Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Yani ilikua ivi baada ya kupima hata mm niliweza kuamini hana maana ukitizama haraka haraka bila u makini huwez ona mstari ambao uko kwenye 1 kwaiyo hata mm sikuona na nikawa convinced hana ila kuna demu a kasema ila mbona kuna mstari mwingine kwa mbaali hapo kwenye moja na tulikua watu wengi na hatukuweza kuona ila baada ya kusema ndo ikanibid nitizame vizuri na nikagundua kweli upo japo sikusema na watu hawakuona yule demu akaanza kusema umeona wananizushia na akawa Anataka kipimo Kile abaki nacho ila mm baada ya kuona ni kweli nikazuga ichi mm nabaki nacho maana mm ndo nilikuja na vile vya kupimiia ili kumpeleka kwa Doctor na kujua majibu yake kwa sababu nilikua sina uhakika sana na ndio baada ya kupeleka doctor kutizama hakuona ikabidi avae miwani yake na ndipo a kaniambia yes uyu majibu yake yana ulakini ni ngumu kuona inawezekana anatumia dawa na ndio mstari hauonekani kwa ukubwa huo
 
Dah kwaiyo unataka kuniambia mtu anaetumia art ni ngumu kuambukiza ukimwi kuliko mtu asietumia ambae mstari ungeonekana kwa ukubwa??? Japo natumia pep ila kwa faida tu yangu binafsi
Mtu anayetumia dawa vizuri kwa mpangilio na muda sahihi virusi hufubaa na kupunguza kabisa makali kuna kuwa na uwezekano mdogo wa kuambukiza ndio maana sasa hivi kuna kesi nyingi unakuta mama anaujauzito lakini mwanaume wake hana au kinyume chake hapo lakini mtu kama hatumii dawa ukiweka tu kavu umevibeba.
 
Nimekuelewa boss sasa hivi
 
Huyo demu mwingine aliyekwambia mbona kama kuna mstari miwili ulimwonyesha hicho kipimo baada ya muda gani toka kitowe majibu?
 
Huyo demu mwingine aliyekwambia mbona kama kuna mstari miwili ulimwonyesha hicho kipimo baada ya muda gani toka kitowe majibu?
Tulikua wote yani tumekaa chini kwenye viti na meza kama maeneo ya ki grocery na baadhi watu kadhaa walikua wamesima kama wanne na uyo dada akiwepo
 
Sawa asante sana na labda umemaliza ukaonekana hauna maambukizi je inawezekana miezi miwili mbele ukaja kupima ukaonekana ni positive??
Inawezekana....kwa uhakika mzuri nashauri upime Mara mbili baada ya kumaliza hzo dozi...moja few days after kumaliza,yapili one to two months later.....the prophylaxis u are taking have no 100% of making u safe...also ukipima Mara moja tu ukaacha u may get false negative results due to the PEP
 
Tulikua wote yani tumekaa chini kwenye viti na meza kama maeneo ya ki grocery na baadhi watu kadhaa walikua wamesima kama wanne na uyo dada akiwepo
Mkuu huyo dada uliyompima ulimpimia hapo grocery na watu wote hao wakishuhudia?
 
Pole sana.Iko hivi...PEP inazuia virus kuzaliana yaani kuongezeka.unapo sex au kijkata au kijichoma katika mazingira hatarishi mtu anaingiwa na virus wa HIV wachache sana Ambao kama watawaiwa watabaki wachache ambao hufa naturaly pale white blood cells zinapokufa zikifika siku 30...hivyo cell zilizoingiwa na virus zinapokufa maana na ake virus nao wote wanakufa.Kwa sasa USA kuna kampuni ina dawa ambayo inamaliza virus karibu wote..na wengine hukaa mpaka miezi 6 virus awaonekani kwenye damu wakati wa vipimo.kilichobaki ni namna gani watawatoa virus wa HIV wanaojificha wasifikiwe na Dawa na urudi tena kwenye mzunguko wa damu mara mtu anapoacha dawa..ila bado wanapambana hope ipo siku wataweza
So wewe kama unameza PEP usiwe na wasiwasi...kwani utakuwa salama bila maambukizi.Mungu akusimamie
 
Dah mungu akubariki sana kwa maneno yako yenye kutia moyo kaka na mungu akubariki sana kwa elimu hii uliyonipa kaka [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
daah haya mambo ukiyasoma hata hamu ya ngono inakata kabisa..hatari sana yanatisha..ila Mungu atusaidie maana binadamu huwa tunajisahau..daah
 
Habari Wataalam,
Naomba kujua kama mtu alichomwa na sindano halafu hakuwa na uhakika wa hiyo sindano akashauriwa kutumia PEP, je akifanya sex wakati bado hajamaliza dose ya PEP, je anaweza muambukiza mtu mwingine?
 
Aiseee.

Nashauri amalize kwanza dose ya PEP then ndo afanye hayo mengine au atumie kinga..
 
PEP mpaka iishe. Maana Ata kutumia PEP yenyewe inaweza fail au ku success
 
Si niliwahi kusikia hizo PEP zenyewe zinachosha sana,sasa ukifanya na hayo mambo mengine si ndio unajimaliza kabisa...
 
Habari Wataalam,
Naomba kujua kama mtu alichomwa na sindano halafu hakuwa na uhakika wa hiyo sindano akashauriwa kutumia PEP, je akifanya sex wakati bado hajamaliza dose ya PEP, je anaweza muambukiza mtu mwingine?
We kama umegonga tukuimbie parapanda tu
 
Habari Wataalam,
Naomba kujua kama mtu alichomwa na sindano halafu hakuwa na uhakika wa hiyo sindano akashauriwa kutumia PEP, je akifanya sex wakati bado hajamaliza dose ya PEP, je anaweza muambukiza mtu mwingine?
Watanzania akili zenu sijui mnapeleka wapi aisee,sasa kama anatumia PEP ,kilichompelekea afanye tena ngono kabla ya dozi kuisha ni nini? Anyway hapo lolote linaweza kutokea,kama huo uzinzi bado haujazidi masa 24,nashauri huyo mzinzi mwenzie akachukue doI za PEP pia
 
Soma maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…