Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

Mkuu kumbe umeligundua hilo na wewe? Afu kwenye minimize pia wanatoka mapema sana,unakuta simu ram 2 lakini ukifungua app 1 kurudi juu ya sec 10 unakuta app ishajifunga,kero kwa wengi
Mkuu me kwa sasa simu za android nanunua kuanzia ram gb3 kuendelea maana zinakuaka za ovyo sana basi tu
 
Huu uchambuzi sijsuelewa kabisa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Infinix Hot 10 Play haijawahi kuwa high End .

High end ni kina Sam S21 &Co.. (Flagship)
Mimi nimeshatumia hizo Infnix, Tecno vizuri kabisa lakini amini amini nakwambia hizo ni upupu tu ndio mana nikahama na sina mpango wa kurudi huko
We umewahi kutumia phantom 6 plus ya tecno?? Ni noma haima tofauti ni Samsung na wengine sema nyie mnatumia za laki 1 na 20 nunua laki4 kuendelea ujione mpaka laki 6 huko
 
Kweli ujue kila mtu ana mzuka na type za simu , hata mimi iphone sizipendi lakini haimaanishi kwamba ni mbaya au sina hela ya kununua hapana sizipendi tu.
Kuipenda simu haiji hivi hivi tu.
Lazima kuna vitu flan vinakuvutia.
Mie iphone hapana aiseh.

Mi napenda vitu unique

LG kibongo sio nyingi sana

Unaweza ukakaa na washkaji mahala ukawa nayo peke yako.
Nadra sana kujikuta mpo yeboyebo
 
Daaaah na utaka tuamnin kupitia specs ulzo copy na kupaste n sahihi kabsa
Aya bana ila infix tofaut na zero na zile zenye g80 processors hamna simu apo
Na kibaya zaid zina limited time life ( mafund wa software hope mnalijua hili tatzoo)

So busy with my blackberry q20
 
πŸ™ πŸ™ πŸ™ ❣️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…