Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

Kwa hiyo nitoe laki 4-6 nanunua Tecno..
sawa asante
Phantom 6 + ndio kifaa cha mawasiliano cha mwisho kutumia kutumia kabla sijaanza kununua simu. Ni mnyama haswa kwa viwango vya tecno.
Lakini huwa najicheka ilikuwaje nikatoa yale malaki ya shilingi kununua tecno siku ile[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja.
Mimi kauli yangu ni ile ile tu.

Tecno ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu
 
Phantom 6 + ndio kifaa cha mawasiliano cha mwisho kutumia kutumia kabla sijaanza kununua simu. Ni mnyama haswa kwa viwango vya tecno.
Lakini huwa najicheka ilikuwaje nikatoa yale malaki ya shilingi kununua tecno siku ile[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣
 
Tecno na infinix uwa zinawekewa limit ya ubora kwa miez sita toka uliponunua,,, ukishaanza kuitumia miez sita tu inapoteza nguvu kila kitu kinaenda mlama
🙏 🙏 🙏 ❣️
 
Hao man city mdhamini wao ni tecno hebu chagua Timu nyingne
man
Ww umekaribia kutuambia Visit Rwanda ni mdhamin wa Arsenal na PSG

Unajua Tofauti kati ya udhamini na kupewa nafasi ya matangazo wewe?
 
Tunajaribu kuwaelekeza hawa watumia wa HIGH END za tecno[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Cha ajabu ukiwambia kuna simu inaitwa OnePlus watakuambia simu gani hizo, misimu mibovu hata haijulikani, kweli tecno na nduzu zake kawateka akili Watanganyika
 
Infinix Hot 10 Play haijawahi kuwa high End .

High end ni kina Sam S21 &Co.. (Flagship)
Mimi nimeshatumia hizo Infnix, Tecno vizuri kabisa lakini amini amini nakwambia hizo ni upupu tu ndio mana nikahama na sina mpango wa kurudi huko
Sawa mkuu na mimi nilishatumia hizo unazosema ni high end ,hamna kitu ma bei mkubwa tu lakini mavitu ni yale kama infinix.
 
Khaaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu wewe ni mgeni sana na simu yaani infinix hot 10 play iwe ni high end phone hizi infinix zetu ni takataka ni Sina tu noti kwa Sasa ningenunua simu ya maana sio huu uchafu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona tunalazimishana kupenda kitu unachopenda wewe? Mimi kwa kifupi Infinix nimezikubali sana hizi za bei kubwa....Samsung nishatumia sana zaidi ya miaka 7...Wewe kama hiyo Infinix 8 unaona mbovu sawa ,hata infinix kuna Clone(za kubumba) ,nakushauri next time nunua kwa dealer.
 
We umewahi kutumia phantom 6 plus ya tecno?? Ni noma haima tofauti ni Samsung na wengine sema nyie mnatumia za laki 1 na 20 nunua laki4 kuendelea ujione mpaka laki 6 huko

Yaani hawa jamaa wanasikiliza story za vijiweni kwamba infinix na tecno sio simu kumbe wananunua infinix na tecno za elfu 7,ndio maana nikamwambia anunue hizo za bei kubwa hakika hatorudi kwenye misamsangi....Hata samsung za bei rahisi nazo ni mbovu tu speed kobe....Ukitaka kula nyama chagua iliyonona.
 
Back
Top Bottom