Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Kwa hiyo nitoe laki 4-6 nanunua Tecno..We umewahi kutumia phantom 6 plus ya tecno?? Ni noma haima tofauti ni Samsung na wengine sema nyie mnatumia za laki 1 na 20 nunua laki4 kuendelea ujione mpaka laki 6 huko
[emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo nitoe laki 4-6 nanunua Tecno..
sawa asante
Phantom 6 + ndio kifaa cha mawasiliano cha mwisho kutumia kutumia kabla sijaanza kununua simu. Ni mnyama haswa kwa viwango vya tecno.Kwa hiyo nitoe laki 4-6 nanunua Tecno..
sawa asante
Naunga mkono hoja.Phantom 6 + ndio kifaa cha mawasiliano cha mwisho kutumia kutumia kabla sijaanza kununua simu. Ni mnyama haswa kwa viwango vya tecno.
Lakini huwa najicheka ilikuwaje nikatoa yale malaki ya shilingi kununua tecno siku ile[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣Phantom 6 + ndio kifaa cha mawasiliano cha mwisho kutumia kutumia kabla sijaanza kununua simu. Ni mnyama haswa kwa viwango vya tecno.
Lakini huwa najicheka ilikuwaje nikatoa yale malaki ya shilingi kununua tecno siku ile[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3]Phantom 6 + ndio kifaa cha mawasiliano cha mwisho kutumia kutumia kabla sijaanza kununua simu. Ni mnyama haswa kwa viwango vya tecno.
Lakini huwa najicheka ilikuwaje nikatoa yale malaki ya shilingi kununua tecno siku ile[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajaribu kuwaelekeza hawa watumia wa HIGH END za tecno[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wadau wa OnePlus tumekaa kimya tu, naona mnapgana mangumi tu[emoji23][emoji23]
Ndo ivo bwana mkubwa yanini kujiumiza kisa vifaa vya mawasiliano kila mtu anajikuna mkono wake unapoishia....Wacha bhana. Ndio kauli yenu ya kishujaa hii
Ww umekaribia kutuambia Visit Rwanda ni mdhamin wa Arsenal na PSGHao man city mdhamini wao ni tecno hebu chagua Timu nyingne
man
Cha ajabu ukiwambia kuna simu inaitwa OnePlus watakuambia simu gani hizo, misimu mibovu hata haijulikani, kweli tecno na nduzu zake kawateka akili WatanganyikaTunajaribu kuwaelekeza hawa watumia wa HIGH END za tecno[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hakuna kujiumiza mbona mi natumia simu ya bei ndogo sana japo sio Tecno/Infnix na zipo Tecno/Infnix zenye bei zaidi yake.Ndo ivo bwana mkubwa yanini kujiumiza kisa vifaa vya mawasiliano kila mtu anajikuna mkono wake unapoishia....
Soma vizuri ulichokiandikaWw umekaribia kutuambia Visit Rwanda ni mdhamin wa Arsenal na PSG
Unajua Tofauti kati ya udhamini na kupewa nafasi ya matangazo wewe?
Sawa mkuu na mimi nilishatumia hizo unazosema ni high end ,hamna kitu ma bei mkubwa tu lakini mavitu ni yale kama infinix.Infinix Hot 10 Play haijawahi kuwa high End .
High end ni kina Sam S21 &Co.. (Flagship)
Mimi nimeshatumia hizo Infnix, Tecno vizuri kabisa lakini amini amini nakwambia hizo ni upupu tu ndio mana nikahama na sina mpango wa kurudi huko
Mkuu mbona tunalazimishana kupenda kitu unachopenda wewe? Mimi kwa kifupi Infinix nimezikubali sana hizi za bei kubwa....Samsung nishatumia sana zaidi ya miaka 7...Wewe kama hiyo Infinix 8 unaona mbovu sawa ,hata infinix kuna Clone(za kubumba) ,nakushauri next time nunua kwa dealer.Khaaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu wewe ni mgeni sana na simu yaani infinix hot 10 play iwe ni high end phone hizi infinix zetu ni takataka ni Sina tu noti kwa Sasa ningenunua simu ya maana sio huu uchafu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
We umewahi kutumia phantom 6 plus ya tecno?? Ni noma haima tofauti ni Samsung na wengine sema nyie mnatumia za laki 1 na 20 nunua laki4 kuendelea ujione mpaka laki 6 huko