Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Mi nimemfahamu sura majuz wakati anatoatoa tuzawadi🤣
Nikiwa juu yako respect na mambo yataenda...
Ukiwa juu yangu, respect zero, na mambo yatasusasua sana... (Tafuta hela...)
 
Nikiwa juu yako respect na mambo yataenda...
Ukiwa juu yangu, respect zero, na mambo yatasusasua sana... (Tafuta hela...)
Hakika, always mwanamke anatakiwa awe chini na akiwa na hela kuliko mwanaume inabidi ajikaze kushuka chini pia😶
 
Hakika, always mwanamke anatakiwa awe chini na akiwa na hela kuliko mwanaume inabidi ajikaze kushuka chini pia😶
Hamuwezagi kujishusha nyie... sababu mnaendeshwa kwa hisia...
 
Mzee hizi hamisha hamisha za serikali na mabosi kutoheshimu masaa ya kazi ni zinawafanya wanawake wanaofanya kazi kuwa na migogoro kwenye ndoa zao. Hii ya kuhamia Dodoma ndo imekuwa funga kazi
 
Mwenyekiti taarifa "halafu anakua na kiburi cha kibeberu na kujimwambafai kama jambazi la bongo movie"
 
Kwa mtizamo wangu, ukioa mke kwa mtizamo kuwa aje akusaidie a.k.a kusaidiana, unakuwa ushaanza kwa mguu wa kushoto. Ni suala la mda tu utalia kimanga.
Siku hizi wanawake Wana angalia porn pamoja na wanaume gheto na Hawa noma Wala Nini yaani aibu utaiona wewe mwanaume lakini sio wao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hili la kugongewa mbona ni fashion now days
 
Tusipo wasomesha watapata tabu maishani bora tuwasomeshe hata kama hawatakuja kuolewa lakini waweze kujitegemea kiuchumi.
Si munaona munavyojichanganya? Hamutaki wanawake wasomi lakini munataka kuendelea kusomesha watoto wenu wa kike kwa kuhofia watapata shida.

Watapata shida gani wakati nyinyi ndiyo mumeamua hivyo?
 
Tusipo wasomesha watapata tabu maishani bora tuwasomeshe hata kama hawatakuja kuolewa lakini waweze kujitegemea kiuchumi.

That’s it… maana wachangiaji wanaowaponda wanawake wasomi basi wasisomeshe mabinti zao ili falsafa zao za wanawake ambao hawajasoma ndo wake bora iendelee na kwa vizazi vyao
 
Mimi nilishafanya maamuzi toka nikiwa chuo...
 
Si munaona munavyojichanganya? Hamutaki wanawake wasomi lakini munataka kuendelea kusomesha watoto wenu wa kike kwa kuhofia watapata shida.

Watapata shida gani wakati nyinyi ndiyo mumeamua hivyo?

Shangaa
 
That’s it… maana wachangiaji wanaowaponda wanawake wasomi basi wasisomeshe mabinti zao ili falsafa zao za wanawake ambao hawajasoma ndo wake bora iendelee na kwa vizazi vyao
Hao ndiyo akina 'do as I say'......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…