapuka kumbuka siku zote wanawke hawajui wanataka nini katika maisha
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji106]
 
How can you be so sure kuwa hao matajiri uliowataja hawakung'ang'ania ndoa zao kabla talaka hazijawa rasmi??? Kama una inside info tafadhali share na sie wengine tujifunze.
 
Kumpitisha hayo mabonde inabidi uwe na pesa pia
Guys hela sio kila kitu unless kama umekutana na malaya

Mimi nina mwanamke ni branch manager wa benki fulani, anaishi nyumba ya ghorofa 2 mbezi beach ila mimi sina chochote naunga unga tu

Ila mwanamke ananipenda vibaya mno . Hata tukitoka out shoo huwa anasimamia yeye

Ni kucheza na saikolojia yake tu na yeye mwenyewe akupende
 
Hatukatai mkuu hayo mazali yapo, ila itabidi uwe na bahati kumpata huyo mwanamke na yupo ndugu yangu wa karibu nayeye safari yake ilianzia hivyo hivyo. Lakini zama zinabadilika sheikh wangu. Yani sikuhizi na haya maisha yalivyokuwa tight kama sio provider mzuri hawa watoto watakusumbua sana
 
Kaka umeandika vizuri tena vizuri sana , hapo ni akili ya msomaji na mapokeo ya mada yapoje kwa upande wake , unaweza kua unatumia nguvu kubwa kumuelewesha mtu mwenye visasi vya mahusiano
 
Kwe
Kweli kbsaa tukiwaelewagaa hatutakii kuwaumizaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…