Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

Hii kauli sitaacha

KgTel, Infinix, Tecno, Itel, ForMe , Leagoo, X-Tigi & Co ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Sijui tutumie lugha gani kuwaambia watu

Hata mimi mwanzoni nilikuwa nina mawazo kama yako ila baada ya kuanza kutumia Infinix hizi high end nimetokea kuzipenda.
 
Hauko flexible.

Umekariri.
 
Hot Play 10.....Mkuu kila mtu na mtizamo wake kwenye kutumia ,wewe kitu usichopenda sio kwamba watu wote hawatakipenda! kwa mfano mimi iphone sizipendi kabisa.
Infinix Hot 10 Play haijawahi kuwa high End .

High end ni kina Sam S21 &Co.. (Flagship)
Mimi nimeshatumia hizo Infnix, Tecno vizuri kabisa lakini amini amini nakwambia hizo ni upupu tu ndio mana nikahama na sina mpango wa kurudi huko
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Hot Play 10.....Mkuu kila mtu na mtizamo wake kwenye kutumia ,wewe kitu usichopenda sio kwamba watu wote hawatakipenda! kwa mfano mimi iphone sizipendi kabisa.
Khaaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu wewe ni mgeni sana na simu yaani infinix hot 10 play iwe ni high end phone hizi infinix zetu ni takataka ni Sina tu noti kwa Sasa ningenunua simu ya maana sio huu uchafu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hao man city mdhamini wao ni tecno hebu chagua Timu nyingne man
 
Unatia aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ