Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

Kuipenda simu haiji hivi hivi tu.
Lazima kuna vitu flan vinakuvutia.
Mie iphone hapana aiseh.

Mi napenda vitu unique

LG kibongo sio nyingi sana

Unaweza ukakaa na washkaji mahala ukawa nayo peke yako.
Nadra sana kujikuta mpo yeboyebo
Ni kweli mkuu ,hawa majamaa wanataka wote tuchukie tecno na infinix wanashindwa kutambua uzuri wa kitu upo machoni kwa mtu mwenyewe.(Beauty is in the eyes of the beholder).

Hata mimi Iphone sizipendi 100%.
 
Hii inawezaweka gcam hiyo a02s
 
Unasema???
Ndio Mkuu....Kuna kitu kinaitwa "USER EXPERIENCE" hutofautiana kati ya NTU na NTU...Ndio maana kuna watu wanaopenda maji ya Ishi,Kilimanjaro,Dew Drop kuliko Hill au Uhai and vice versa....Ndio maana kuna watu wanapenda kutumia Whitedent,Aha kuliko Colgate au Alovera gel and vice versa,kuna watu wanapenda vimbaumbau kuliko miphantom(vice versa) ,kwahiyo usiforce tufanane.
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
Mtwara kuchele[emoji3]
 
Ukija kwenye warranty utakutana na miezi 13 kwa miaka 2 jiulize kwa nini
 
Kuipenda simu haiji hivi hivi tu.
Lazima kuna vitu flan vinakuvutia.
Mie iphone hapana aiseh.

Mi napenda vitu unique

LG kibongo sio nyingi sana

Unaweza ukakaa na washkaji mahala ukawa nayo peke yako.
Nadra sana kujikuta mpo yeboyebo
LG ni simu nzuri sana ila zinafail kwasabahu hazina direction wanashika vitu na kuacha. Yani wao ndiyo wa kwanza kuja na vitu vingi vya simu ila uwa wanaviacha wenzao wanavichukua. Yani ukinunua toleo hili lina hiki lijalo wanatupa kila kitu cha toleo hili wanaibuka na kingne kabisa.
 
Samsung ni simu

Infinix ni Calculator
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
πŸ™ πŸ™ πŸ™ ❣️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…