Leo nataka kushare kitu na kuuliza pia, tarehe 4 mwezi huu nilifanya Mapenzi na msichana ambae nilimjua kwa masaa 48 kabla ya kusex nae hii ilinitokea ni baada ya kukaa mda mrefu bila kufanya Mapenzi maana nina mwanamke mzungu na nilikua naongopa kuchepuka kwa sababu mwanamke wangu yupo nje ya nchi Ana Mapenzi na tulikua tumepanga kufunga ndoa tarehe 28 ya mwez huu, niseme kama ajari tu ni baada ya kukaa miezi 8 bila kufanya Mapenzi nikakutana na uyu demu mitaa ninayoishi na ni kafanya nae Mapenzi na kinga ila mzunguko wa kwanza, mzunguko wa pili nikavaa tena kinga bahati mbaya kinga ikapasuka mbele nadhan ni kutokana na ukavu na ulaini kidogo, ilipopasuka tu nikajua nikatoka fasta nikaenda kuvua ile condom kwa kutumia karatasi Inshort siku ishika nikavaa nyingine nikamalizia, lakin baada ya yule dada kuondoka nikajawa na hofu kubwa sijui kwann na nikaanza kumuuliza kama alishawai kupima a kasema ndio na hana na Ana utaratibu wa kupima kila mwezi, kiukweli sijui kwann ila nilikua na hofu bado ikanibidi niende mtaa anayoishi kama lisaa limoja baadae ili kujua zaidi kuhusu yule demu maana nilijiuliza kama ndani masaa 48 kafanya Mapenzi na mm na sikumtongoza je ni wangap ambao alifanya nao kwa style kama yangu, bhass katika kuuliza mtu ambae na mfahamu na yy ananifaham akanimbia ndugu yangu sikushauri kwa uyo demu maana naskia Ana moto nikaanza kuchanganyikiwa na kuanza kumtafuta ili tu kapime maana yy alisema hana bhass mara akawa hapokei na anakata simu na akazima simu kwa mda, daaah ikanibidi niende kituo cha afya karibu na jirani nikawaeleza bahati nzuri icho kituo wananijua vizur maana mama yangu anafanya nao kazi pamoja ila kitengo tofauti, wakanipima ukimwi wakanikuta sina na kunipa dawa aina ya pep na ya kwanza wa kaniambia kunywa hapa hapa , haya yote ninayo kwambia ni ilikua ni ndani ya masaa matatu tu tangu nikutane nae na Leo ni siku ya kumi tangu nianze kutumia pep je kuna namna yyte ambayo naweza nikawa na maambukizi baada ya kumaliza hizi dawa maana yule demu kesho yake nilimtafuta na nikampima maana nilikua na vifaa nikamkuta kweli mistari miwili kwenye C na 1 ila wa kwenye moja ni unaonekana kwa mbaaali si rahisi mtu kuona kama hujatulia vizuri.. Nilikua nataka kujua kutoka kwa wataalamu humu asanteni