Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
Hiyo dollars 9000 fafanua ni malipo gani? Bandarini kuna malipo ya (1) Handling (2) Warfage, (3) Ushuru wa Fordham (4) CFS charges. Hizo 9000 finally caver nini? Na malipo yanahusu wadau tofauti hapo na DP wold wamepunguza nini? FafanuaNajuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
View attachment 2998153
KabisaKicha na mwendawazimu ndiyo anaweza kusaini mkataba wa kishenzi kama ule.
Wewe punguani ukimweka mtu kwenye ignore list atapungukiwa na nini?Ninakuweka kwenye Ignore list
Huwa I donโt deal with small minds.
One plus one equal to two , does not equal to anything else even if there can be thousands of answers
Afadhali Kama umekubali kwamba gharama zimepandaUmesoma sababu za kupanda bei ya hayo makontena ni nini?
Sio mpuuzi wa chinichini. Huwa ni mpuuzi wa wazi kabisaIla we jamaa hua ni mpuuzi flani wa chinichini. Kwahiyo kontena haijalishi ina bidhaa gani zote hua zina bei moja?
Usinipangie.Sio lazima utukane.
Hata usipotukana utaeleweka.
weka ukweliUongo.
Mtasoma namba kwa kirumiNajuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
View attachment 2998153
Kweli.Uongo.
Tupe ukweli mkuuUongo.
๐ฎ๐ฎUsinipangie.
Hua mpuuzi sana, yeye akiona kihabari mtandaoni akahisi kitampatia sifa akikileta hapa anakurupuka nacho bila hata kujiridhisha na ukweli na uhalali wa habari husika. Akibanwa athibitishe uhalali wa habari husika anakwambia wewe unae mbana ndo ulete chanzo cha habari. Cha ajabu anajiita bilionea, sasa unajiuliza huu ubilionea alio nao aliupataje kwa anavokurupuka, unabaki na jibu moja ni aidha ni ubilionea wa ndotoni au wa kafara za nyumbu wenzie.Sio mpuuzi wa chinichini. Huwa ni mpuuzi wa wazi kabisa
HayaMtoa mada naomba tujulishe na matukio ya uchaguzi kule Njombe, tunatanguliza shukran8 za awali๐๐๐
Mbona watanzania mnakua kama mapunguwani. Sawa gharama zimepanda umejua sababu za kupanda gharama ni nini? Taarifa zimesema usafirishaji baharini ndio chanzo cha gharama kupanda haya hapo DP-WORLD anahusika vipi na gharama za usafirishaji baharini? Hii Tanzania nimegundua watu wajinga ni wengi sana.Afadhali Kama umekubali kwamba gharama zimepanda
Ok Sasa tuendelee na mjadala
Nenda kaandike kwenye bango la mandamano. Au sio zamu yako kuandika na kubeba bango.Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
View attachment 2998153
Maandamano bado kidogoNenda kaandike kwenye bango la mandamano. Au sio zamu yako kuandika na kubeba bango.
Ndio utaandika hilo bango lako la uongoo?Maandamano bado kidogo
Pole na hongera sananami pia si unajua tena uzee,majukumu ya hapa na pale ila niponipo