Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Itabidi tuwaulize kina Kisai na DR Mambo JamboMkuu hivi wale watu wa flat earth huwa wana amini ulimwengu ulianzaje
Utaratibu wa Mjadala Ni kuuliza swali bila kutoa Conclusion:Mzee sijuwi ni uliamua tu kujiita daktari?
Kwako wewe unaeleza vipi uwepo wa usiku na mchana? Kwanini sehemu moja ya dunia inakuwa usiku na sejemu nyingine inakuwa mchama?
Umepewa akiri fikiria basi sio kukaririshwa kama dunia ni flat, 100% ya flat eathers wote wamekaririshwa hakuna anayeweza kuthibitisha kama dunia ni flat
Na hapo Ndiyo wengi Hukosea Kabisa na KupotokaShida watu huwa hawatumii akili kutafakari hayo wanayo letewa, na Hawa wanayo yaleta wamshajua ya kuwa wazi watu huwa hawahoji mambo.
Lakini kama mtu unamtumia akili na kuhoji Sayansi zaidi ya asilimia 70 ni uongo mtupu hasa Sayansi ya anga na Sayansi ya mambo ya tiba.
We Unaamini Uliumbwa Au Hukuumbwa??Mkuu hivi wale watu wa flat earth huwa wana amini ulimwengu ulianzaje
So hizi video ni original na ndio “proof” ambayo sio image generate kuonyesha dunia ni flat 😂😂😂Utaratibu wa Mjadala Ni kuuliza swali bila kutoa Conclusion:
Tatizo kubwa La watu wanaojiita Round Earther sijui Circle Earther kwanza hawajawahi kuprove kuwa Dunia Ni Duara au Ni Tufe na Hakuna Picha yoyote inaonekana Original Photo sio hizi Generated..
Na umeuliza Kuhusu Mimi ni Daktari Damn Right I am a doctor who refused to be A toy for The Propaganda
Kitendo cha wewe Kutoa conclusion Kuwa Flat earther wamekaririshwa na hawana majibu ni wewe kuusemea Upande ambao licha ya kutokuujua hujawahi hata kusoma Reason zao..
Majibu Yako Ni kama Ifuatavyo..
Unaifahamu Ying Yang Actually Ying yang ni Kama ilivyo Movements ya Jua na Mwezi Over the Dome..
Angalia Video Hizo hapo Chini Zote Kuhsu Usiku na Mchana Jinsi unavyopatikana.
View attachment 3143153
View attachment 3143155
View attachment 3143156
No body knows mkuuWe Unaamini Uliumbwa Au Hukuumbwa??
Tuanze na hapo kwanza
Mimi sijasema Ni original ila nimejibu Alichouliza Kuwa Usiku na Mchana unapatikana vipi so nimeonyesha Jinsi unavyopatikana Na hakuna mahali nimesema Ni original..So hizi video ni original na ndio “proof” ambayo sio image generate kuonyesha dunia ni flat 😂😂😂
Habari za Wewe Kuumbwa Umezipata Wapi??Naamini niliumbwa ndio
Ndo mana nasema, flat eathers wote mmekariri same kama unavyotoa huo mfano which you can't actually explain what's happening there na ambao sio dunia but you assume it to be the Earth.Utaratibu wa Mjadala Ni kuuliza swali bila kutoa Conclusion:
Tatizo kubwa La watu wanaojiita Round Earther sijui Circle Earther kwanza hawajawahi kuprove kuwa Dunia Ni Duara au Ni Tufe na Hakuna Picha yoyote inaonekana Original Photo sio hizi Generated..
Na umeuliza Kuhusu Mimi ni Daktari Damn Right I am a doctor who refused to be A toy for The Propaganda
Kitendo cha wewe Kutoa conclusion Kuwa Flat earther wamekaririshwa na hawana majibu ni wewe kuusemea Upande ambao licha ya kutokuujua hujawahi hata kusoma Reason zao..
Majibu Yako Ni kama Ifuatavyo..
Unaifahamu Ying Yang Actually Ying yang ni Kama ilivyo Movements ya Jua na Mwezi Over the Dome..
Angalia Video Hizo hapo Chini Zote Kuhsu Usiku na Mchana Jinsi unavyopatikana.
View attachment 3143153
View attachment 3143155
View attachment 3143156
Ndo shida yenu wanafalsafa, Science haiproviwi kwa kufkiria tu na kuamua! Lazima ufikirie interms of laws of nature na uhakikishe by Mathematics. Mnataka kuingiza falsafa kwenye sayansi hapo ndo mnapofeliShida watu huwa hawatumii akili kutafakari hayo wanayo letewa, na Hawa wanayo yaleta wamshajua ya kuwa wazi watu huwa hawahoji mambo.
Lakini kama mtu unamtumia akili na kuhoji Sayansi zaidi ya asilimia 70 ni uongo mtupu hasa Sayansi ya anga na Sayansi ya mambo ya tiba.
Sayansi sio falsafa mzee, achana na kuaminishwa theory za watu! Probably your Math is weak ndo mana una assume kila kitu kwa hali ya kawaidaJana Kuna Mtu nilimuuliza Kitu na wewe Nitakuuliza Pia ili niweke Record sawa..
hivi Nasa Gani mnayozungumzia hawa Wanaoshtumiwa na Vitu Vingi sana Ikiwemo kutumia Area 51 Kufake Moon landing Kwani bado mnawaamini NASA??
Picha za Nasa Zinazo Onyesha Dunia ni Duara Zinaonyesha Ramani, tena kwa bahati mbaya kabisa Ramani ambayo imekuwa Projected Mwaka 1594, Ikiitwa "The Mercator Projection" . Ambayo Imetengenezwa na Gerardus Mercator..
Sasa Unashangaa Gerardus Mercator Mwaka huo kipindi anachora Ramani hakwenda mwezini wala Kwenye jua 😂😂 na wala Hakukuwa na Advance Technology na Alichora Hiyo Ramani tunayotumia Mpaka leo..
Cha Kushangaza Nasa Imeanzishwa July 29, 1958..
Ila wanatumia Ramani ya Gerardus mercator ya mwka 1594 ambaye Kipindi anaichora Hakukuwa na Ndege wala Helcopter (Maana ndege imegunduliwa mwaka 1903 na Wright brothers na wakati Huo ikiitwa Wright Flyer, Na bila kusahau Rocket ya Kwanza Imezinduliwa Mwaka 1926 na Robert H. Goddard...)
Wakati wakianza Kuwadanganya wapeni Facts..
Msiogope..
Sasa Nataka Uniambie Kati ya Mzee wa Zamani Gerardus Mercator ambaye alichora ramani akiwa Kwenye Boma lake kwa Kuwaza tu....
Ikumbukwe hata Sattelite ya Kwanza inasadikiwa Kurushwa October 4, 1957, iliyokuwa Ikiitwa Sputnik I
Sasa Hebu niambie huyo Mzee wa Kwanza kuchora Dunia Kwa Umbo la Duara Yeye Alikuwa Amekaa Wapi wakati hakukuwa na vifaa vyovyote vya Kuthibitisha Madai yake
Na NASA ambao Wanatumia Vifaa (Kama wanavyojinasibu) umewahi kuona Ramani nyingine ikiikosoa Ramani ya Mercator Projection hata kwa Longitudinal tu au Latitude?
Tutumie Akili Tulizopewa Sio kila kitu tunadanganywa
na kingine Katika Ugunduzi sio Mzungu peke yake wapo Racial Class zingine wamehusika Kwenye Ugunduzi mpaka wewe unatumia Simu kutoa Credit kwa Race moja ni utumwa wa akili..
Kuhusu Kunufaika Kwamba Wamenufaika na nini, Yaani kueneza Uongo huo wamenufaika na nini..
Unafahamu kuhusu Propaganda na Indoctrination.. kama Utakuwa Unafahamu mpaka Kufikia Creation of Mythology Bhasi utakuwa Unajua kwanini Uongo hutengenezwa..
Hii Hapa Chini Ni propaganda Model ukifatilia Utajua kwanini Watu hutengeneza Propaganda..So hata Moon Landing bado ni Propaganda
Kama Usipoelewa Hiyii Model niambie Nikuchambulia japo lengo mojawapo Ni namba 6 "Theophobization"
kuanza Kusema Mungu kawajalia bhna si unaona..Wamefanya Vile..
Kasome Propaganda Model Hutashtushwa na Propaganda Yoyote
View attachment 3140458
Can You show Me, Picha Yoyote ya Dunia Iliyopigwa na Satellite! Can you all the picture are CGI related..Sayansi sio falsafa mzee, achana na kuaminishwa theory za watu! Probably your Math is weak ndo mana una assume kila kitu kwa hali ya kawaida
There's a way that nature works sio tu kwa kuamua na kuchora chora kama maandazi
Watu wa falsafa komaeni na falsafa zenu na kuamini theory za watu mambo msiyoyajuwa acheni
Your math is so weak to resolve planetary motion sasa nini kitamake sense kwako??
Nyie ndo wale mnakariri vitabu vyenu vya kipuuzi puuzi vya falsafa sijuwi nani kasema hivi nani kasema hivi halafu mnakalisha watu wasio na elimu kuwaambia ujinga wenu. I assure you! Hakuna proof unaweza kutoa zaidi ya kusema naniliu alisema hivi naniliu alisema hivi, sijuwi propaganda model wtf!!!! Uyo aliyesema propaganda model unamuamini halafu huamini picha za dunia zilizopigwa na satelite? Uyo jamaa wa video anayeclaim bila ushahidi wa kuprovika unamuamini halafu huamini NASA? kweli kuna mwamba alishasema humu kubishana na nyie ni kukosa muda
Kama iyo video yako eti mtu anakwambia you can proove by observing during winter sijuwi summer are you guys normal??
Model hazitengenezwi kwa kuobserve mkuu you need to formulate mathematical analysis na lazima iwe Mathematically possible. Nkikuambia saivi elezea theory zako za flat earth, lunar motion na mijongeo ya dunia na jua zinatokea vipi huwezi bila kumtaja nani alisema hivi halafu unasema eti hujakariri uko normal kweli mzee???
Ila zikitumika kwenye kuelezea dunia duara una zikataa na unataka uonyeshwe “original”?Mimi sijasema Ni original ila nimejibu Alichouliza Kuwa Usiku na Mchana unapatikana vipi so nimeonyesha Jinsi unavyopatikana Na hakuna mahali nimesema Ni original..
Hiyo ni Kuonyesha How
Where did you get that?Wakati kutoka Sayari moja mpaka Nyingine ni Hundreds of Ligh Years..
Kutoka Earth mpaka nepture ni NeptuneWhere did you get that?
Where did you get that info?Kutoka Earth mpaka nepture ni Neptune
60,190 days (i.e., 165 years)..
Kutoka Earth mpaka Sayari nyingine Zinazosupport Life ni 100 mpaka 3000 Light years
Nimejibu Swali ulilouliza Mkuu..Where did you get that info?
Have you been there mkuu?
Unatumia taarifa za vitu unavyo vikataa kupingia vitu unavyo vipinga
Ni kitu gani kinachosababisha hicho kivuli/giza kwenye hiyo dunia tambarare?Utaratibu wa Mjadala Ni kuuliza swali bila kutoa Conclusion:
Tatizo kubwa La watu wanaojiita Round Earther sijui Circle Earther kwanza hawajawahi kuprove kuwa Dunia Ni Duara au Ni Tufe na Hakuna Picha yoyote inaonekana Original Photo sio hizi Generated..
Na umeuliza Kuhusu Mimi ni Daktari Damn Right I am a doctor who refused to be A toy for The Propaganda
Kitendo cha wewe Kutoa conclusion Kuwa Flat earther wamekaririshwa na hawana majibu ni wewe kuusemea Upande ambao licha ya kutokuujua hujawahi hata kusoma Reason zao..
Majibu Yako Ni kama Ifuatavyo..
Unaifahamu Ying Yang Actually Ying yang ni Kama ilivyo Movements ya Jua na Mwezi Over the Dome..
Angalia Video Hizo hapo Chini Zote Kuhsu Usiku na Mchana Jinsi unavyopatikana.
View attachment 3143153
View attachment 3143155
View attachment 3143156
Mkuu kabla hatujafika huko kwanzaNimejibu Swali ulilouliza Mkuu..
Offcuz I am well Informed kuhusu Dunia Duara na kwa miaka Mingi sana nimekuwa nikisoma..
Na ninaweza kujibu maswali mengi sana kuhusu Dunia Duara na Nikashinda..
Ila nimechagua Upande wa Ukweli sio Wa Kukariri...
Nimekuuliza Unafahamu Ramani ya Dunia Iliyotengenezwa Baada ya ile Ramani ya mwaka 1550s ya Merca...Projection?